Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaHaemoroids=bawasili.Nilisha ugua hiyo kitu.Wakati wa haja kubwa vinauma sana na kutoa damu.Nilifanyiwa oparesheni bugando hospital Mwanza.Oparesheni yake inauma sana sana sana.Ila kwa sasa nimepona kabisa.Kwa kisukuma inaitwa Mang'ondi
Aksante sanaPole sana
Mficha maradhi kifo humuumbua mama.Kuna watu aibu zimekata,,yaan umejipiga picha kabisa
Hata mimi nilishawahi pata hii kitu na kufanyiwa operation,kiukweli inasumbua sana kwenye kupona kwake ila ni bora kuwahi na kupata matibabu,na pia nimeshawahi sikia kuwa kuna njia mbadala za kuitibu...Haemoroids=bawasili.Nilisha ugua hiyo kitu.Wakati wa haja kubwa vinauma sana na kutoa damu.Nilifanyiwa oparesheni bugando hospital Mwanza.Oparesheni yake inauma sana sana sana.Ila kwa sasa nimepona kabisa.Kwa kisukuma inaitwa Mang'ondi
Najua mama lakin kanikata maini dahMficha maradhi kifo humuumbua mama.
Kwanza inatisha. Badala awahi hospital anakuja huku.Najua mama lakin kanikata maini dah
Kuna watu jf ni kama hospitalKwanza inatisha. Badala awahi hospital anakuja huku.
Kweli vile.Kuna watu jf ni kama hospital
MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Nani ambaye hana aibu kati ya mleta uzi na mwanamke aliye labour?Kuna watu aibu zimekata,,yaan umejipiga picha kabisa
Yap na yakupaka ila aende hospital Sasa unakaajeNadhani ni infection ya bacteria..kuna "capsules" zinaitwa kama sijakosea.."anusol"...zinaweza kukusaidia..pole!
Anusolnaomba jina kamili la hayo mafuta mkuu!