Unapowaambia wanaume watafute pesa, elewa wanatafuta pesa kwa ajili ya wanawake wa namna hii

Hizi terminology nyingine ni mpya kwangu.
Mwanamke Hana traako
Mwanamke Hana double cabin (nadhani maziwa makubwa)
Mwanamke sura haina ushirikiano (nadhani sura mbaya)


Duh. Wasichana someni mpate kazi
 
Mwanaume aliyekupenda kama ulivyo hawezi kuhangaika kukubadilisha.
 
Tatizo wamawanyanyasa wanaume kila mara.
Ooh! Tafuta pesa sijui blah!blah!

Sasa unamuuliza nikizipata hizo pesa unafikiri nitakuja kwako anabaki amebung'aa
Kuna kidemu hakina takroo, sura kawaida kinapiga vizinga nakikaziaga sina hela kinajifanya kumaindi " we kila siku hela huna " namwambia mama wenye magari hao wanapita nendaa ila haendii anarud huku huku kwa masikini mwenzie kugawana buku buku
 
Kwenye hili wala usiwe na wasiwasi mana huko mbele wanaume wenye hela watakua wachache ukilinganisha na wanawake wenye hela unaona saizi vijana wanafanya nini na wadada wanafanya nini .Mimi kwa upande wangu nakuonea huruma kizazi cha wanaume yaani unakaa na kuandika unatafuta hela ili utumie na wanawake. hayo ni matokeo tu na mwanamke ambae ana idea za kutumia hela ambazo hajazitolea jasho ni malaya pekeake ila mwanamke anaejielewa atamshauri mwenzake kuongeza hela zaidi na zaidi na zaidi na zaidi
 
Kuna kidemu hakina takroo, sura kawaida kinapiga vizinga nakikaziaga sina hela kinajifanya kumaindi " we kila siku hela huna " namwambia mama wenye magari hao wanapita nendaa ila haendii anarud huku huku kwa masikini mwenzie kugawana buku buku
Tafuta hela wewe, mwanaume gani huna mbele wala nyuma.

Huyo mdada sasa anaekuambia huna mbele wala nyuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanawake hawajaumbwa kuja kutafuta pesa ila kuja kuzitumia pesa za wanaume na tena Huyo mwanamke awe ni Pisi Kali

Sourc:Trust me Bro
 

Kweli 99%. Mwanamume Kama huamini omba namba then Subiria sms ya pili au ya tatu.
 
Kama vile tajiri kula dagaa kwa hamu au masharti ya mganga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sema Nini taikon nikuulize swali hili,

Je,ni kwanini ukienda sehemu kuaproach demu,ukakuta wapo kikundi wawili au watatu Yule mbaya ndiye wa Kwanza kukukataa?

Kuna weekend moja, nikatimba club moja matata kupiga vyombo,baada ya vyombo kukolea nikatamani pisi

Basi wakati natoka toilet Kuna meza niliona Ina pisi nne zimetulia zimeagiza bia hizi local,nikataka kujumuika nao

Lakini Cha ajabu pisi moja iliinuka na kuniwakia, eti umekuja na sisi, Kwanza hatutaki wanaume,na shombo zingine kibao,

Huku wenzie wakimlaumu aache nikaondoka

Ajabu Yule demu ni mbovu kuliko wote, huwezi hata kutambulisha washikaji,

Ukienda chimbo lolote la mademu Basi pisi mbovu ndiyo yenye maringo hata kupatana wanataka hela nyingi kuliko wale wakali kwanini.

Kanisani kwangu nakosali Kuna manzi amenichukia bila sababu , nikasema labda ni wivu kwa wife ngoja nikatongoze ,

Japo kapewa Cha kukalia tu na siyo kumkaribisha mwingine,Cha ajabu pisi ilikubali Ila kwa masharti.

Eti Kodi ya anakokaa na gharama kibao nilipe Mimi wakati body appearance yake... MUNGU nisamehe tu.

Wanaringia Nini Hawa ?

Wakati Kuna pisi hazina mambo mengi ni Kali,Kali, Kali, Kali, Kali balaaa
 
Hizi terminology nyingine ni mpya kwangu.
Mwanamke Hana traako
Mwanamke Hana double cabin (nadhani maziwa makubwa)
Mwanamke sura haina ushirikiano (nadhani sura mbaya)


Duh. Wasichana someni mpate kazi
Wasomi ni wengi zaidi kuliko nafasi za kazi zilizopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…