Ukitaka amani katika ndoa, oa mwanamke Muislamu mbadilishe kuwa Mkristu

Kwa kisa hiki as if key changer ni uislamu, unfortunately badala ya wewe kuwa muislamu umemrudisha binti wa kiislamu huko unakosema hakuna maadili mema. What a disgrace is that!
Mimi nimeumia kwa kweli yeye abgeufuata uislam angeenjoy zaidi...
Kuna jamaa yangu alikuwa mkristo na mkewe alikuwa Muislam....kwa Sasa ana wake watatu amenipita Mimi muislamu og....
 
Kwa utafiti usio wa kisayansi kwa kweli kuna tofauti kwenye usafi kati ya mabinti wa kigalatia na hao wenzao wa kiislam. Na hii haijalishi mhusika awe wa mjini au kijijini, msomi au maamuma. Hawa mabinti wa kiislam mkikutana kwenye lile tukio pendwa lazma atapita kwanza maliwatoni kujiswafi au atahakikisha yu mswafi. Ni ngum kukuta wanatoa miharufu ya ajabuajabu. Sasa kimbembe kipo kwa hawa wenzao wengine.
 
Simply badili dini uwe Mwislam acha upuuzi wewee,sasa hapo hadi Mwislam umbadili aje kwenye ukristo huo ukristo una jipya lipi?
 
Sasa hapo umeoa muislam au umeoa mkristo aliywahi kuwa muislam?
 
Mapepo yanatolewa kwa jina la Kristu Yesu na binti anafanyiwa maombi ya deliverence fresh anakua tayari kwa matumizi.
 
Aise ni hatari mkuu
 
Sio kweli.

Hujakutana tu na wanawake wa kiislamu wakakusumbua.

Kama hao ni watu ideal sana kuoa, mbona huko talaka ndio nyingi na zinatokana na kukosekana kwa uaminifu na tabia mbaya??
 
Nakubaliana na wewe, hawa viongozitu Wakristo hawajabase sana kwenye maadili, wao ni miujiza na mafanikio hapo unakuta mdada na liwigi lake kichwani, makope bandia makucha bandia, yupo "ameeen I receveive papaa"
 
Changamoto ni kuwa uislam umeruhusu wanaume kuowa wanawake wasio waislam lakini wanawake wa kiislam wamekatazwa kuolewa na wanaume wasio waislam
Haki sawa..tutawapa mimba iwe njia rahisi ya kuwaoa
 
Sio kweli.

Hujakutana tu na wanawake wa kiislamu wakakusumbua.

Kama hao ni watu ideal sana kuoa, mbona huko talaka ndio nyingi na zinatokana na kukosekana kwa uaminifu na tabia mbaya??
Ukristu ungeruhusu talaka zaidi 95% za ndoa za Kikristu zingevunjika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…