Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Weka ushahidi wa picha, siamini na sita amini kuwa Mungu anawasiliana na wanaccm tu, mnahodhi maiti sasa mnataka kumhodhi Mungu!
 

Duh…
 
Kwa Lisu watu wema ni wale tu waliokwenda kumsalimu Hospital.

Vipi kwa wale wasiokwenda kwa kukosa nauli??

This guy is sick in his head.
 

Hakuna asiyefahamu kwamba Mzee Mwinyi alikuwa mtu mwema sana, sijui kama katika watoto wake kuna aliyerithi wema wake. Kama yupo Mungu amsaidie maana huwa wanasema vya kurithi huwa vinazidi.
 
Ni kweli unaweza kuuliza wazee wastaafu walikuwa wapi. Lakini somo la saikolojia na hulka ya binadamu ndiyo inatoa jibu. Ukiacha kiongozi mmoja na mwingine nusu, wengi wao wanajali namna watakavyotaka kuzikwa kuliko kugombana na viongozi wa sasa. Hili jibu nalitoa kama unataka maelezo yasiyo ya kinafiki! Watu wanaopigana mpaka kufa ndiyo wenye jina la "Mwenye heri" au "Saints". Watu hao ni wachache sana duniani!
 
Mkuu hii Dua yako ya mwisho ni kiboko
 
Tena atupwe choon
 
Kwa jinsi lugha ya Malkia ilivyoharibiwa,sidhani kama aliyeandika na kutuma hiyo post ni Lissu.
 
lisu angeandika kiswahili tuh
Zote mbili ni lugha rasmi Tanzania..

Currently, English and Kiswahili are the official languages of the country. Kiswahili is used in government, and as the medium of instruction in primary school; English is the language of diplomacy and also the medium of instruction in secondary and post- secondary education.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…