Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #101
Tena nyie wafugaji ndio mko vizuri, nguruwe 10 tu wanabadilisha maisha yako.Mkuu sis TUNAO FUGA NGURUWE acha tuwe wapole muda wote sis ni ..... acha madem wakal watupite BADO TUNA SIKILIZIA
Mfafanulie kwa kiswahili nadhani msingi wake umejikita katika ku-persuade girls lakini hajajifunga kwamba ndo mbinu pekee za kuvua samakiUpo katika Climax of thinking -
Hivi mbona una dharau hivi 🤔sio nguruwe wanaitwa mbuzizeluzelu🤣Tena nyie wafugaji ndio mko vizuri, nguruwe 10 tu wanabadilisha maisha yako.
😂 Hiyo utavaa mwenyewe.Nitakuletea kama zawadi tarehe 14
Ni mtazamo tuUpo katika Climax of thinking -
Aliwah kupigwa miracle watts na miracle ni wa moto, kwanza hata jlo ni mzuri kinomaa... at 55 yuko hivi alivyokua mdogo je....
Mfananishe na huyuAliwah kupigwa miracle watts na miracle ni wa moto, kwanza hata jlo ni mzuri kinomaa... at 55 yuko hivi alivyokua mdogo je....
Omba omba utawajua tuUwe na gari kubwa land cruiser usubiri wanawake wakuhonge pesa. Unajiaibisha bro.
Mwanaume mwenye sifa hizo anatakiwa awe na pesa zake na si za kuhongwa.
Unajua ata kupiga mswaki ni njia mojawapo ya kushawishi upande wa pili ili wajue mdomo wako unanukia vizuri?Mfafanulie kwa kiswahili nadhani msingi wake umejikita katika ku-persuade girls lakini hajajifunga kwamba ndo mbinu pekee za kuvua samaki
Ebu agiza nusu hapo na kachumbari kwa mbaliiHivi mbona una dharau hivi 🤔sio nguruwe wanaitwa mbuzizeluzelu🤣
Hapa sasa ndo pazuriUwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi
Yaani mimi lazima nikuombe utake usitake. Kama hujiongezi kwa vipesa vya hapa na pale au zawadi ndogo ndogo my friend ujue kuna mwingine tu ambae anafanya hivyo kwangu.Omba omba utawajua tu
Kwanza kuzipata si rahisi😂 Hiyo utavaa mwenyewe.
Yote tisa nasema tena yote tisa🤣Mkuu wewe kwenye fasheni bado sana Ila point ya kusema usihonge honge, miliki chuma yako, nakubali
Sasa sisi ambao hatuna taili la baiskeli haturuhusiwi kusimamisha makhaghari🤔kwahiyo mapenzi ni kwa ajili ya waliona vipato vikubwa
Una uhakika hizo ni amri hapo juu haiwezi kuwa vice versa?
Yaani unakuta demu kapuliza malashi makali na wewe et unapulizia makali..kama mimi ukija kwangu nakuambia ukizingua nakutimua!Mwanaume Rijali unayepembana haiwezekan kila muda uwe unanukia perfume.
Mnafanya Wanaume Wa Dar waonekane Mchele mchele
Akikuambia kuna dili anasikilizia umsikilize na umpatie nafasiHapa sasa ndo pazuri
Nimesoma vipengele viwili vya kwanza, Nika Cheka Sana, this is total bullshit! Ngozi inukie pesa, kwa kukesha kwa mwamposa na kapola! C Mon dude, surely ur life ambition can not, should not be to attract women, and being womanizer!
Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho) Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka. Uwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi Usiwe mtu wa makundi, ishi mwenyewe mwenyewe, mfano ukienda sehemu, nenda mwenyewe. Uwe ni mtu wa kusaidia wahitaji kwa wanaohitaji msaada wako. Ukiwa na gari kubwa kama land cruiser hivi, itapendeza zaidi Piga viatu vya ngozi rangi nyeusi, ikiwa travolta itakuwa powa zaidi. Vaa suruali ya jinsi ya kijani na shati jeupe linaloonyesha vest uliovaa ndani. Kama utakosa jinsi ya kijani, unaweza kuvaa zilizopo. Ndevu ziwe fupi za kuchana na brashi, ikiwezekana uzitoe kabisa; usifuge mzuzu kama beberu. Kichwani unaweza kunyoa kipara, au staili ya box Kichwani, paka mafuta yatakayoonyesha mpaka shina la nywele, ngozi ya kichwa ing'ae. Usihonge mwanamke yeyote, waache wao wakuhonge kwa sababu watakuwa wanakutafuta kama utitiri kwenye nyumba za ibada, waganga n.k Achana na wanawake wanao omba omba hela. Baada ya hapo, kula maisha kama mwanaume halisi anavyotakiwa kuishi.
😅😅😅😅😅hapa hata uwe na nywele safi hadi ubongo uonekane . Kama hutoi hela hakuna atakayekuhitaji.Achana na wanawake wanao omba omba hela.
Hujawahi kumpenda mtu jinsi alivyo, na ukahisi kama atakuacha unaweza kujinyonga?Yaani mimi lazima nikuombe utake usitake. Kama hujiongezi kwa vipesa vya hapa na pale au zawadi ndogo ndogo my friend ujue kuna mwingine tu ambae anafanya hivyo kwangu.
Nature ya mwaaume ni kuhudumia..ipo hivyo kwa upande wangu na itaendelea kuwa hivyo milele na milele amina. Hutaki...unasepa tu kiroho safi wala sikuulizi