Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya, Dogo mmoja wa Twitter huko X sasa hivi wamemfelisha

Alizingua sana hatimaye kimemlamba , asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu
 
ukiona umeshindwa kabisa kuji control, ondoka social medias. Sio lazima uwepo social media kama unajua mawazo yako yatakuletea shida na watawala. Speaking from experience, watu wa doria za mtandaoni wameongezeka sana saivi, kuna batch nzima ya force flani flani wamewekwa kwenye hio program.
 
Alizingua sana hatimaye kimemlamba , asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu
Mimi katika matajiri wote nawapenda waarabu , hao jamaa wana matatizo ila sio washamba ;mambo yao ni kimya kimya .

Katika kuwafahamu basi tajiri mstaarabu ni ''Bill gates'' , jamaa ana skendo nyingi ila yuko kimya . Huyu Musk naye ana ushamba wa kujifanya anajua kila kitu .
 
mbona yule tajir wa kihaya anajipost yeye na mali zake plus michambo mingi kwa watu lakini hajakutwa na jambo?,,,
Yule sio tajiri , zile ni sifa hana utajiri wowote . kwanza , yule ni spy na kada mtiifu wa CCM

Kuna kipindi kule twitter walimuhusisha na mambo ya kishirikina , anawejka uzi watu wanaomba pesa wanazotaka then anawatumia huku akisambaza screenshots . So , walidai ni mambo ya kuiba nyota , ila mimi siamini hayo mambo ya kishirikina .
 
Mkuu si useme tu ni hawa vijana zaidi ya 5000 waliotoka CCP moshi mwezi wa tano.
 
Haujakosea madini matupu
 
ila twende mbele turudi nyuma, hivi anajishugulisha na nini haswa au anafanya kazi gani? maana toka nafuatilia post zake huwa naona tu anajipost yeye na mali zake sijui kanunua gari flani mara appartment flani au yupo vacation ila kazi anayo fanya ni ipi inayompa hiyo mipesa
 
Musk ana chembe chembe za uAfrika si kazaliwa bondeni
 
Elon Musk amepata hasara kiasi gan had sasa
Naona mkuu hukufuatilia uzuri sakata lao na trump, hisa za tesla zilishuka mara 2 kipindi cha kampeni mpka trump akampambania baada ya kuingia madarakan, akaja tena kugombana na trump mpka akajiuzulu kwenye D.O.G.E. hadi leo hii karudi mwenywe kumlamba miguu trump majuzi tu walikuwa nae china.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ