Uliwahi kuwaza kuua mtu? Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kupata wazo la kuua mtu

Kuna mzee mmoja niligombana nae kisa tulibishana kwenye ukumbi wa mpira ilikuwa Real Madrid na Barcelona (El Classico). Na mie nikiwa ni Team Ronaldo.

Mie nilikaa kimya ila yule mzee akawa anaongea shit sana, kuwa najifanya mjuaji mara ooh najifanya nina pesa na maneno kibao ya kukera.

Kiuhalisia mie huwa sio muongeaji sana, huwa naamuaga kukaa kimya maana nikiwa na hasira nakuwa na kigugumizi ghafla na kuanza kutetemeka. Sasa yule mzee ndio ikawa point kwake maneno kibao mie namchora tu.

Mpira ukaisha ile tunatoka yule mzee akawa anasema huyu mtoto lazima nimkomeshe tu na shit kutosha.

Alivyosema hvo nikajawa na gesi sio kawaida sikuongea na mtu nikaenda moja kwa moja hadi Gas station (sheli) nikanunua petrol lita 5 nikarudi hadi mtaani nikavizia kwenye saa 8 usiku nikaenda hadi kwake na nikaanza kuimwaga ile petrol kuizunguka nyumba ya yule mzee lengo langu niwateketeze yeye na familia yake.

Ile nakaribia kumaliza kumwaga ile petrol kidogo jamaa angu huyu hapa kumbe alikuwa ananifatilia tokea muda.

Jamaa kafika pale akanirukia kapiga kidumu kule akaanza kunisihi niache kufanya maamuzi kama yale. Hapo mie nimejaa sio kawaida.

Kiukwel ikabidi niache lakini ndio ikawa pona yake yule mzee na family yake.
Lakini sikuishia hapo maana nilikuja kumvunja mguu baada ya miezi kama mi3 mbele hivi.
 
aisee 😌
 
Ungefanya hilo tukio probably ungekuwa behind bars
 
Naweza kukwambia pia kuwa huyo mzee ni mchawi.
 
Natamani ninunue radi nimtwamge jamaa mmoja anaemendea chakula yangu
 
Yote hayo kisa kilianzia kwenye mpira tu.....una hasira sana aisee......

usipojua kudhibiti hasira zako peke yako, itakuwa hatari sana kwako na wengine baadae.
 
Yote hayo kisa kilianzia kwenye mpira tu.....una hasira sana aisee......

usipojua kudhibiti hasira zako peke yako, itakuwa hatari sana kwako na wengine baadae.
Angalau kidogo sa hivi naweza kujidhibiti ila mwanzoni ilikuwa mtihani sana, ilikuwa nikigombana na mtu mie sihangaiki kurusha ngumi.... ninachotaka nione damu inamwagika kwa huyo ninaegombana nae ndio nitakaa sawa.

Kuna kipindi niligombana na jamaa mmoja hivi sijakaa vizuri karusha ngumi 3 za ghafla na 2 zikafika na nikazisikia zipo heavy.

Sasa tulikuwa tupo maeneo ya barabara ya lami, mie nilichofanya nilimrukia nikaanguka nae chini nikashika kichwa chake nikaanza kumsugua kwenye lami.... [emoji3064]

Asee jamaa alipiga kelele sio kawaida, alilia sana na hadi leo hii jamaa ana alama kubwa upande wa shavu la kushoto kama terminator.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…