Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

Kuna tofauti kati ya kupata mtoto ukiwa kijana naunapokuwa mzee. Kwa uzoefu wangu unafurahia mtoto ukiwa una umri mkubwa.
 
Hata ukiwa na 50 unaweza zaa tu ilimradi uwe na uwezo na pesa ya kuhakikisha mtoto atakayezaliwa atapata mahitaji yake ya msingi kama chakula, Elimu na malazi hata pindi ambayo hautakuwa duniani.
 
yaani umeze P2 au kujimaliza kwa Nyeto halafu usingizie mipango ya Mungu, hiyo ni kufuru gentleman πŸ’
Una uhakika gani ,wewe umekuwa mpaka miaka 20 hauna mtoto ,inakuwaje uwe na wasiwasi wakati ulizaliwa mwenyewe..Hakuna uhusiano kila kitu kipo nje ya uwezo wa mtu.


Watu wanazaa vichaa, jaalia unazaa mtoto anakuwa wa mwisho darasani , mwingine jambazi kila kitu ni mtihani..Final unakufa hkun utaondoka nacho.
 
Dunia hii watu wanapeana wasiwasi wala hakuna cha maana ,kila mtu ana imani yake ...Huko Mbeya kijana wa miaka 26 ,ana watoto 3 kajinyonga kwa ugumu wa maisha .
 
yaani umeze P2 au kujimaliza kwa Nyeto halafu usingizie mipango ya Mungu, hiyo ni kufuru gentleman πŸ’
Sio wote wanaochelewa kupata watoto walimeza dawa, mie kuna mkaka alio mkewe hawakupata watoto familia wakamzonga akamwacha mkewe, akaoa binti mdogo katoka kumaliza STD 7 kamleta mjini, mwaka ukakatika hamna kitu mwaka wa pili kimya watu wakamwambia binti mwenzio aliondoka kisa hazai, haya yule aliyeachwa kaja siku Moja kuwa salimia ana watoto 2 mapacha , aibu iliowakuta acha ni familia nilikuwa naifahamu.
 
Kwa mfano hapo : unakuta huyo jamaa ana tatizo labda la asili ,atafanyaje zaidi ya mipango ya Mungu..

Kiufupi tunaishi kwa kubahatisha ila hakuna uhalisia ,dunia ina mengi utakufa bado unatamani maisha ...
 
Dunia hii watu wanapeana wasiwasi wala hakuna cha maana ,kila mtu ana imani yake ...Huyo Mbeya kijana wa miaka 26 ,ana watoto 3 kajinyonga kwa ugumu wa maisha .
Embu ona sasa mwingine ana 40yrs anatafuta watoto, Dunia hii haipo sawa kabisa
 
Embu ona sasa mwingine ana 40yrs anatafuta watoto, Dunia hii haipo sawa kabisa
Dunia ni ubatili mtupu ukifikiria mara mbili ,wengine wana pesa wakati huo wengine ni mafukara..Kuna walemavu ,wengine wanazaliwa na matatizo ,pamoja na magonjwa ya asili.

Kuna watu walikuwa wanawatenga hata wale watoto waliozaliwa na HIV ,kosa lao liko wapi ? Wamejikuta tu duniani.πŸ˜‘​
 
Kwa mfano hapo : unakuta huyo jamaa ana tatizo labda la asili ,atafanyaje zaidi ya mipango ya Mungu..

Kiufupi tunaishi kwa kubahatisha ila hakuna uhalisia ,dunia ina mengi utakufa bado unatamani maisha ...
Ndiyo hivyo mkewe alitukanywa kweli na familia na walikuwa wanaishi hapo kwao, kelele zilipozidi kaenda kupanga haikusaidia akamwacha, haya kapata bwana huko nasikia alimwambia nimeachika kisa sizai, huyo kija kamwambia tulia tule maisha hayo mengine achna nayo MUNGU anajua mwenyewe, ndani ya miaka 2 uzao mara 2 watoto 3.
 
Unaona sasa unamtengaje mtoto kwani aliomba kuwa hivyo, wao wanajua mwisho wao? Ndiyo maana watu wanapata adhabu toka kwa MUNGU wee acha tu
 
Ukimaliza hao uandae uzi mahususi kwa ajili ya kina sisi ambao tulipata watoto tukiwa under 20 πŸ˜ƒ sasa hivi dogo lina ndevu na sauti nzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…