Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

ugali maziwa na kitimotooo ndizii weeeeee
Maziwa fresh au mgando, nilikua karatu kipindi Fulani maji yanarangi ya udongo tukaamua badala ya kutumia maji kupika ugali tukawa tunatumia maziwa fresh tunasonga ugali wa sembe na samaki wa kukaanga aisee baada ya miezi mitatu nilinenepa shingo ikawa kama shingo la dume la nyati.
 
Sijaona wala chavu humu au tungoje wachina
MI samaki siwezi kumchuga iwe kwa dona au sembe, viazi, ndizi, mihogo, safi
 
Huenda na maisha yao ya mikiki mikiki, ni mazoezi tosha, sisi huku ofisini, ukitoka upo kwenye kibaby walker chako, mitungi, nyama kwa sana, ukitoka kibaby walker unaenda lala, bado mavyakula ya hovyo ni mengi, junks food huku ni kwa sana tofauti na huko vijijini.
 
Ndizi za kukaanga mixer mayai +kitunguu saum kibichi, wali, kitimoto ndizi +kitunguu saum na tangawiz ya kusaga, miogo na dagaa/samaki
Supu ya mkia au ulimi au kongoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…