- Thread starter
- #41
kwani nani amekwambia hawatalazimishwa?
Kwani wapi nimeandika hawatalazimishwa ndugu?
Au hata wapi nimesema miye ni nabii hata nikathubutu kuyaongelea ya kesho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani nani amekwambia hawatalazimishwa?
Bibie wa Unguja alimpongeza Putin haraka haraka na sote tunajua kuwa kulikuwa uwizi mkubwa wa kura kwenye Uchaguzi wa Russia.
Sasa ngoja tuone kama atampogeza Faye wa Senegal🇸🇳 mshindi halali.
Baki na Rais. Achana na itikadi za kisiasa
Channel link:
![]()
Mtandao wa Wafuasi wa Kujitolea wa Rais (President Supporters Network - PSN) - Tanzania. | WhatsApp Channel
Mtandao wa Wafuasi wa Kujitolea wa Rais (President Supporters Network - PSN) - Tanzania. WhatsApp Channel. _*~ Mtandao wa Wafuasi wa Kujitolea wa Rais ~*_ ------ _Mtandao huu unawaunganisha pamoja watu wa hali ya chini (wanyonge) walio tayari kumsaidia Rais kuendelea kukubalika zaidi mitaani...whatsapp.com
Huyu wakwetu amewaomba Wapemba wamsomee Dua 😆

Ndio, katika Biblia, HAKUNA MAMLAKA ITAKAYODUMU milele, tujitayarishe kisaikolojia....Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala:
Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano.
CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani?
Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa!
View attachment 2944574
----
Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged as favourite to win Senegal's presidential election, after several rivals conceded.
Millions took part in a peaceful vote on Sunday, following three years of turbulence and opposition protests against the incumbent, Macky Sall.
Voters had a choice of 19 candidates.
However, the ruling coalition's choice, Amadou Ba, rejected reports of defeat and said he expected to contest a run-off vote to decide a winner.
Mr Faye, 44, a member of the Pastef party led by Ousmane Sonko, had been in jail only days before the vote. Mr Sonko was disqualified from the race because of a defamation conviction.
The first set of tallies announced on television showed Mr Faye had won the majority of votes, triggering widespread street celebrations in the capital Dakar.
Supporters set off fireworks, waved Senegalese flags and blew vuvuzelas.
The results also led to five opposition candidates declaring Mr Faye the winner. Anta Babacar Ngom, one of the front-runners, wished Mr Faye success in a statement.
Mr Sonko backed Mr Faye, the co-creator of his now dissolved Pastef party, who was also detained almost a year ago on charges including defamation and contempt of court.
An amnesty law passed this month allowed their release days before the vote.
They have campaigned together under the banner "Diomaye is Sonko". Some high-profile politicians and opposition candidates have backed Mr Faye's candidacy.
"The population is choosing between continuation and rupture," Mr Faye said after casting his vote, urging contenders to accept the winner.
Prepare for run-off
Mr Sall, the incumbent, was not on the ballot for the first time in Senegal's history. His ruling coalition picked Mr Ba, 62, a former prime minister.
Mr Ba's campaign said that "considering the feedback of the results from our team of experts, we are certain that, in the worst case scenario, we will go to a run-off".
About 7.3 million people were registered to vote in the country of around 18 million.
It is not clear how many of the 15,633 polling stations have been counted so far. Final provisional results are expected by Tuesday.
The election had been due to take place last month but Mr Sall postponed it, triggering deadly opposition protests.
Source: BBC
Hapa kwetu cdm walikuwa wanaenda vizuri Hadi walipojichanganya na kuokoto jizee toka huko ccm. Na Sasa naona wanaendelea tena kupotea maboya kwa kukubali maridhiano fake. Haitakiwi porojo za maridhiano, Wala kushiriki chaguzi kwa katiba hii hii ya hovyo na tume ya uchaguzi ya kihuni. Msimamo ulitakiwa ni mmoja, hakuna katiba mpya, hakuna kushiriki upuuzi uitwao uchaguzi. Watu wanajali uhai wa vyama kwa fedha za vijirizuku uchwara
Kitendo Cha kuuharamisha uchaguzi ni mwanzo wa kuelekea kwenye madai ya haki, kwani uchaguzi huo utakuwa na wapiga kura wachache mno. Kutoka hapo automatically itengenezwe movement ya kudai katiba mpya kwa namna yoyote ile, hata kwa machafuko au mapinduzi ya kijeshi.
Ndio, katika Biblia, HAKUNA MAMLAKA ITAKAYODUMU milele, tujitayarishe kisaikolojia....
Yale yale ya Tundu Lissu vs Mtu yuleSonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala:
Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano.
CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani?
Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa!
View attachment 2944574
----
Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged as favourite to win Senegal's presidential election, after several rivals conceded.
Millions took part in a peaceful vote on Sunday, following three years of turbulence and opposition protests against the incumbent, Macky Sall.
Voters had a choice of 19 candidates.
However, the ruling coalition's choice, Amadou Ba, rejected reports of defeat and said he expected to contest a run-off vote to decide a winner.
Mr Faye, 44, a member of the Pastef party led by Ousmane Sonko, had been in jail only days before the vote. Mr Sonko was disqualified from the race because of a defamation conviction.
The first set of tallies announced on television showed Mr Faye had won the majority of votes, triggering widespread street celebrations in the capital Dakar.
Supporters set off fireworks, waved Senegalese flags and blew vuvuzelas.
The results also led to five opposition candidates declaring Mr Faye the winner. Anta Babacar Ngom, one of the front-runners, wished Mr Faye success in a statement.
Mr Sonko backed Mr Faye, the co-creator of his now dissolved Pastef party, who was also detained almost a year ago on charges including defamation and contempt of court.
An amnesty law passed this month allowed their release days before the vote.
They have campaigned together under the banner "Diomaye is Sonko". Some high-profile politicians and opposition candidates have backed Mr Faye's candidacy.
"The population is choosing between continuation and rupture," Mr Faye said after casting his vote, urging contenders to accept the winner.
Prepare for run-off
Mr Sall, the incumbent, was not on the ballot for the first time in Senegal's history. His ruling coalition picked Mr Ba, 62, a former prime minister.
Mr Ba's campaign said that "considering the feedback of the results from our team of experts, we are certain that, in the worst case scenario, we will go to a run-off".
About 7.3 million people were registered to vote in the country of around 18 million.
It is not clear how many of the 15,633 polling stations have been counted so far. Final provisional results are expected by Tuesday.
The election had been due to take place last month but Mr Sall postponed it, triggering deadly opposition protests.
Source: BBC
Kabisa, msimamo ni mmoja, wananchi hakuna kuendelea kujitokeza kushiriki chaguzi za kuhuni hata kama vyama vyote vitaendelea kushiriki huo uhuni. Hiki kitendo Cha kuendelea kushiriki uhuni huku wengine wanapora uchaguzi, wengine wanaishia kulalamika kuibiwa kura na hujuma za wazi kwenye uchaguzi, wananchi tunapoendelea kushiriki chaguzi za hivyo inaonekana tumeridhika na huo uhuni.Msimamo ulitakiwa ni mmoja, hakuna katiba mpya, hakuna kushiriki upuuzi uitwao uchaguzi.
"Watu wanajali uhai wa vyama kwa fedha za vijirizuku uchwara."
Ruzuku zifutwe. Ruzuku ndizo zinazotugharimu.
Kabisa, msimamo ni mmoja, wananchi hakuna kuendelea kujitokeza kushiriki chaguzi za kuhuni hata kama vyama vyote vitaendelea kushiriki huo uhuni. Hiki kitendo Cha kuendelea kushiriki uhuni huku wengine wanapora uchaguzi, wengine wanaishia kulalamika kuibiwa kura na hujuma za wazi kwenye uchaguzi, wananchi tunapoendelea kushiriki chaguzi za hivyo inaonekana tumeridhika na huo uhuni.
Cha muhimu ni kutojitokeza kwa wingi kupiga kura, na kiongozi atakayeshinda kwenye hizo chaguzi za kihuni hakuna kumpa ushirikiano. Akiitisha mkutano hakuna kujitokeza, akihoji watu kutojitokeza aambiwe kabisa Hana uhalali wa umma. Hapa hata ikitengenezwa movement dhidi ya utawala usio na uhalali wa umma itapata nguvu.
[emoji28][emoji28][emoji28]Siyo rahisi bwashee
Upinzani haijawahi kuwa ishu huko ,hata Rais anayemaliza mda wake alikuwa mpinzani na akataka kung'ang'ania madaraka 😆😆Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala:
Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano.
CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani?
Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa!
View attachment 2944574
----
Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged as favourite to win Senegal's presidential election, after several rivals conceded.
Millions took part in a peaceful vote on Sunday, following three years of turbulence and opposition protests against the incumbent, Macky Sall.
Voters had a choice of 19 candidates.
However, the ruling coalition's choice, Amadou Ba, rejected reports of defeat and said he expected to contest a run-off vote to decide a winner.
Mr Faye, 44, a member of the Pastef party led by Ousmane Sonko, had been in jail only days before the vote. Mr Sonko was disqualified from the race because of a defamation conviction.
The first set of tallies announced on television showed Mr Faye had won the majority of votes, triggering widespread street celebrations in the capital Dakar.
Supporters set off fireworks, waved Senegalese flags and blew vuvuzelas.
The results also led to five opposition candidates declaring Mr Faye the winner. Anta Babacar Ngom, one of the front-runners, wished Mr Faye success in a statement.
Mr Sonko backed Mr Faye, the co-creator of his now dissolved Pastef party, who was also detained almost a year ago on charges including defamation and contempt of court.
An amnesty law passed this month allowed their release days before the vote.
They have campaigned together under the banner "Diomaye is Sonko". Some high-profile politicians and opposition candidates have backed Mr Faye's candidacy.
"The population is choosing between continuation and rupture," Mr Faye said after casting his vote, urging contenders to accept the winner.
Prepare for run-off
Mr Sall, the incumbent, was not on the ballot for the first time in Senegal's history. His ruling coalition picked Mr Ba, 62, a former prime minister.
Mr Ba's campaign said that "considering the feedback of the results from our team of experts, we are certain that, in the worst case scenario, we will go to a run-off".
About 7.3 million people were registered to vote in the country of around 18 million.
It is not clear how many of the 15,633 polling stations have been counted so far. Final provisional results are expected by Tuesday.
The election had been due to take place last month but Mr Sall postponed it, triggering deadly opposition protests.
Source: BBC
Watz wengi wetu hatujiekewi mpaka hao wapinzani wenyewe, sahau hii kutokea nchi hii. Kama makonda tu anakuja na guta kwenye mkutano kisha tunapiga vigelegele na kumuita mbunifu huku tukikenua meno yote unategemea nini. Kichwa cha mwenda wazimu.
Kiongozi akilazimisha kushiriki uchaguzi wa kihuni unampotezea, akipeleka chama kushiriki uhuni kwa ahadi za uchochoroni , atakuta wapiga kura wachache, ndio atajua watu hawataki upuuzi tena. Ifahamike nguvu ni za wananchi sio viongozi.Ni vyema viongozi wetu wakajua wanao wajibu wa kutusikiliza.
Wao si miungu watu. Demokrasia ni kuwapa yao waluo wengi.
Itambulike kutofautiana kimawazo ni jambo la afya tu wala si usaliti.
Upinzani haijawahi kuwa ishu huko ,hata Rais anayemaliza mda wake alikuwa mpinzani na akataka kung'ang'ania madaraka 😆😆
Swali la msingi ni baada ya hao Wapinzani kushika Dola nini imekuwa Tija Kwa wale waliowapigia kura na kushangilia na wengine kuuwawa mitaani?
Ni ujinga kuacha kazi zako ukatumikishwe na Wanasiasa kama hunufaiki na chochote.