- Thread starter
- #81
Wao nilikuwa siwajengea mkuu ila niliwapa mitaji ya biasharaUZA NYUMBA ZAO ULIZOWAJENGEA ZOTWAKAJIUNGE NA FREE MASON NA WAO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao nilikuwa siwajengea mkuu ila niliwapa mitaji ya biasharaUZA NYUMBA ZAO ULIZOWAJENGEA ZOTWAKAJIUNGE NA FREE MASON NA WAO
Nakubali.Hata kama hii hadithi siyo ya ukweli, lakini Themes zake zina ukweli. Jamii za watu masikini zina watu wenye roho mbaya mno mnooo.
Usidhani kama unaweza kujua kila kitu kwa wakati wote. Anyway ungejua tu hata mfagiaji wa sehemu ninapofanyia kazi ungekuja kufuta haya maandishi yako
Sijaandika kubishana, nimeandika ukweli wangu..Mimi wangu ndio huo kaka kama unaona ni uongo ni vema pia maana sipo hapa kukufanya uamini?Sijakataa kuwa unaweza kuwa unaweza kuona hizo Pesa. Tatizo linakuja kwenye Kanuni za wizi ndio wadau hapo wanaona Stori imepikwa.
Milioni tatu Kwa Siku sio mchezo sheikhe, tena uibe kila Siku hivyo ndani ya mwezi Una milioni 60.
Na hapo ofisini haupo pekeako, sijajua idadi ya wakubwa wako wapo wangapi, nao kila mmoja wachukue tuseme 100m+ Kwa mwezi.
Wizi WA kila Siku labda ufanyike kwenye miamala ya Pesa yaani iwe zaidi kieletroniki na Huko ni rahisi mfumo kushtukia.
Wizi salama ni ule wa kupiga mapigo ya kushtukiza hasa Kwa Watu walioajiriwa kama wewe na msio na mamlaka
Mkuu nitafutie hata kufagia choo watu tunashida hatutakuangusha bhana tuna njaa hatujala tangu Jana jioni hii tena ugali sijui nitapata wapi sio wote hatuna shukrani ni neema Bado haijatushikia. Fanya mpango hata wa kamtaji mkuuUsidhani kama unaweza kujua kila kitu kwa wakati wote. Anyway ungejua tu hata mfagiaji wa sehemu ninapofanyia kazi ungekuja kufuta haya maandishi yako
Hutaki kujengewa nyumba na wwPole sana mkuu, nimegundua wewe ni mtu mwema sana...[emoji41]
Sasa ebu fanya hivi.....
Kama itawezekana naomba ufanye mpango unitumie 20k ili walau nikanunue debe la mahindi na kilo moja ya dagaa, kuni nitajisumbukia...[emoji17]
Naunga mkono hoja...🤣[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Upo sahihi kabisa mkuu...Mpe na lipa namba kabisa ili iwe rahisi mkuu kuna mwenzio aliomba ya Smart Gin kimasihara tu akatumiwa kwenye namba yake kupitia NMB hapo hapo kwa hio changamkia fursa weka namba haraka sana uwekewe mpunga
Kitu kidogoo sana hicho.. endelea kula maisha. Una thawabu nyumbani.Hiki niandikacho ni kisa cha kweli na ndicho ninachopitia.
Nikiri kwamba nimezaliwa kwenye umaskini na nimesomeshwa kwenye umaskini mpaka namaliza elimu yangu
Nilisota kidogo tu kitaa baada ya kumaliza elimu nikapata kazi sehemu nikaajiriwa, baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na usiri mkuu wangu wa kazi akanihamishia idara ambayo baadae nilikuja kujua ni sehemu yenye michongo mingi ya pesa.
Nikafundishwa kazi, nikaiva. Hela zipo idara hii bwana, kwa Siku nilikuwa nikitoka kazini mfukoni kuna 3+m kama hamna hamna sana nina 1+m.
Ndani ya miezi 3 nikiwa pale nikawa niko vizuri nikanunua uwanja sehemu yenye hadhi kidogo heka 3 nikaweka mansion yangu ikiwa na uwanja wa basebal na netbal ikiwemo sehemu za kucheza watoto na mabwawa ya kuogelea.
Mpaka huu mjengo unakamilika nilitumia zaidi ya 400+m, siku nawapeleka wazazi na ndugu hawakuamini kutokana na mazingira niliyotoka na namna nilivo mkimya. Sikuishia hapo wadogo zangu tumbo moja wote nilianza mchakato wa kuwajengea nyumba kila mmoja yake na nikafanikisha nyumba nzuri za kisasa ambazo wastani nilitumia 120+m
Ndugu zangu wote nilitoa msaada kwao bila kubagua, watoto ambao walikuwa wamefeli shule niliwapa uchaguzi wanachotaka wanawafanyia, nimetoa mitaji nimepeleka vyuo vya ufundi natimiza mahitaji yao kila kitu maana hela ninayo na sioni fahari ya kuabudiwa.
Sasa baada ya miaka 6 kuona nazidi kuwekeza kwa kasi ileile tu, mashangazi wakaanza za chinichini huyu jamaa ni Freemason mimi nikiwa sijui chochote. Kuna kipindi msiba ulitokea, Mke wa mtoto wa shangazi alifariki kulingana na majukumu yangu ule msiba sikufika ila nilibeba gharama zote za msiba.
Bwana kama miezi 6 hivi za msiba kupita, napata habari k kumbe watu wanachukuzwa na mafanikio, mashangazi wanapanga mipango ya kunidhuru kwa mda mrefu na mmoja aliyepewa majukumu ya kuchukua baadhi ya vitu kwenye mwili ikawa mlopokaji akanipa mchongo wote, wala sikuvumilia nikawawashia Moto mashangazi kufatilia kumbe baba zangu baadhi wanazo habari za hii mipango na wakanyamaza. Imenitia hasira sana.
Wanasema nimemuua yule mke wa binamu yangu na moja ya masharti niliyopewa ni kuwa na roho nzuri ya kuwasadia kwa hiyo nao wanataka kulipa kisasi kwa kunidhuru. Nina hasira na hawa watu Moto niliowawashia nimejikuta nawatukana mpaka matusi ya nguoni.
Natamani siku zirudi nyuma nisingefanya huu ujinga wa kusaidia hawa wanaoitwa ndugu, huku tunakoelekea naona kabisa kuna dalili mbaya kisa mafanikio yangu
Nimeongeza nguvu zaidi upande wa mama, huko nawajengea majumba ya maana.. Sasa naona wivu waziwazi mpaka watoto wao niliowasaidia kwa hali na mali.
Mimi staki kumsumbua mkuu hapa....😊Hutaki kujengewa nyumba na ww
Haaa haaaa Tajiri la mtandaoni limalizeMimi staki kumsumbua mkuu hapa....[emoji4]
Ebu afanye wepesi kwa....
Tigo wakala ni 537797 Ashraf Abdallah...[emoji4]
M-pesa wakala ni 876134 Ashraf Abdallah....[emoji39]
Anatuma mkuu kua mpole kwani kwenye 3+M akitoa 20,000/- anapungukiwa niniHiyo inatosha na dagaa wa Mwanza kilo moja, huku mitaa yetu ya Ibologelo kuni zipo za kuokota tu..😊
Usimsumbue boss wangu mkuu, huyu anaweza akanifanyia maajabu ASAP...😎Haaa haaaa Tajiri la mtandaoni limalize
Hiyo inatosha na dagaa wa Mwanza kilo moja, huku mitaa yetu ya Ibologelo kuni zipo za kuokota tu..[emoji4]