Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Wewe jamaa umeshakuwa chizi?


Kwahiyo sehemu ikiwa na supermarket, bank ni mjini????
Kilimanjaro kiufupi maeneo yake yote hâta vijijn Kuna Kila hudumaa
Vijijini maduka makubwa kabisa ya mtaji hâta WA million 700 yapo barabara Safi zipo, miundombinu yote IPO,mahotel makubwa yapo kwahyo haijulikan
 
Wewe sio mchaga
Uchumi haupimwi hivyo,hâta ulaya imejengwa na rasilimali za África,kwahyo Sasa tuseme África n tajiri kuliko ulaya? Pole sana ngosha unaejifanya mchaga,hatuna Wachaga wasio juá principes of economy
Kama Wewe mchaga tuongee kichaga hapa
 
Sasa bukoba mjini au hâta miji yote kiujumla automatique lazm kiwango chá umaskini kiwe kidogo
Mjini watu wengi Wana uwezo hyo ni elementary kabisa[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Matajiri wa moshi wanatengemea pesa za Tasaf...usiwasikilize sana hao

Kuna umaskini wa kutisha huko moshiView attachment 2583343
Hâta ujerumani nilikuta ombaomba
Umaskini upo hâta USA Ila tunaangalia kiwango
Kilimanjaro ni 10% tu Kagera ni 38.9%
Kilimanjaro hakuna MTU yeyote anaelala nyuma ya nyasi kama kwenu Kagera,umeona tofauti?
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Wewe mhaya umechanganyikiwa Haki,Sasa unaleta data za 2001? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Nimecheka Hadi nimemwaga Bia yangu
 
Kwahyo kwa Tafsir Yako MTU anaeuza nyanya na vitunguu stand ni maskini ? My God una Elimu gani mkuu? Tuanzie hapo
 
Nbs ni ya hao wachaga labda
 
Swali lilikuwa nitajie majina ila naona umekuja na gazeti, pole nikutakie siku njema mkuu!!
[emoji2][emoji2][emoji2]umemaliza huyu mdengereko WA mwanaromango,Ana povu maana wachaga wamewanunua wamesukumwa kibiti sasahv Hadi mwanaromango ishanunuliwa[emoji2][emoji2] heshima pesa
 
Kinachofanya Kilimanjaro haiwekwi kwenye kundi la mikoa masikini ni IDADI NDOGO YA WATU.


Na hii ni Kwasababu watu wengi wa Kilimanjaro wanapakimbia kila siku.
Akili za memkwa hizi, umesahau kuwa Kilimanjaro ni mkoa WA 4 kuchangia GDP? Kungekuwa hakuna watu hyo GDP ingetoka wapi?
2:vigezo vya umaskini ni makazi , miundombinu, huduma za jamii NK
Je Kilimanjaro Kuna Kijiji Chochote kimakosa hizi huduma? Kilimanjaro vijijini Kuna Hadi zahanati za private achilia mbali lami
Kwahyo hakuna namna yoyote Kilimanjaro itaacha kuwa juu
Kinachokufanya useme hivyo ni kuona Wana Kilimanjaro nchi nzima,hujui wachaga wamesambaa kwasababu ya exposure na Elimu? Miaka ya 40's wachaga walikuw washapanda ndege Hadi un Huko sembuse kusambaa TZ nzima? Nyie mlikuwa kucheza baikoko Huko mkuranga mkaacha kusoma exposure mngeipatia wapi? Shika Elimu
 
Nenda kaharishe kwanza huo uvundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…