SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Jibu hoja na si Viroja.Chuki chuki chuki.
Hakuna Chuki hapo. Punguza Ugaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja na si Viroja.Chuki chuki chuki.
Wamekutana huko....Muhimu sana lile shetani la Chato limetangulia
Hapo lugha haina shida Mkuu....was a kindly man...
Kafa kibwege ila kafikia uongozi ambao wewe na ukoo wako wote hamtaa muupate!Aliyekufa kibwege ni Magufuli tu.
Ndio maana unaona Magufuli hajatajwa hapoSupposed he could not come to hospital then ,would you have the same thinking about Mzee Mwinyi?
Hawawezi kukutana , mmoja yuko motoni mwingine peponiWamekutana huko....![]()
... he could not come to hospital; Mkuu wewe ulikuwa mfanyakazi kwenye ile hospitali kipindi TL akiwa pale?Supposed he could not come to hospital then ,would you have the same thinking about Mzee Mwinyi?
Ila sio sawa Magufuli kumpima kwa ubara wake na tabia zake maana zilikuwa zake zake tuu na wapuuzi wengine kama Ndugai wanao amua kutii kila kitu kulinda cheo.Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.
Magufuli was a Satan in human face.
Afe tena huko aliko.
CCM Mercenaries wakikutana na post kama hii wanagonga cheers! Magufuli was nobody to drive everything..ni rahisi mtu mmoja au wawili kubadilishwa kufuata msimamo wa watu 10 kuliko mtu mmoja kufanya wato 10 wafuate msimamo wake. Tunataka Katiba mpya iweke utaratibu mpya , Rais na Makamu wanapoingia ofisin baada ya uchaguzi mkuu kufuatia Rais kumaliza awamu zake mbili..wasaidizi wote wa taasisi zilizoko ikulu wote wawe wapya! Rais mstaafu aondoke na wasaidizi wake wote! hata shetani hafanyi kazi au kuamrisha mambo yote, wasaidizi wake ndio main actors wa kila kitu hata kwa kujituma wenyewe bila shetani kuwatuma!Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.
Magufuli was a Satan in human face.
Afe tena huko aliko.
Mzee Mwinyi was one of the very few kind-hearted people in CCM dynasty. However, majority CCM followers have satanic hearts, excluding a few such as mama Samia. May God rest his soul in eternal peace. Amen.Hivi ndivyo alivyoandika kwa ufupi
Toa Maoni yako .
View attachment 2923057
"President Ali Hassan Mwinyi, who died on Thursday & was laid to rest yesterday was a kindly man. When I was gunned down in Sep. '17 & rushed to Nairobi for treatment, Mzee Mwinyi and Mama Sitti came to The Nairobi Hospital to wish me speedy recovery. May he Rest in Eternal Peace!" - Tundu Lissu
Huko kaburini lilimo litakuwa linapitia mateso makubwa sana. Litaungua moto wa milele na milele. Amina.
Hivi dokta ulimboka alitekwa utawala wa nani? Na dokta Mvungi aliuawa kipindi cha rais yupi ? Na Daudi mwangosi aliuawa kipindi cha nani ? Mbona mnamwandama sana magufuli kuhusu tukio la lisu ina maana lisu ndio binadamu pekee yake mbona huongelei chacha wangwe au kwa vile mna chuki na magufuli mnatumia tukio la lisu kama kichaka chenu ya kulipa kisasi cha chuki?Hakuwa nadamu ya kitanzania na ndiyo maana alikuwa tofauti.Kikwete ni habari nyingine,roho safi na ndiyo maana ataendelea kupendeza.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.
Magufuli was a Satan in human face.
Afe tena huko aliko.
Ulitaka zikupige wewe, akili kama za JiweKila mtu atakufa kibwege mbona hata lisu alipigwa risasi kibwege ambazo zilikuwa zinamchagua yeye tu dereva zinamuacha?
Kuna mtu timamu asiyejua kuwa Jiwe alikuwa zaidi ya shetani, labda huyo mtu awe na akili kama zakoTatizo hujui kuwa JPM alikuwa nani. Kwa upuuzi wako utamuona shetani. TAL alijitakia mwenyewe na alistahili alichokipata
Jiwe alikuwa hatari kwa TaifaNimesoma masters darasa la watu 25, wazazibar walikuwa 8. Niligundua hawa watu wanaroho nzuri kuliko sisi watanganyika. Umbaya wanaofanyiana ni sababu ya ushawishi wetu. Simchuki JPM kama binadamu lakini kwa unyama wake aliokuwa nao Wazanzibar hawawezi kuukubali utawala wake kwa vyovyote kama sisi hata mama mwenyewe.
JPM alikuwa na akili timamuKuna mtu timamu asiyejua kuwa Jiwe alikuwa zaidi ya shetani, labda huyo mtu awe na akili kama zako
Bora Mh Lissu kuliko yule muovu jiwe aliyeuliwa na MunguKwa Lisu watu wema ni wale tu waliokwenda kumsalimu Hospital.
Vipi kwa wale wasiokwenda kwa kukosa nauli??
This guy is sick in his head.
Jiheshimu, kosa liko wapi hapo? Hii nchi kuendelea bado sana kama wananchi wake ndiyo kma weweHahahaha,sure..Kama mwanasheria ngeli ndiyo hiyo,kazi ipo