Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Nani alikupiga hizo picha??
Daahh pole sana ila inapona hiyo nenda hospito
 
pole sana mkurugenzi, nenda straight to the doctor usitumie mitishamba kumbuka damu zetu hazifanani unaweza ukatumia afu tatizo likawa kubwa zaidi.
 
Haemoroids=bawasili.Nilisha ugua hiyo kitu.Wakati wa haja kubwa vinauma sana na kutoa damu.Nilifanyiwa oparesheni bugando hospital Mwanza.Oparesheni yake inauma sana sana sana.Ila kwa sasa nimepona kabisa.Kwa kisukuma inaitwa Mang'ondi
Pole sana
 
Lakini kutuletea huo mpicha wewe nawe!
Uwe unakwenda hospital!
Uwiii jamani!
 
Haemoroids=bawasili.Nilisha ugua hiyo kitu.Wakati wa haja kubwa vinauma sana na kutoa damu.Nilifanyiwa oparesheni bugando hospital Mwanza.Oparesheni yake inauma sana sana sana.Ila kwa sasa nimepona kabisa.Kwa kisukuma inaitwa Mang'ondi
Hata mimi nilishawahi pata hii kitu na kufanyiwa operation,kiukweli inasumbua sana kwenye kupona kwake ila ni bora kuwahi na kupata matibabu,na pia nimeshawahi sikia kuwa kuna njia mbadala za kuitibu...
 
MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.

Umempa ushauri sahihi pale hakuna kuchagua dini na hakuna malipo, gharama wala kupanda mbegu, ni bure na ni garantii anapona, mifano ipo tele na medical report ni lazima kama proof kuwa anaumwa- kutoka hospitali ya taifa( recognized hospital). Kama anataka kuona mifano angalia channel ya emmanuel
 
Back
Top Bottom