Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
😲😲🤣🤣🤣Nina ungana na wewe OP
Narudia, Nina ndoto ya kuziondoa/kuziua Simba na Yanga for the betterment of our sports industry hasa mpira wa miguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😲😲🤣🤣🤣Nina ungana na wewe OP
Narudia, Nina ndoto ya kuziondoa/kuziua Simba na Yanga for the betterment of our sports industry hasa mpira wa miguu
Exquisite 👊badala ya kuzikuza na kuziendeleza unawaza kuziua sasa hapo unafanya nini ,? Unaweza kusema zinaua mpira wa bongo kwa sababu ni Yanga tu na Simba sinajadiliwa ,ila hata Spain Barcelona na Real Madrid wametoka mbali na ligi ya Spain ipo juu,Zamalek na Ismail ,Mamelodi na Orlando Pirates, Uwe na mawazo ya kuboresha si kuharibu
We jamaa me mwenyewe nimeona ni kweli. Maisha yao hayana tofauti na ndege wa angani.Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani.
Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga. Mara Mukoko hivi, mara Manara vile, kuwa naye makini sana. Usimuamini kwa jambo la msingi. Huwa hawana mawazo ya maana. Hawana maongezi ya maana. Na mbaya zaidi wengi huonyesha dalili ya matatizo ya akili.
Jiepushe na watu wa namna hiyo.
Kuna dalili nyingi za magonjwa ya akili zaidi ya hizo. Na magonjwa ya akili ni mengi zaidi ya Schizophrenia. Mfano hawa jamaa wanaonyesha obssesion ya hatari ambayo ni alarm kuwa kuna shida kwa kichwa.Mkuu unatukosea sana.....
Kitaalamu ili mtu "asiwe timamu na awe na matatizo ya akili" ni lazima aweze kuingia katika "CATEGORY" mbili zifuatazo:-
1)Delusions
2) Hallucinations
Je katika TAFITI yako ya hao "70%" wana SIFA HIZO ?!!!!
Mkuu acha bana....ikiwa wewe HUPENDI MCHEZO WA MPIRA mathalani wa vilabu hivi viwili basi utakuwa UNA MAPENZI MAKUBWA NA VITU VINGINE....VINGINEVYO VISIVYOHUSU MPIRA WA MIGUU....je nawe ni "mgonjwa wa akili"?!!!
Endelea kukaa na mkeo mkipiga soga muda ambao sisi wengine tuko "Kwa Mkapa,mabanda umiza na mabishano ya DERBY YA K/KOO humu katika vijiwe vya kahawa na Al Kasus"....
Ndimi Yanga Lialia.....
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#1935ForEver
YETZER-HA-TOV
Hahaaa, eti ndege wa angani.We jamaa me mwenyewe nimeona ni kweli. Maisha yao hayana tofauti na ndege wa angani.
Kama kuna kaukweli fulani hivi.Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani.
Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga. Mara Mukoko hivi, mara Manara vile, kuwa naye makini sana. Usimuamini kwa jambo la msingi. Huwa hawana mawazo ya maana. Hawana maongezi ya maana. Na mbaya zaidi wengi huonyesha dalili ya matatizo ya akili.
Jiepushe na watu wa namna hiyo.
Sawa sawa.badala ya kuzikuza na kuziendeleza unawaza kuziua sasa hapo unafanya nini ,? Unaweza kusema zinaua mpira wa bongo kwa sababu ni Yanga tu na Simba sinajadiliwa ,ila hata Spain Barcelona na Real Madrid wametoka mbali na ligi ya Spain ipo juu,Zamalek na Ismail ,Mamelodi na Orlando Pirates, Uwe na mawazo ya kuboresha si kuharibu
Umetaja mashabiki wa Simba na Yanga tu....Kuna dalili nyingi za magonjwa ya akili zaidi ya hizo. Na magonjwa ya akili ni mengi zaidi ya Schizophrenia. Mfano hawa jamaa wanaonyesha obssesion ya hatari ambayo ni alarm kuwa kuna shida kwa kichwa.
Mkuu kweli. Hata kumiliki king'amuz cha wengi hawawezi. Niliamia mtaa mmoja alikuja mwamba mmoja kucheki game duh kesho yake walikuja kama sita kabeba wenzake. Ikawa ndo mchezo kilivyokata nikatulia nikawaambia jazeni walipotea wote.Hahaaa, eti ndege wa angani.
Mi nimeobserve kwa mashabiki wa Simba na Yanga. Bila shaka watakuwepo wa aina kama hiyo wanaoshabikia Barcelona, Madrid, nk.Umetaja mashabiki wa Simba na Yanga tu....
Kwa hiyo wa Liverpool na Man Utd hawamo ?!!!
Wa Barca na Madrid ?!!!
Wa PSG na Marseille?!!!
Mkuu kama wewe huupendi mpira wa miguu wa vilabu....kama wewe si mwanachama na shabiki wa hivi vilabu basi "hatukushangai" na usitushangae.....
Inawezekana hata wewe uko "obsessed" na kazi.....uko obsessed na mapenzi/mke....uko obsessed na "internet" ,movies ,novels ,magazines etc........
Sawa....Mi nimeobserve kwa mashabiki wa Simba na Yanga. Bila shaka watakuwepo wa aina kama hiyo wanaoshabikia Barcelona, Madrid, nk.
Mkuu kila kitu kinatakiwa kufanywa kwa kiasi, kikizidi huwa ni shida. Unampata Don Quixote? Mashabiki wanazi wamepata upungufu wa akili kama alivyopata Don Quixote. Obsession isiyo ma afya.
Kama kenya walivyo zitoa Gor Mahia na FC Leorpard,hizi timu zetu ni za hovyo sanaNina ungana na wewe OP
Narudia, Nina ndoto ya kuziondoa/kuziua Simba na Yanga for the betterment of our sports industry hasa mpira wa miguu
Kitaalam binadamu ni lazima atakuwa kuna kitu anakipenda sana hata kufikia kuwa kero kwa baadhi ya watu wengine. Hupendi mpira sawa ila jichunguze kuna uwehu flani upo, huko kunaitwa kupendaYaani hakuna nisichopenda Kama mpira hata wacheze Simba na yanga me sina habari.
Nchi nyingi zenye ushabiki mkubwa wa timu katka mchezo wowote ule, huwa zimeendelea kiuchumi na kimaisha (socially).Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani.
Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga. Mara Mukoko hivi, mara Manara vile, kuwa naye makini sana. Usimuamini kwa jambo la msingi. Huwa hawana mawazo ya maana. Hawana maongezi ya maana. Na mbaya zaidi wengi huonyesha dalili ya matatizo ya akili.
Jiepushe na watu wa namna hiyo.
Malizia kabisa timu wema na timu zaribili wodi ya vichaa ikamilike maana kuna vichaa wafanya fujo, wavua nguo na ma mental fresh ila mwezi wao ukifika wote wodiniPasipo kusahau mashabiki wa team WCB,KIBA& KONDE GANG