Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiongozi akilazimisha kushiriki uchaguzi wa kihuni unampotezea, akipeleka chama kushiriki uhuni kwa ahadi za uchochoroni , atakuta wapiga kura wachache, ndio atajua watu hawataki upuuzi tena. Ifahamike nguvu ni za wananchi sio viongozi.

Kuwapotezea bila kuwakemea au hata kuwatambia kwa wakati ndiko kulikoendelea kutupotezea muda tokea 1990s. Ndiko kunakoyanya na CCM kukejeli hadharani kutawala miaka 100 mingine.

Tusisitize wengi wape kutokea vyamani.
 
KUSINGIZIA UPINZANI NI UPUUZI NA KUKWEPA KUWAJIBIKA.

Tatzo ni wananchi sio viongozi wa upinzani. Senegal waliamua kusimama na kina Sonko hata walipofungwa jela maandamano yameanza since 2019 wanaandamana kila mara yapoitishwa na yanakua maandamano kweli kweli.

Huku kina Mbowe wakiitisha maandamano hakuna anayeenda unafikiri watachukua nchi bila kuungwa mkono na wananchi? Au wakikamatwa mtaishia kuweka hashtag Mbowe sio gaidi?

Watanzania sisi ni waoga, wanafiki wanafiki na watu wanaopenda kulalamika hatuchukui hatua.

Wananchi wakiamua hata hawa CCM waibe kura watatoka tu madarakani. Wale wapuuzi kina NEpi wanajisifu bao la mkono mnawachekea halafu unakuja kulaumu wapinzani???

Stupid is , stupid does.....
 
Kusingizia wananchi ni upuuzi wananchi wanatakiwa kuongozwa.

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

Hivi ulipata kujiuliza hivi vyama vinasimamia nini?
 
Kusingizia wananchi ni upuuzi wananchi wanatakiwa kuongozwa.

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

Hivi ulipata kujiuliza hivi vyama vinasimamia nini?
Unaandika nyuzi kikasuku bila kujitahidi kusoma kuwa well informed....

Falsafa ya CDM ni NGUVU YA UMMA.

Itikadi ni mrengo wa kati....

Sasa kama mvivu kusoma siwezi kukusaidia.

Bila uma hakuna chama chochote.
Uma ndio wenye maamuzi vyama vinaunganisha ile nguvu ya uma.

For your information rais mteule wa Senegal amegombea kama mgombea binafsi baada ya chama chao kufutwa na serikali dhalimu kama ya CCM.....
 
Walishindwa kuing'oa ccm wakati wa kikwete, Mungu si Athumani, kawapa nafasi ya pili na ya mwisho. Wakishindwa na 2025, wallah ndo basi tena!
ccm is at the weakest point ever since its creation.
Wananchi wanaonesha kila dalili ya kuichoka.
 
Anyway, Tz bado hatujapata upinzani wa kueleweka.
Bado tuna upinzani "rangi mbili". Tuna wapinzani wanaokula upinzani na kulala ccm.
 
Sidhani kama upinzani kushinda ni ishu ya msingi Kwa maisha ya watu labda Kwa Chadema.

Macky Sall alikuwa mpinzani ila hoi

Chakwera wa Malawi mpinzani ila uchumi hoi

Ruto wa Kenya Mpinzani ila Uchumi hoi ,anaitwa Vasco da gama wa Kenya 😁😁

Hichilema wa Zambia Mpinzani ila Uchumi hoi hawataki hata kumsikia saizi.

Akufo Addo Mpinzani ila Ghana imefilisika kiuchumi

My Take: Ni mjinga tuu ndio atawaza kwamba mwanasiasa atabadilisha maisha yake.

Mwanasiasa hagawi pesa Bali atafanya Yale basics tuu ambayo Kila Rais anafanya ,swala la maisha ni individual effort
 

Kasuku mbona ni wewe? Nguvu ya umma? Mrengo wa kati? Nini maana ya mawili hayo? Acha kukariri kama kasuku ndugu.

Kwani kwa mfano, nini misimamo ya Chadema kuhusu:

1. Vita vya Ukraine?
2. Vita vya Gaza?
3. Haki za ma LGBTQ?
4. Mgogoro wa Palestina na Israel?
5. HAMAS?

Chama chenye falsafa inayoeleweja hakiwezi kukosa msimamo wa wazi katika mambo yote yakiwamo machache hayo.
 

Huko Malawi, Senegal, Zambia au Kenya wananchi wenye makasiriko unaowaongelea ni aina ya kina chikwete, Bashite, yule wa goli la mkono, Supika, Shabaya au kibajaji baada ya CCM kutunguliwa?
 
Huko Malawi, Senegal, Zambia au Kenya wananchi wenye makasiriko unaowaongelea ni aina ya kina chikwete, Bashite, yule wa goli la mkono, Supika, Shabaya au kibajaji baada ya CCM kutunguliwa?
Unamdanganya nani labda? Tufanye ndio hivyo eheee washabiki wa upinzani wamepata nini baada ya Wapinzani kushinda? Maana Heri na Vyama tawala.

Mwisho kama wewe hunufaiki ni mfumo wa siasa na unaendeshwa nao basi jua wewe ni mpumbavu na hunitambui.
 
Unamdanganya nani labda? Tufanye ndio hivyo eheee washabiki wa upinzani wamepata nini baada ya Wapinzani kushinda? Maana Heri na Vyama tawala.

Mwisho kama wewe hunufaiki ni mfumo wa siasa na unaendeshwa nao basi jua wewe ni mpumbavu na hunitambui.

Mpumbavu ni wewe ndugu ndiyo maana unadhani yupo utakaye mchuuza kuwa Zambia, Malawi au hao uliowataja wana makasiriko mno na waliokuja. Hayo danganyaneni wenyewe Lumumba huko.

Tulipofika sisi ni hapa:

Your browser is not able to display this video.


Habari ndiyo hiyo. Ukawaambie na wenzako.
 
Hao ni nyumbu ambao Huwa mnawadanganya huko wasiojitambua wanaodhani mwanasiasa atawaletea maisha.

Unless wanafanya siasa kama ushabiki wa timu hawajitambui.
 
Kila mmoja amekomaa na mambo ya Ulaya huko na Uarabuni. Wajameni hakuna anayeona ya weusi wenzetu wa Senegal?
 
Mara nyingi sana hasa sisi wa kufwata upepo tunaangalia unavumia kwenda wapi. La Senegal ni fundisho na hatupendi kuelimika kwahiyo tunajificha kwenye kioo cha Ulaya na Hamas.
 
Nimesoma kwenye vyombo vya habari kuhusu kijana wa miaka 44, kupokea nchi na kura Rais wa Senegal.

Ombi Kwa vijana wa Kitanzania, tunaomba mtutafutie kijana wa kuondoka naye 2025, mpewe nchi yenu Kwa demokrasia.

Vijana ni wengi,mliamua mtaweza.
Tupeni mgombea tafadhali!!
 
January Makamba,,##WazuriHawafiJnr##
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…