Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Pigia mstariPasipo kusahau mashabiki wa team WCB,KIBA& KONDE GANG
Utakuwa umeifanyia nchi yako jambo kubwa sana.Nina ungana na wewe OP
Narudia, Nina ndoto ya kuziondoa/kuziua Simba na Yanga for the betterment of our sports industry hasa mpira wa miguu
Jumlisha na wale wanaopenda movie za kutafsiriwaPasipo kusahau mashabiki wa team WCB,KIBA& KONDE GANG
hata ungekuwa na uwezo huwezi kuondoa Simba na Yanga ,na kuziondoa ndo unaua soka ,Simba na Yanga hata zishuke daraja la 3 bado ushabiki tutaendelea naoNina ungana na wewe OP
Narudia, Nina ndoto ya kuziondoa/kuziua Simba na Yanga for the betterment of our sports industry hasa mpira wa miguu
Tatizo mapenzi yenu kuna mda yanapitiliza had yakuwa ni yakuharibu badala ya kujenga.Ni mapenzi tu kwa anachopenda mtu ,heri sisi wapenda soka na wenye mapenzi na hivi vilabu . Mtu anayeongelea soka ni afadhali kuliko wale wanaoongelea ngono mda wote ,ukikaa tu kidogo mtu lazima aanzishe mada ya ngono.
Kushabikia na kuongea kiasi siyo shida. Kuna wale ukimuona tu unajua hapa hatuna la maana la kuongea zaidi ya kumuongelea Kakolanya na habari za Mkude. Fuatilia vizuri, wengi wao siyo wazima kichwani.Ni mapenzi tu kwa anachopenda mtu ,heri sisi wapenda soka na wenye mapenzi na hivi vilabu . Mtu anayeongelea soka ni afadhali kuliko wale wanaoongelea ngono mda wote ,ukikaa tu kidogo mtu lazima aanzishe mada ya ngono.
mpira una raha yake ,kwanza ukimfunga mwenzako stress zote unazishushaTatizo mapenzi yenu kuna mda yanapitiliza had yakuwa ni yakuharibu badala ya kujenga.
Hiv naangaliaga zilizo fanyiwa dubbing tu nazo ni mbili tu Neria na movie ya yesu bas, nyingne hizo huwa zinaniboa sana maana unakuta wanatafsiri tofauti na kinacho zungumzwa.Jumlisha na wale wanaopenda movie za kutafsiriwa
😍hata ungekuwa na uwezo huwezi kuondoa Simba na Yanga ,na kuziondoa ndo unaua soka ,Simba na Yanga hata zishuke daraja la 3 bado ushabiki tutaendelea nao
Nafahamu hilo chief, Nilijaribu kuwagusia watu sehem fulani kuhusu hilo walinielewa sana tena sana tuu japo changamoto ya hoja ilikuwepo.Utakuwa umeifanyia nchi yako jambo kubwa sana.
Nimesema kuziua ama kuondoa sio kuzishusha daraja.hata ungekuwa na uwezo huwezi kuondoa Simba na Yanga ,na kuziondoa ndo unaua soka ,Simba na Yanga hata zishuke daraja la 3 bado ushabiki tutaendelea nao
Unalazimishaje maongezi uyapendayo wewe?!!!!Kushabikia na kuongea kiasi siyo shida. Kuna wale ukimuona tu unajua hapa hatuna la maana la kuongea zaidi ya kumuongelea Kakolanya na habari za Mkude. Fuatilia vizuri, wengi wao siyo wazima kichwani.
badala ya kuzikuza na kuziendeleza unawaza kuziua sasa hapo unafanya nini ,? Unaweza kusema zinaua mpira wa bongo kwa sababu ni Yanga tu na Simba sinajadiliwa ,ila hata Spain Barcelona na Real Madrid wametoka mbali na ligi ya Spain ipo juu,Zamalek na Ismail ,Mamelodi na Orlando Pirates, Uwe na mawazo ya kuboresha si kuharibuNafahamu hilo chief, Nilijaribu kuwagusia watu sehem fulani kuhusu hilo walinielewa sana tena sana tuu japo changamoto ya hoja ilikuwepo.
Naweza kuleta Uzi mzuri kuhusu Hili. If variables remain constant
Nimesema kuziua ama kuondoa sio kuzishusha daraja.