Uliwahi kuwaza kuua mtu? Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kupata wazo la kuua mtu

Kuna mzee mmoja niligombana nae kisa tulibishana kwenye ukumbi wa mpira ilikuwa Real Madrid na Barcelona (El Classico). Na mie nikiwa ni Team Ronaldo.

Mie nilikaa kimya ila yule mzee akawa anaongea shit sana, kuwa najifanya mjuaji mara ooh najifanya nina pesa na maneno kibao ya kukera.

Kiuhalisia mie huwa sio muongeaji sana, huwa naamuaga kukaa kimya maana nikiwa na hasira nakuwa na kigugumizi ghafla na kuanza kutetemeka. Sasa yule mzee ndio ikawa point kwake maneno kibao mie namchora tu.

Mpira ukaisha ile tunatoka yule mzee akawa anasema huyu mtoto lazima nimkomeshe tu na shit kutosha.

Alivyosema hvo nikajawa na gesi sio kawaida sikuongea na mtu nikaenda moja kwa moja hadi Gas station (sheli) nikanunua petrol lita 5 nikarudi hadi mtaani nikavizia kwenye saa 8 usiku nikaenda hadi kwake na nikaanza kuimwaga ile petrol kuizunguka nyumba ya yule mzee lengo langu niwateketeze yeye na familia yake.

Ile nakaribia kumaliza kumwaga ile petrol kidogo jamaa angu huyu hapa kumbe alikuwa ananifatilia tokea muda.

Jamaa kafika pale akanirukia kapiga kidumu kule akaanza kunisihi niache kufanya maamuzi kama yale. Hapo mie nimejaa sio kawaida.

Kiukwel ikabidi niache lakini ndio ikawa pona yake yule mzee na family yake.
Lakini sikuishia hapo maana nilikuja kumvunja mguu baada ya miezi kama mi3 mbele hivi.
 
aisee 😌
 
Ungefanya hilo tukio probably ungekuwa behind bars
 
Waovu hawazaliwi wakiwa hivyo Bali Ni matokeo ya uminywaji wa haki na Uonevu katika Jamii. Hata magaidi au wanaotekeleza mauaji ya kinyama, lazima Kuna sababu nyuma yao.

Miaka ya nyuma nilienda shuleni kuchukuwa cheti Cha O-level. Nilfunga bahasha kwenye baiskeli nikawa nikiendesha speed. Kuna wazee niliwakuta tunafahamiana, Kati yao kulikuwa na mmoja ana mgogoro wa shamba na familia yetu, alikuwa anang'ang'ania shamba letu na anakiri wazi kuwa anafanya hivyo kwa sababu hayupo tayari kuona mjane akiwa na ardhi kubwa Kuliko yake.

Nikaona hakuna haja ya kusalimia, nikawapita kwa kasi kufika mbele nikagundua nimedondosha bahasha yenye cheti! Nikaanza safari ya kurudi taratibu kwa mguu huku nikiangalia barabarani kwa umakini kama nitaona bahasha.

Ghafla nikakutana wa wale wazee halafu lile zee lililokuwa Lina mgogoro wa shamba na familia yetu ndilo limeshika cheti changu anakisoma huku anawaambia wenzake "watoto wote wa huyu mwanamke (mama yangu) Wana akili Sana darasani.

Nikaanza kwa kuwasalimia na kuwabembeleza wanipe Ile bahasha. Lile zee likakazana kusema "ulitupita pale bila kutusalimia hivyo hatukupi hii bahasha, kwanza nachana hichi cheti" Hapo ndipo Wazo La Kuua liliponijia kwa Mara ya kwanza katikati maisha yangu. Yaani mtu anataka kutunyang'anya shamba na Cheti changu akichane kweli?

Wenzake ndiyo wakawa wanamzuia asikichane, baadae Sana akanipa ila kwa mbinde sana cheti kikiwa kimekunjika-kunjika kama mchicha wakati muda mfupi uliopita kilikuwa kipya.

Ana bahati, angechana Cheti changu, ningetafuta mbinu yeyote anitambue.

Je, Umewahi Kuwaza Kuua mtu? Chanzo Kilikuwa Nini?
Naweza kukwambia pia kuwa huyo mzee ni mchawi.
 
Natamani ninunue radi nimtwamge jamaa mmoja anaemendea chakula yangu
 
Kuna mzee mmoja niligombana nae kisa tulibishana kwenye ukumbi wa mpira ilikuwa Real Madrid na Barcelona (El Classico). Na mie nikiwa ni Team Ronaldo.

Mie nilikaa kimya ila yule mzee akawa anaongea shit sana, kuwa najifanya mjuaji mara ooh najifanya nina pesa na maneno kibao ya kukera.

Kiuhalisia mie huwa sio muongeaji sana, huwa naamuaga kukaa kimya maana nikiwa na hasira nakuwa na kigugumizi ghafla na kuanza kutetemeka. Sasa yule mzee ndio ikawa point kwake maneno kibao mie namchora tu.

Mpira ukaisha ile tunatoka yule mzee akawa anasema huyu mtoto lazima nimkomeshe tu na shit kutosha.

Alivyosema hvo nikajawa na gesi sio kawaida sikuongea na mtu nikaenda moja kwa moja hadi Gas station (sheli) nikanunua petrol lita 5 nikarudi hadi mtaani nikavizia kwenye saa 8 usiku nikaenda hadi kwake na nikaanza kuimwaga ile petrol kuizunguka nyumba ya yule mzee lengo langu niwateketeze yeye na familia yake.

Ile nakaribia kumaliza kumwaga ile petrol kidogo jamaa angu huyu hapa kumbe alikuwa ananifatilia tokea muda.

Jamaa kafika pale akanirukia kapiga kidumu kule akaanza kunisihi niache kufanya maamuzi kama yale. Hapo mie nimejaa sio kawaida.

Kiukwel ikabidi niache lakini ndio ikawa pona yake yule mzee na family yake.
Lakini sikuishia hapo maana nilikuja kumvunja mguu baada ya miezi kama mi3 mbele hivi.
Yote hayo kisa kilianzia kwenye mpira tu.....una hasira sana aisee......

usipojua kudhibiti hasira zako peke yako, itakuwa hatari sana kwako na wengine baadae.
 
Angalau kidogo sa hivi naweza kujidhibiti ila mwanzoni ilikuwa mtihani sana, ilikuwa nikigombana na mtu mie sihangaiki kurusha ngumi.... ninachotaka nione damu inamwagika kwa huyo ninaegombana nae ndio nitakaa sawa.

Kuna kipindi niligombana na jamaa mmoja hivi sijakaa vizuri karusha ngumi 3 za ghafla na 2 zikafika na nikazisikia zipo heavy.

Sasa tulikuwa tupo maeneo ya barabara ya lami, mie nilichofanya nilimrukia nikaanguka nae chini nikashika kichwa chake nikaanza kumsugua kwenye lami.... [emoji3064]

Asee jamaa alipiga kelele sio kawaida, alilia sana na hadi leo hii jamaa ana alama kubwa upande wa shavu la kushoto kama terminator.
 
Back
Top Bottom