Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Supposed he could not come to hospital then ,would you have the same thinking about Mzee Mwinyi?
... he could not come to hospital; Mkuu wewe ulikuwa mfanyakazi kwenye ile hospitali kipindi TL akiwa pale?
 
Ila sio sawa Magufuli kumpima kwa ubara wake na tabia zake maana zilikuwa zake zake tuu na wapuuzi wengine kama Ndugai wanao amua kutii kila kitu kulinda cheo.
Moja ya mambo ya hovyo nchi hii kupitia ni kuwa na mtu kama yule ofisi kuu.
JK aliyeshinikiza hilo ataendelea kuteseka moyoni umri wake wote uliobaki, na adha kama ile aliyo kumbana nayo Monduli bado atakumbana sana naza

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
CCM Mercenaries wakikutana na post kama hii wanagonga cheers! Magufuli was nobody to drive everything..ni rahisi mtu mmoja au wawili kubadilishwa kufuata msimamo wa watu 10 kuliko mtu mmoja kufanya wato 10 wafuate msimamo wake. Tunataka Katiba mpya iweke utaratibu mpya , Rais na Makamu wanapoingia ofisin baada ya uchaguzi mkuu kufuatia Rais kumaliza awamu zake mbili..wasaidizi wote wa taasisi zilizoko ikulu wote wawe wapya! Rais mstaafu aondoke na wasaidizi wake wote! hata shetani hafanyi kazi au kuamrisha mambo yote, wasaidizi wake ndio main actors wa kila kitu hata kwa kujituma wenyewe bila shetani kuwatuma!
 
Mzee Mwinyi was one of the very few kind-hearted people in CCM dynasty. However, majority CCM followers have satanic hearts, excluding a few such as mama Samia. May God rest his soul in eternal peace. Amen.
 
Hakuwa nadamu ya kitanzania na ndiyo maana alikuwa tofauti.Kikwete ni habari nyingine,roho safi na ndiyo maana ataendelea kupendeza.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Hivi dokta ulimboka alitekwa utawala wa nani? Na dokta Mvungi aliuawa kipindi cha rais yupi ? Na Daudi mwangosi aliuawa kipindi cha nani ? Mbona mnamwandama sana magufuli kuhusu tukio la lisu ina maana lisu ndio binadamu pekee yake mbona huongelei chacha wangwe au kwa vile mna chuki na magufuli mnatumia tukio la lisu kama kichaka chenu ya kulipa kisasi cha chuki?
 

Halafu kuna watu bado wanataka ushahidi .... hivi kuna ushahidi gani zaidi ya huu ...!!?
 
Tatizo hujui kuwa JPM alikuwa nani. Kwa upuuzi wako utamuona shetani. TAL alijitakia mwenyewe na alistahili alichokipata
Kuna mtu timamu asiyejua kuwa Jiwe alikuwa zaidi ya shetani, labda huyo mtu awe na akili kama zako
 
Jiwe alikuwa hatari kwa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…