Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii



Acha ujuaji wa kipumbavu. Suala la maombi ni mtu na imani yake na Mungu wake. Wewe kama hayakuhusu si unaachana nayo? Hakuna ujuaji kwenye imani za watu.
 
Na bado , mmeanza kuweweseka mapema mno, wewe ni Mungu??? Em learn to mind your own business Bitch
 
Acha ujuaji wa kipumbavu. Suala la maombi ni mtu na imani yake na Mungu wake. Wewe kama hayakuhusu si unaachana nayo? Hakuna ujuaji kwenye imani za watu.
Halafu anajifanya mlokole kumbe mmbea mmoja tuu...kusema wenzake as if aliwasiliana na Mungu kusikia kama hawasikilizi.
 
Maombi kama hayo.mazito ya Taifa huhitaji kuwa siri kwa waombaji tu sio kutangaza njia panda utadhani tangazo la biashara unauza Azam Ashikrimu
Hata shetani hapendi wanaoomba kuziziba njia zake
 
Nani kajionyesha kwa nani, mlitumwa na nani mkazurure kwenye makanisa ya watu halafu muanike habari zao mitandaoni? Walijitangazia wenyewe wafanye maombi yao msiohusika mkautangazia ulimwengu. Acheni shobo na imani za watu.

Eti unajifanya msemaji wa Mungu. Sadukayo wahed
 
Kilicho tangazwa ni Taarifa ya ratiba ya kusali sala hiyo ya Novena. ili isaliwe kama sala ya jumuiya nzima yaani Kanisa na si sala binafsi. vyombo vya kupashana habari vimetumika kutoa taarifa kadiri ya mazingira ya sasa.

Shida inatoka wapi hapo?
Umeeleza vizuri kama ilivyo. Nadhani sasa Setfree ataelewa
 
Unapotoa hoja zako jitahidi kulinganisha Agano la Kale na Agano Jipya. Katika Agano Jipya, maombi ya kujionesha hayakubaliki.
 
Kwani wewe ndo Mungu?
Wewe ndie mpeleka maombi kwa Mungu?
Kwanini unajudge uwezo wa kusikia maombi wa Mungu??

Ombeni nanyi mtapewa.
 
Wee kumbe ni shankupe tuu maana hapa ni kama unatoa mipasho..eti balozi wa Yesu balozi wa Yesu una hukumu watu? Ushawahi hata kuwasiliana na Mungu akakwambia maombi gani nayasikiliza yapi siyasikilizi?? Unaingilia imani za watu ww kama nani?
Hata yasipojibiwa leo Mungu huwa hawai wala kuchelewa...
So tuliza komwe hilo..
 
Yale maombi ya Wayahudi waliyoagizwa na Ester wakafunge siku tatu, kisha ataingia kwa mfalme kinyume na utaratibu... Yalikuwa ni maombi ya siri?
 
Sawa dada umeeleweka. Lakini mbona wewe uwa unaswali barabarani na katika viwanja vya mpira mbona watu hawasemi. Kwa hiyo, Muenyezi ua asikii wala hapokei?
 
Halafu anajifanya mlokole kumbe mmbea mmoja tuu...kusema wenzake as if aliwasiliana na Mungu kusikia kama hawasikilizi.

Mpuuzi sana anahukumu wenzie yeye ndo yupo karibu na Mungu? Mnafiq sana mi huwa nawachukia watu wenye ujuaji wa kishamba. Anajifanya mlokole kumbe hovyo tu takataka. Ye ana wasiliana na Mungu wapi? Alimwambia lini hayo maneno? Farisayo mnafiki huyu.
 
Mtumishi,
Big up,
Umejibu vizuri na kwa ushahidi wa kimaandiko. Ila kwa kuwa mleta mada ni chawa lia lia kama akina Tlaatlaah, ataendelea kuleta ligi.

Nimejiuliza tu, kama yeye ameona wenzake wanaomba isivyo sawa, kwanini asiingie mzigoni kuomba kwa usahihi ili uonevu, wizi, ufisadi, utekaji, ufir*ji, mauaji nk, vikome, haki na amani irejee nchini??
 
"...BUT THEY WILL NEVER DESCRIBE YOUR FAITH" Not at all, that’s completely off-beat.
Mathayo 7:16-20
"Mtawatambua kwa matunda yao. Je, watu huchuma zabibu kwenye miiba, au tini kwenye michongoma? Vivyo hivyo, mti mwema huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri."
 
Majibu ndiyo hayo nimeambiwa nikupe: tangu ulipoanza novena, sala zako hazijafika mbinguni, zimeishia barabarani na mitandaoni. Na thawabu yako umeishaipata.
Unajielewa kweli?
Wewe ni nani labda? Wewe mwenyewe unaishi kwa neema...na sio ww unaetoa neema hyo...how come useme sala hazijafika..kwamba na ww ni mmoja wa makarani wa Mungu huko mbinguni...
Umebakia kuqoute vifungu vya biblia ili uonekane unajuuuaaa...kumbe pumba tuu
 
Jifunze kutofautisha kuomba na kuhubiri. Yesu alisema waziwazi hadharani kwamba Yeye ndiye njia na kweli na uzima, Yeye ndiye Mlango. Yeye ni Alfa na Omega.... Lakini saa ya kuomba alijiepua na kwenda mlimani mahali pasipo na watu. 😎
 
Jifunze kutofautisha kuomba na kuhubiri. Yesu alisema waziwazi hadharani kwamba Yeye ndiye njia na kweli na uzima, Yeye ndiye Mlango. Yeye ni Alfa na Omega.... Lakini saa ya kuomba alijiepua na kwenda mlimani mahali pasipo na watu. 😎
Kwani wakatoliki walikaa kibarazani kwako kuomba? Si walikua kwny nyumba zao za ibada...tena bila vipaza sauti wala maspika......😏😏😏
 
Vigezo na masharti ya sala zinazofika mbinguni viko wazi. By the way, mimi ni balozi wa Yesu. Ni zaidi ya karani
2 Wakorintho 5:20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…