Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Na mashabiki wa CCM na CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mleta mada ndiyo ana matatizo ya akili. Hizo ni fantasy za watuKwahiyo unataka kumaanisha kuwa Tate Mkuu na NAWATAFUNA Insigne @ na OKW BOBAN SUNZU wana matatizo ya akili? maana kila nyuzi wao ni Simba na Yanga.
Kuna mmoja wao hapo yeye kaenda mbali zaidi, kaamua kuweka kabisa picha ya mmiliki wa club moja hivi hapa Tz.
Ni husda tu za watu wanaokaa na dada zao vibarazani.Kwahiyo unataka kumaanisha kuwa Tate Mkuu na NAWATAFUNA Insigne @ na OKW BOBAN SUNZU wana matatizo ya akili? maana kila nyuzi wao ni Simba na Yanga.
Kuna mmoja wao hapo yeye kaenda mbali zaidi, kaamua kuweka kabisa picha ya mmiliki wa club moja hivi hapa Tz.
🤣🤣Hahahahah Choprichopri
Ha ha ha mkuu wangu nami nasuuzika kweli kuwajikumbusha umuhimu wa chanjo 🤣🤣Mkuu huwa unanifurahisha sana, wewe kila sehemu lazima uchombeze neno kuhusu chanjo[emoji28][emoji28].
".....wanaokaa vibarazani na dada zao...."🤣👋👋Ni husda tu za watu wanaokaa na dada zao vibarazani.
ni bora sisi tuko busy kwenye Simba na Yanga kuliko wao waliobize kuangalia porn.
Simba na Yanga ni watani wa jadi tu,ni swala la mapenzi ya mtu.
mwana Simba mwenzangu ni Man U na mimi Arsenal,hizi timu zikicheza huko ng'ambo tunaparulana kama kawaida.
🤣🤣Tutaelewana kote ila utakapo zungumzia Yanga vibaya hapo hatuwezi kuelewana kabisa
Ukiacha upuuzi wako nitakuachaHumu JF kuna members mamilioni,unaonaje ukitengeneza ushikaji na wengine badala ya kukomaa na mimi. Several times nakuonya achana na mimi, acha kunitag,acha kuni quote. Nitumie lugha gani broo
Naelewa mkuu, mimi pia ni mwana Simba Sc.Ni husda tu za watu wanaokaa na dada zao vibarazani.
ni bora sisi tuko busy kwenye Simba na Yanga kuliko wao waliobize kuangalia porn.
Simba na Yanga ni watani wa jadi tu,ni swala la mapenzi ya mtu.
mwana Simba mwenzangu ni Man U na mimi Arsenal,hizi timu zikicheza huko ng'ambo tunaparulana kama kawaida.
Nafahamu hilo chief, Nilijaribu kuwagusia watu sehem fulani kuhusu hilo walinielewa sana tena sana tuu japo changamoto ya hoja ilikuwepo.
Naweza kuleta Uzi mzuri kuhusu Hili. If variables remain constant
Nimesema kuziua ama kuondoa sio kuzishusha daraja.
Mkuu kweli. Hata kumiliki king'amuz cha wengi hawawezi. Niliamia mtaa mmoja alikuja mwamba mmoja kucheki game duh kesho yake walikuja kama sita kabeba wenzake. Ikawa ndo mchezo kilivyokata nikatulia nikawaambia jazeni walipotea wote.
Kama kenya walivyo zitoa Gor Mahia na FC Leorpard,hizi timu zetu ni za hovyo sana
Yaani hakuna nisichopenda Kama mpira hata wacheze Simba na yanga me sina habari.
Hapo ni kuingilia uhuru wa watu,.....na kwa namna hyo tu ww hufai kuwa kiongoz kweny taasisi yyt maana utataka wafanyakaz wafanye jambo kwa kufuata matakwa yako...nna hofu hata familia yako imekosa furaha kutokana na mtzamo wako ulivyo
Binadamu wana mambo mengi na wanatakiwa kuwa na kiasi kwa kila jambo hasa mwanaume. Unatakiwa ukikaa na watu uweze kuwa na mazungumzo ya aina mbalimbali. Sasa wewe mtaa mzima au ofisini wanajua wewe ni mtu wa mpira, mzungumza mpira muda wote.Ni husda tu za watu wanaokaa na dada zao vibarazani.
ni bora sisi tuko busy kwenye Simba na Yanga kuliko wao waliobize kuangalia porn.
Simba na Yanga ni watani wa jadi tu,ni swala la mapenzi ya mtu.
mwana Simba mwenzangu ni Man U na mimi Arsenal,hizi timu zikicheza huko ng'ambo tunaparulana kama kawaida.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu kweli. Hata kumiliki king'amuz cha wengi hawawezi. Niliamia mtaa mmoja alikuja mwamba mmoja kucheki game duh kesho yake walikuja kama sita kabeba wenzake. Ikawa ndo mchezo kilivyokata nikatulia nikawaambia jazeni walipotea wote.
Correct. It’s really disconcerting to realize that a bunch of these diehard fans are often suicidal or inclined to go on murderous rampages to express their displeasure with match outcomes.In this current life, never take everything seriously. Especially in social network life
Kuna illusion piaUmetaja mashabiki wa Simba na Yanga tu....
Kwa hiyo wa Liverpool na Man Utd hawamo ?!!!
Wa Barca na Madrid ?!!!
Wa PSG na Marseille?!!!
Mkuu kama wewe huupendi mpira wa miguu wa vilabu....kama wewe si mwanachama na shabiki wa hivi vilabu basi "hatukushangai" na usitushangae.....
Inawezekana hata wewe uko "obsessed" na kazi.....uko obsessed na mapenzi/mke....uko obsessed na "internet" ,movies ,novels ,magazines etc........
N.B
Mkuu kuna UKICHAA usio na "delusion na hallucination"?!!!
Pamoja mkuu,nashukuru kwa kuna tag,huyu mleta uzi anatuonea gere mashabiki wa Simba na Yanga.Naelewa mkuu, mimi pia ni mwana Simba Sc.
Naona mleta mada kaamua kuleta mada chokozi Ili kuziteka hisia za mashabiki wa Simba na Yanga.