Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Ukitaka kuwatesa warembo wakali wa mjini, wakutafute kwa udi na uvumba, fanya hivi wewe mwanaume

Mkuu sis TUNAO FUGA NGURUWE acha tuwe wapole muda wote sis ni ..... acha madem wakal watupite BADO TUNA SIKILIZIA
Tena nyie wafugaji ndio mko vizuri, nguruwe 10 tu wanabadilisha maisha yako.
 
Aliwah kupigwa miracle watts na miracle ni wa moto, kwanza hata jlo ni mzuri kinomaa... at 55 yuko hivi alivyokua mdogo je....
Mfananishe na huyu
fu.jpg
 
Uwe na gari kubwa land cruiser usubiri wanawake wakuhonge pesa. Unajiaibisha bro.
Mwanaume mwenye sifa hizo anatakiwa awe na pesa zake na si za kuhongwa.
Omba omba utawajua tu
 
Mfafanulie kwa kiswahili nadhani msingi wake umejikita katika ku-persuade girls lakini hajajifunga kwamba ndo mbinu pekee za kuvua samaki
Unajua ata kupiga mswaki ni njia mojawapo ya kushawishi upande wa pili ili wajue mdomo wako unanukia vizuri?
 
Omba omba utawajua tu
Yaani mimi lazima nikuombe utake usitake. Kama hujiongezi kwa vipesa vya hapa na pale au zawadi ndogo ndogo my friend ujue kuna mwingine tu ambae anafanya hivyo kwangu.
Nature ya mwaaume ni kuhudumia..ipo hivyo kwa upande wangu na itaendelea kuwa hivyo milele na milele amina. Hutaki...unasepa tu kiroho safi wala sikuulizi
 
🤣Mkuu wewe kwenye fasheni bado sana Ila point ya kusema usihonge honge, miliki chuma yako, nakubali
Sasa sisi ambao hatuna taili la baiskeli haturuhusiwi kusimamisha makhaghari🤔kwahiyo mapenzi ni kwa ajili ya waliona vipato vikubwa

Una uhakika hizo ni amri hapo juu haiwezi kuwa vice versa?
Yote tisa nasema tena yote tisa
Kumi sasa hii ni kwa wanaume wote hapa nalenga wale wenye 6+" Hakikisha ukipewa mbususu japo kwa bahati mbaya fanya kama hujawahi fanya na kama hutawahi fanya tena kisha kausha usipige wala kupokea simu tena japo kwa miezi miwili.

Uone mrejesho wake,, narudia tena kusema kama Umejaaliwa 6+" pamoja na mapafu ya mbwa shukuru sana kila iitwapo leo hakuna zawadi kama hiyo hapa duniani kamwe..

Sio magari wala majumba
 
  • Hakikisha ngozi yako inanukia pesa (imenawiri, na vinyweleo vimesimama na kutoa jasho)​
  • Mwili wako unukie vizuri, sio ile harufu kali ya kutisha​
  • Uwe na biashara yako/ofisi yako inayoeleweka.​
  • Uwe ni mtu wa kuongea maneno machache ila vitendo viwe vingi​
  • Usiwe mtu wa makundi, ishi mwenyewe mwenyewe, mfano ukienda sehemu, nenda mwenyewe.​
  • Uwe ni mtu wa kusaidia wahitaji kwa wanaohitaji msaada wako.​
  • Ukiwa na gari kubwa kama land cruiser hivi, itapendeza zaidi​
  • Piga viatu vya ngozi rangi nyeusi, ikiwa travolta itakuwa powa zaidi.​
  • Vaa suruali ya jinsi ya kijani na shati jeupe linaloonyesha vest uliovaa ndani. Kama utakosa jinsi ya kijani, unaweza kuvaa zilizopo.​
  • Ndevu ziwe fupi za kuchana na brashi, ikiwezekana uzitoe kabisa; usifuge mzuzu kama beberu.​
  • Kichwani unaweza kunyoa kipara, au staili ya box​
  • Kichwani, paka mafuta yatakayoonyesha mpaka shina la nywele, ngozi ya kichwa ing'ae.​
  • Usihonge mwanamke yeyote, waache wao wakuhonge kwa sababu watakuwa wanakutafuta kama utitiri kwenye nyumba za ibada, waganga n.k​
  • Achana na wanawake wanao omba omba hela.​
  • Baada ya hapo, kula maisha kama mwanaume halisi anavyotakiwa kuishi.​
Nimesoma vipengele viwili vya kwanza, Nika Cheka Sana, this is total bullshit! Ngozi inukie pesa, kwa kukesha kwa mwamposa na kapola! C Mon dude, surely ur life ambition can not, should not be to attract women, and being womanizer!
Even our own Diamond of WCB,with all the riches he has managed to accumulate, does not go out fucking any creature with skirt!
For young people create wealthy(don't ask me how, am a bodaboda rider), pesa ni muhimu Sana, women, and sweet staff will come, but let it not be the driving force for you to create money! Life is more than that!
Kuna vijana kibao kitaa, hawana ajira, tengeneza ajira kwa ajili yao
 
Yaani mimi lazima nikuombe utake usitake. Kama hujiongezi kwa vipesa vya hapa na pale au zawadi ndogo ndogo my friend ujue kuna mwingine tu ambae anafanya hivyo kwangu.
Nature ya mwaaume ni kuhudumia..ipo hivyo kwa upande wangu na itaendelea kuwa hivyo milele na milele amina. Hutaki...unasepa tu kiroho safi wala sikuulizi
Hujawahi kumpenda mtu jinsi alivyo, na ukahisi kama atakuacha unaweza kujinyonga?
 
Back
Top Bottom