UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu
SIGARA INAWAUWA WATU, BANGI INAHARIBU AKILI. TUPIGE VITA VITU HIVI

Nakumbuka Tarehe 12/06/2024 Mheshimiwa Rais Albert John Chalamila Rais wa Mkoa wa Dar es salaam Akiongea na Wasanii Alisema Mimi tangu nakuwa nilikuwa naambiwa ..... Tangu nakuwa ( Nikiwa ) Mtoto Mdogo kabisa Nilikuwa nafundishwa Simamia Ukweli Uongo achana nao. Simamia Ukweli Uongo achana nao Ndiyo maana mpaka leo sijuwi kubumbabumba maneno hivi. Mwisho wa kunukuu

Nayasema maneno ya kuinusuru Jamii ili kuepusha vifo vya nguvu kazi ya Taifa tunayoipoteza huku tukiwa ndiyo Sisi wenye jukumu la kuilinda nguvu kazi hiyo . Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba Waziri wa fedha Nakumbuka Tarehe 12/06/2024 Alisema Wakati Mwingine kwa uzembe unaoweza kuepukika tunapoteza nguvu kazi ya nchi yetu Tunapoteza watu wanaotegemewa Mwisho wa kunukuu

Tuamuwe Sasa kuchukuwa hatua kwa kuzingatia katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara 14 uk 21 kwa mazingatio ya uk 127 ibara 152(1)(2)(3) uk 14 ibara 01, 02 kwa msisitizo wa uk 13 paragraph ya kwanza bila kuiacha ibara 29(1)(2)

Mheshimiwa Dkt Dotto Mashaka Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Nakumbuka Tarehe 11/06/2024 Alisema Mheshimiwa Rais una msemo Mmoja huwa unapenda kuusema . Na Mimi huwa napenda saana kuushika Nia njema haishindwi Nia njema haishindwi Katendeni kwa Nia njema.

Hilo ni Darasa kubwa saana kwetu Sisi katika maisha ya kawaida Mwisho wa kunukuu Katika maisha ya kawaida tumekula Viapo kwa kushika Vitabu vitakatifu na tukamuahidi Mungu kutenda haki kwa tunao waongoza kwa kulinda Uhai wao kwa kuzuia vitu vinavyo wauwa au kuwadhuru Tuenende katika njia hizo.

Nakumbuka Tarehe 12/06/2024 Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba Waziri wa fedha Alisema Ni wakati Sasa Jambo hili likaazimiwa na Jamii nzima . Lisiwe Jambo la Askari Police ( Bali liwe) ni jambo ambalo linatumalizia nguvu kazi yetu. Hatuwezi kuendelea kushuhudia nguvu kazi yetu ikipukutika kirahisi namna hiyo. Mwisho wa kunukuu Watengenezaji wa sigara wamejiachia mpaka wanaandika Uvutaji wa sigara unadhuru afya yako. watu wengi hawaupendi Ukweli


Kwa Sababu Ukweli Unaumiza. Kwa Mfano Ona Ukweli huu

Kila Mtanzania anatakiwa aitii katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 26(1)(2)Ukiitii katiba Utalinda Uhai wa Kila Mtanzania asifeKwani Mtanzania akifa tunapoteza nguvu kazi ya Taifa. Na katika kazi ya kulinda katiba hatupaswi kubagua makosa kwa Mujibu wa ibara 13(1)(4)(5)Watu Wana viwanda vya sigara na wakizizalisha wanaandikaUvutaji wa sigara unadhuru afya yakoWatu walioapa kuilinda katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara 14 uk 21 ndiyo wanatumika kulinda viwanda vinavyozalisha vitu vya kuuwa nguvukazi ya Taifa.

Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba Waziri wa fedha Akisoma Badget 2024/2025 Bungeni Nakumbuka Tarehe 12/06/2024 Nilimsikia akisema maneno haya Tunavunja Sana Sheria Mheshimiwa Spika.

Kama Sheria zetu ni rafiki sana tuyaondoe makosa haya Tuyapeleke kwenye Makosa Makubwa Zaidi. Ikiwepo hata makosa ya kuuwa bila kukusudia au makosa ya kuuwa. Kwa sababu ( mtu yeyote) anayeuwa kwa risasi na ( mtu) anayeendesha mwendo kasi anajuwa mwisho wake ni kuwauwa abiria aliowabeba. Mwisho wa kunukuu

Nami nasema kwa Mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 18(a) na 19(1)
Ilani ya CCM 2020 ibara 110(c) Watu waliopewa jukumu la kulinda uhai wanaporuhusu product zinazouwa nguvu kazi ya Taifa hili nalo ni changamoto.

Professor Janabi aliwahi kusema Sigara zinawauwa watu takribani Million nane kwa Mwaka kuliko Covid Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba Waziri wa fedha Tarehe 12/06/2024 Alisema Ni idadi kubwa mno hii
Hii inatuondolea nguvu kazi ya Taifa. Mwisho wa kunukuu

Mheshimiwa Mohammad MchengerwaWaziri wa TAMISEMIAkiwa MulebaNakumbuka Tarehe 17/12/2023 Alisema Hatuwezi kuleanaTutaleana mpaka lini!?Viongozi hatuwaambii Ukweli ni kitu gani kimetokea. Sasa tutaleana hivi mpaka lini !?

Tukifanikiwa tukabanana kila mmoja ( wetu) akafanya Wajibu wakeNa ( yule) asiyefanya wajibu wakeAkashughulikiwaItatusaidia saana kila Mmoja kutimiza Wajibu wakeNa Kama inavyokusudiwa na Serikali Mwisho wa kunukuuTusome katiba ya CCM 1977 toleo 2022 uk 06-07 ibara 07 ibara 08 (1)(2)(6) uk 10-11 ibara yote ya 15.

Ilani ya CCM 2020-2025 ibara 04 uk 01Kwa Nini wauwaji na wanaoruhusu product wasiyaone haya !??!Sisi ni BinadamuNa ninaamini pako mahali tumeteleza Muda wa kurekebisha haya au kurekebisha Sheria tunaoShekhe Othman Khamis JumaImam Masjid MtoroTarehe 08/04/2019Alisema Hakuna mtu aliyekamilika Mwanaadamu ni eneo la makosa Mwanaadamu ni eneo la kuteleza Mwanaadamu hakukamilika.

Aliyekamilika ni Mwenyezi Mungu Subhahanahu WataallaMwisho wa kunukuuNaye Mwanasheria MsomiDkt Jerry SilaaWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Nakumbuka Tarehe 27/05/2024AlisemaSerikali hii ( kuu ya Tanzania) Bunge hili la kwako ( Dkt Tulia) na Mahakama Kote Kuna Binadamu Na hakuna Binadamu aliyekamilika. Hata Mimi Waziri wa Ardhi Kuna wakati Nitafanya maamuzi

Mtu Mwingine ana haki ya kuyaangalia ( na Kisha ) akasema maamuzi haya Mheshimiwa Waziri hayakuwa sahihi. Mwisho wa kunukuu

Hatuko sahihi kuchagua makosa Baadhi kuyona ni makosa Na Makosa mengine same same kuyafanya Business as usual

Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Mathias Mugerwa Kahinga

🙏🏿🙏🏿🙏🏿⛏️⛏️⛏️👆🏿👆🏿👆🏿
Pombekali pia ziangaliwe
 
Umevuta kushabu Mkuu ukakimbilia kufungua Uzi Zipo bangi standard tunakula wenye pesa na wasanii wakubwa we unakula bangi ya morogoro unakuja kuandika pumba
Hhhhhhhh heri apige pushabu huyo anaonekana kichwa panzi ukimpa kitu chenyewe ataanza kucheka Cheka ovyoo
 
Sigara ina mazara ila karibia watu wengi wanafanya kazi za kutumia nguvu nyingi sigara ndio kama energy booster kwao
 
✌✌✌✌✌
 

Attachments

  • IMG_20240715_115956.jpg
    IMG_20240715_115956.jpg
    2.8 MB · Views: 2
Back
Top Bottom