The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Shame π π π πPolisi hawana intelligentsia kabisa.. Wamezingira nyumba akitoka tu wamkamate mwenyekiti.
Baadae intelijensia ikawaambia amesafiri jana kwenda Arusha. Wakawa na uhakika 100% tayari amewasili Arusha. Wakapata na ujasiri wa kutangaza kwamba amejifungia kwenye ofisi ya chama Arusha.
Wanakuja kushangaa mwamba kaibuka Magomeni π π
Poor intelligence.
Nyumbu buanna!! Mnachekesha sana, kwani we umetekwa?Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.
Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.
Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.
Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?
Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Bilionea wa kyela kawa kawaida yako hujawahi kutiwa kwenye kashkash yoyote ya CHADEMA itabidi wakuangalie kwa jicho la pekee huenda huwa unawachomesha wenzakoLengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.
Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.
Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.
Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?
Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Pointi kubwa sana hii unamuua mtoto Soka ili upate nini ulinde kiti cha Samia?Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?
Hadi utekwe wewe ndipo utoe sautiNyumbu buanna!! Mnachekesha sana, kwani we umetekwa?
Mkuu kwenye hili ni ushahidi tosha kwamba Wadanganyika hawawezi kudai haki zao. Pale Magomeni, kwa mujibu wa JF, Mbowe alikuwa anazungumza na waandishi wa habari, au mwandishi wa JF kasema uongo. Ikitokea kasema uongo amekiuka miiko ya uandishi wa habari.Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.
Huenda hili la kwanini, Muliro alishasema. Kwangu nawaona Wadanganyika waoga na kulialia. Nilishauri humu kwamba wanaotaka ushauri wa hili waende ng'ambo ya pili. Wale tunaodhani haki italetwa kisahanini wacha tusubiri na tulalamike. Umeona wapi mtu kuchukua kisu akajichinja mwenyewe?Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.
Msaliti mkubwa wewe.huna lolote lile zaidi ya unafiki.ungetoa pua yako barabarani ili ukione cha mtema kuni kutoka kwa askari wetu shupavu.
Sasa kama walikuzingira na hapo umefika mnazi mmoja, sasa lengo lao lilikuwa ni lipi, au n ww mwnyw umejishtukia kuwa labla walikuwa wakuzingira nyumba yako?
Hakuna Mwanaccm mwenye roho nzuriUjumbe umefika kwa Rais wetu kuna kitu hakipo sawa na naamini atakaa na familia zilizopoteza jamaa ili kupata ufumbuzi.
Amejiharibia kabisa leo! Hakuna atakako kubalika labda kwa Waarabu na china!/urusiHakika, na Nchi yetu inazidi kusilibwa uchafu
Duuu bora ni aina gani ya uchafuHakika, na Nchi yetu inazidi kusilibwa uchafu
ndio kitu mnachotakaHakika, na Nchi yetu inazidi kusilibwa uchafu
UMEJIPUNJA- WEKA HATA 1000000000%Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.
Kujitokeza hadharani kwa Freeman Mbowe huko Magomeni, Huku akijua kwamba atapigwa risasi ili afe au atakamatwa, Kumekata Ngebe na kuwafunga mdomo waliodhani hili jambo ni Utani, Huu ni Ushindi Mkubwa sana.
- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Hata ukimuuliza leo IGP au hata RPC Murilo kwanini wanazuia Maandamano ya Chadema, hawatokuwa na Majibu yoyote zaidi watasema ni Amri kutoka Juu.
Bali Swali ni hili, Unateka mtoto kama Soka na kumuua ili upate nini, uokoe nini au ushinde kitu gani ambacho kijana huyo alikuzuia kukishinda? Kama mnataka kuimaliza CHADEMA kwanini msimuue Mbowe au Lissu ili mkate kabisa mzizi wa Fitna?
Bali ifahamike kwamba Mungu siyo fala, Na Kila Ubaya Utalipwa.
Mhhh. Kweli makurukurutabu ni janga la taifa. Eti lengo kuu la maandamano ya maandamano ya chadema ilikuwa ni kuijulisha dunia yote na tasisi zote za dunia na kwamba leo lengo hilo limefanikiwa kwa 100%. Hii ni akili ya samaki.Lengo Kuu la Maandamano haya lilikuwa ni kuijulisha Dunia yote na Taasisi zote za Kimataifa kwamba Serikali ya Tanzania ndio inayoteka na kuua Wakosoaji wake kwa kutumia vyombo vya Dola, Hili limethibitika Rasmi, kwa Ushahidi Mwanana, Kauli ya Rais ya Juzi na mnachokiona mitaani ni uthibitisho kwamba Wauaji ni Watu wa serikali na Wanalindwa kwa Udi na Uvumba.