Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Unaweza kuwabahatisha kule eskotiiii, ikiwezekana unaweza kumsafirisha toka sehemu/nchi moja kwenda nyingine
 
Diddy katika kumfahamu kwangu sijawah ona ana mwanamke aina hii, inawezekana kwake wale kina Cassie, Jenny ndio pisi kali. Sasa unataka wote mpende hayo mamizigo alafu sie vimbau mbau nani atupende?
Aliwah kupigwa miracle watts na miracle ni wa moto, kwanza hata jlo ni mzuri kinomaa... at 55 yuko hivi alivyokua mdogo je....
 

Attachments

  • images.jpeg-2.jpg
    4.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…