Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuna cha kujifunza huko Senegal baada ya Chalii wa miaka 44 kuelekea kuchukua Nchi.( Uraisi) kilichonivutia zaidi ni namna Wananchi wa Taifa lile walivyo naujasiri kumkabili bila woga Raisi aliyekuwa madarakani pale alipotishia kuahirisha Uchaguzi. Maandamano bila kikomo yalimfanya asaliti amri nakupelekea kutangazwa tarehe ya uchaguzi.
 
Kila mmoja amekomaa na mambo ya Ulaya huko na Uarabuni. Wajameni hakuna anayeona ya weusi wenzetu wa Senegal?
Miafrica ni bure kabisa bro. Imagine hapo Sudan wanauana kama kuku
 
Vijana amkeni - kama alivyokuwa anasema Mtikila - saa ya ukombozi ni sasa
 
wananchi wakiona huna msimamo wanaona bado awajapata watu wakuwakomboa.
Hata ukiwa na msimamo kwa sisi bado sana tuna kuuma na kupuliza kusema ukweli hatuko ktk mstari tunaoukubali mabadiliko , wakutuamsha bado hajazaliwa, sijaweza kuona udhabiti wa kutoka moyoni ktk mageuzi toka kwetu kwenda kwa viongozi ima wawe waliopo serekalini au wa vyama visivyo madarakani.
 
Wapinzani ni watu/wananchi ambao kwa sasa nchini kwetu wamesusia kushiriki harakati za kutaka mabadiliko kutokana na kukatishwa tamaa. Serikali iliyopita ya Marehemu ilifanya kazi mbaya na chafu sana ya kuua vuguvugu la mabadiliko kwa kuharibu chaguzi zote kwa kutumia polisi,usalama wa taifa na jeshi.

Hakuna chama kinaweza leta mabadiliko ya kisiasa bila mwamko wa wananchi kutaka mabadiliko hayo . Mzee Magufuli alirudisha nyuma harakati za kisiasa kwa miaka 10 au zaidi . Aliweza kuahirisha msiba wa CCM kutoka madarakani lakini bado upo,kama yeye alivyo kufa basi hata chama dola kitakufa pia .
 
1. Kazi ipo.

2. Miaka 30 sasa mapori tofauti nyani wale wale.

3. Tumeshindwa kujifunza.

4. Nyuzi kama hizi hupita juu kwa juu wakijisemea: "hiiiiii .. III!"
Rafiki yako Zitto unapingana naye leo ?

Rais wa sasa wa Senegal alishinda urais akiwa upinzani kuna jipya lipi kwenye uchaguzi wa juzi.

Kama Tume yenyewe inashiriki kuumiza wagombea wa upinzani itaweza kutangaza?

Senegal Mark Sall Alitaka kujiongeza muda Baraza la Katiba likagoma hapa nchini tunatasisi ya kufanya hivyo dhidi ya Rais?

Wananchi wa Senegal walishaingia sana road kupinga uvunjifu wa katiba hapa nchini tunao hao watu ?

Watu wameumizwa kwenye chaguzi 2020 halafu rafiki yako Zitto akaenda kuungana nao kuunda serikali Zanzibar mapambano unayotaka yatafanikiwa ?
 
Huu urafiki unaonivesha na Zitto ni Kwa sababu tu alikukera mno kuachia kiti muda wake ulipokuwa umeisha?

Kwamba ujasiri wa watu kukomaa road hautokani na ushupavu wa kina Sonko na kina Faye?

Bila shaka hatuna lolote la kujifunza kutoka kwa kina Sonko Wala Faye.

Kwetu kuna na ustaa siasani.
 
Wapinzani hawakuanza kushinda Leo Africa nini kimebadilika check Malawi,Zambia, Kenya,liberia nk matatizo ya Africa sio uchaguzi.
Ni mfumo
 
Mbowe alikaa mahabusu kwa miezi 6.

Alihukumiwa kesi nyingine kulipa faini milioni 70.

Alinyimwa dhamana akiwa na Matiko akakaa mahabusu miezi 4.

Alivunjwa mguu akiwa Dodoma na alifirisiwa Mali nyingi tu.

Lissu alishitakiwa kwa kesi za kisiasa tangu 1998 kwa sababu ya siasa na risasi akachapwa, akavuliwa ubunge kihuni, akatimkia ughaibuni.

Na wanasiasa wenzao wengi wakatimkia ughaibuni kwa masaibu yaliyowazi kabisa.

Hivi haya bado unaona ni madogo kwao kufanyiwa hadi uwaweke kwenye viatu vya kina Faye na Sonko tu ?

Hauwezi kuwa serious
 
Wapinzani hawakuanza kushinda Leo Africa nini kimebadilika check Malawi,Zambia, Kenya,liberia nk matatizo ya Africa sio uchaguzi.
Ni mfumo
Hapo hapo Senegal rais Sall alishinda urais akiwa upinzani
 
1. Sijui ni wapi unaponisoma kiasi cha kuwa na mashaka na seriousness yangu.:

Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

2. Bila kusahau kwamba, mtu kuwa upinzani leo hakuna maana ya kuwa malaika; hata kina na Lipumba walivunjwa mikono.

3. Kumbuka Sali alikuwa mpinzani pia.

4. Kuwa mpinzani na kukengeuka popote njiani hakukupi leseni ya credibility ile Ile ya awali, milele.

5. Hili ndilo somo ambalo hata kwetu wa kwetu wanapaswa kujifunza.

6. Lissu, Mdude na wa aina hiyo nani mwenye neno juu yao hadi wa leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…