Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%


"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki."

Jeff's O'Brien.
 
Wamefanikiwa hakika na ujumbe umefika..!
Ila Hawa jamaa wamezingua yaani wenzao wanaandamana mjini wao wapo mashambani sijui vichakani 🤣🤣🤣

Yani wanaume wa Mara mmekuwa waoga na nyie 😹😹
 

Attachments

  • IMG_3702.jpeg
    122.1 KB · Views: 1
hii ni aibu kubwa mliyoipata kwa kushindwa kujitokeza kama mlivyokuwa mnapiga kelele kwenye vyombo vua habari hiyo imetudhihirishia ni jinsi gani mlivyo waoga na wapiga kelele kwenye keyboards aibu kwenu na ushindi kwa vyombo vya ulinzi kwa kuwadhibiti vilivyo ndiyo maana mange kimange anawaita chadema hakuna wanaume yaaani wote mademu tu
 
Wamefanikiwa hakika na ujumbe umefika..!
Ila Hawa jamaa wamezingua yaani wenzao wanaandamana mjini wao wapo mashambani sijui vichakani 🤣🤣🤣

Yani wanaume wa Mara mmekuwa waoga na nyie 😹😹
hakuna wanaume chadema wote mademu tu
 
Samia must go, Tanganyika haiwezi kabisa, ameshindwa vibaya sana
 
Mkuu

Watu wa elimu ya STD seven
How they can have interagency unit.

Wamefundishwa kupiga na kutumia mtutu.
Mtutu kila mtuu anajua kutumia
Nimewashangaa sana leo. Wamekua kama nyumbu. Vipi kama tungekua tumevamiwa? Ingekua ni hatari zaidi
 
Oya eeeh pesa za wagiriki zitawatokea puani🤣🤣🤣🤣🤣sie tunajuana bwana ni jamhuri ya ma keyboard warriors hayo mengine ni matembezi tu ya kawaida kama kwenda kko na kurudi magetoni,,,,yani makelele yooote mji hata haujui kama kulikua na maandamano
 
Intelejensia aliozungumzia Chura Kiziwi ikowapi
 
wanafanya siasa za uadui hata wakimuua mbowe na lis hawatamaliza uphnzan bali wataibuka wengine ambao ni zaidi hata ya mbowe na lisu, solution ni ccm wakae chini wajiulize wanakosea wapi. Kwani wakiongoza vizuri watapata hasara gan
 
Yaani polisi wameyatangaza na kuyashiriki maandamano kuliko hata hao chadema wenyewe.
 
Mkuu kumbe umechimba ? Nilifikiri wewe ni miongoni mwa 14 waliokamatwa.
 
Mkuu

Watu wa elimu ya STD seven
How they can have interagency unit.

Wamefundishwa kupiga na kutumia mtutu.
Mtutu kila mtuu anajua kutumia
Nyinyi ndio mmeshindwa kuelewa...

Mbowe alikua anatafutwa haonekani, amejificha...

Watu wakatumia akili ili jamaa atoke hadharani amuaibishe dogo wa arusha...

Na kweli Mbowe akajitokeza kumwaibisha dogo...

Na amemuabisha kweli maana kumbe yuko magomeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…