Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

Hivi kwanini mabinti wengi wa secondary wanapenda kutoka kimapenzi na bodaboda?
Umaskini wa wazazi wao.Ambapo unakuta nyumbani BASIC NEEDS kama chakula ni kipengele,hela ya matumizi na kujinunulia vitu vidogo hawapewi,hela ya nauli ya kwenda shule nayo mtiti.

Mazingira ya nyumbani hayashawishi kujisomea bali ujingaujinga.Kwenye familia unakuta msomi ni FORM FOUR FAILURE ambaye anakiduka chake cha vijoro akiwa na kigari na pesa ya bia utawaambia nini waswahili kuhusu shule.Unakuta madogo wanakosa wa kuwakumbusha umuhimu wa shule!!!

Ndo hivyo unakuta vitoto vinaanza kujilengesha kwa maskini wenzao waliochangamka a.k.a MABODABODA.
 


Wewe unachuki na Uislam. Huo u"atheist" unajifichia tu ndani yake. Ni kama wale wazee wa "hizi dini hizi!" lakini huwa wanautukana Uislam tu na Waislam.

Mnajua kabisa hivyo vituko wanavyofanya hao watoto hapo havina uhusiano wowote kabisa kabisa na Uislam. Lakini mna chuki mpaka inawakaba, hata haya hamuoni kabisa.


Halafu baadhi yenu mnaficha chuki zenu dhidi ya Uislam nyuma ya kujifanya mnazipinga Dini zote.
 
NDIO NDIO 🎤
 

hapo ni ngumu kukubishia ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…