Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

😂😂😂 sema asilimia kubwa ya tz n afya ya akili atana ww tia maji sasa umeeleza vzr mwisho uka haribu baada ya kuwapa elimu ukawaponda tena
 
Sema sasa trip hii Israeli nayo imeamua kuonyesha ubabe mkubwa sana na nyuma yake ina watu wenye nguvu sidhani kama Iran ameliona hilo.Iran kwa sasa angepiga kimya tu itasumbua wananchi wake tu.Ukubwa wa eneo ni faida ila kama una watu wenye moyo na utayari wa vita kama ilivyo Russia...Warusi wamekua wanalitumia eneo lao kubwa kwa faida maana pia wanakua na sababu ya kupambana.Ukija kwa Iran sidhani kama wananchi wanakubalina na uongozi uliopo na wananchi wamewachoka hao viongozi wa kidini tatizo linaanza hapo.
 
Hivi najiuliza,kama Hamas wangewaachia mateka.Wakaacha kurusha maroketi.Wakajikita kujenga miundombinu,elimu,teknolojia.Wakawa wanaenda kuswali Al Aqsa bila fujo.Wakaanzisha majadiliano ya kibiashara na kidiplomasia na Israel.Shida ingekuwa nini.
Yaani hawa wenzetu amani kwao ni dhambi...si unakumbuka kibiti, uamsho..yaani wao hawapendi amani
 

Wewe kumbe unaishi sayari ya Mars, huelewi kinachoendelea ulimwenguni , China wamenunua makampuni mengi ya West na bado wanaendelea kununua ijapokuwa hivi sasa kidogo wanaekewa mizengwe. China alishapigana na marekani upande wa Wakorea soma vita vya Korea na namna ilivyogaiwa
 
Aisee kama hujui, wananchi wa iran wana umoja sana likija suala la vita
Hii ilikuwa zamani labda kwa sasa baada ya vurugu la uvaaji wa hijab na mauwaji la pili vijana wa sasa sio wale wa zamani tena maana u western umepenyezwa sana Iran
 
Wewe kumbe huwaelewi wazungu , unaweza kukuta haohao wamarekani kuna wanaomsaidia Iran kama alivyo mfaransa na miradi yake kule Iran pamoja na nchi kama Sweden na Ujeramani ambao wana makampuni yao kule.

Kule korea Kaskazini kuna makampuni ya west yanafanya kazi kwa siri na Wakorea . Ulimwengu huu ni unafiki tu.

USA. anaongoza kwa kununua uranium kwa wingi mwaka uliopita na huku anawaambia wengine wasinunuwe. nchi za West bado zinanunua mafua na gesi kutoka Urusi

Ni Unafiki kwenda mbele
 
Ukweli ni huo.Mwenyezi Mungu ni mwingi wa hekima na zamani kasema huwa anamzunguka adui yake bila kujijua.Akiua watu wengi huona kama ndio anapata ushindi.
Vijana wa coding za IT wamejaa kila eneo.Wapalestina tu mipaka imefungwa na wana uwezo wa kuunganisha mabaki ya makombora na kuyarudisha kwa mayahudi kwa kadri wanavyoweza.Utakuja kushindana na Iran na Yemen na Afghanistan na Lebanon ambao mipaka yao wala haiwezi kuzibwa na askari wa kukodi kutoka Marekani.
Ingekuwa Israel ina ulinzi wa ajabu basi makombora ya oktoba 7 na haya yanayotoka Lebanon wala yasingepenya kudondoka kwao.
 
Wewe kumbe huwaelewi wazungu , unaweza kukuta hao hao wamarekani kuna wanaomsaidia Iran kama alivyo mfaransa na miradi yake kule Iran pamoja na nchi kama Sweden na Ujeramani ambao wana makampuni yao kule.

Kule korea Kaskazini kuna makampuni ya west yanafanya kazi kwa siri na Wakorea . Ulimwengu huu ni unafiki tu.

USA anaongoza kwa kununua uranium kwa wingi mwaka uliopita na huku anawaambia wengine wasinunuwe.

Nchi za West bado zinanunua mafua na gesi kutoka Urusi

Ni Unafiki kwenda mbele
 
Yaani hawa wenzetu amani kwao ni dhambi...si unakumbuka kibiti, uamsho..yaani wao hawapendi amani

yaani nyinyi kuuwa waislamu si dhambi ??

Nyerere aliuwa zaidi ya watu 10 000 Zanzibar na ameichukuwa Zanzibar mpaka leo kwa kisingizio cha muungano , na mnaendelea kuuwa watu kila ufikapo uchaguzi kulinda uvamizi na maslahi yenu
 
Uingereza sasa wanawaondoa kwa nguvu...fundishaneni kuishi kwa amani, uwezo hamna mdomo tu
hiyo ni hoja dhaifu sana ,huwezi kuondoa raia wako ,unaowaona wale waarabu wote ulaya na marekani 90% wameshapewa uraia na wameshazaliana na wenyeji ,
Unamjua dodi alfayed? Alipita hadi na princess wa uingereza mke wa mfalme wa sasa wa uingereza ,kitu ambacho kwa mila za kifalme ni aibu
NAchotaka kukuelimisha ni kwamba kwa vita vinavyoendelea israel , kuna mengi yatajitokeza, waarabu wamekuwa wakiishi na wazungu kwa decades na hakujawahi kuwa na ugomvi au chuki hata nenda marekani wengine wamekuwa hadi wabunge wa bunge la marekani
Ila kinachotokea sasa ni kutaka kuwagawa watu ambao kwa kipindi cha karibuni wote wameungana kupinga uzayuni na sitoshangaa kuona israel ndio anachochea huu mgawanyiko
Hata huyu mzungu hapo chini kaona kama nilivyoona mimi
 

Attachments

  • Screenshot_20240804-121853_Instagram.jpg
    238.3 KB · Views: 2
Ha
Hao wafalme sio wajinga, wanajua nguvu ya Mungu wa Israel.

Subiri mpambano uanze halafu urudi hapa tutambiane Mungu yupi ana nguvu?
 
yaani nyinyi kuuwa waislamu si dhambi ??

Nyerere aliuwa zaidi ya watu 10 000 Zanzibar na ameichukuwa Zanzibar mpaka leo kwa kisingizio cha muungano , na mnaendelea kuuwa watu kila ufikapo uchguzi kulinda maslahi yenu
Vp uamsho nayo ilimalizwa na nani?
Hivi hoja zao ni nini hasa? (Kibiti, uamsho)
 
Umeandika porojo tupu.

Hamas ni magaidi wanaua hovyo raia wa mataifa tofauti hata wasiohusika na vita yao na Israel, hapa hakuna mjadala unless uwe na akili mbovu kutambua Hamas ni kundi la machizi wenye silaha.
 
Yaani hawa wenzetu amani kwao ni dhambi...si unakumbuka kibiti, uamsho..yaani wao hawapendi amani
Kweli mkuu.
Huko Msumbiji wana kundi lao linaitwa
Ansar al-Sunna linaua kwa wingi wananchi wasio na hatia wa huko kikatili sana, halafu ajabu baadhi ya viongozi wa hilo kundi la wauaji ni Watanzania !!!
 
Israel anakuzwa tu na viongozi wa kiarabu ambao wanataka Israel ibaki ili walindwe na America, hawajui America hana urafiki wa kudumu urafiki wake ni kwa faida flani. America mwenyewe hana nguvu mwenye nguvu angefungashwa huko Afghanistan na Iraq.

Warabu/Waislam wakitanguliza Qur'an na Mungu mbele, basi hakuna mtu wakuwachezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…