Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Hakika hakuna aijuwaye kesho.
 
Unasoma unachoandika mkuu?
Wagner proffessionals alafu Russians sio, na wote ni Russians ( mainly ). Trained under the same doctrine.

Wagner commanders ni former RUAF commanders.
 
Endelea kuota. Wagner wanaendelea kuua askari wa serikali. Helikopta ya askari wa jeshi imedunguliwa na kuteketezwa. Marubani wote wawili wameuawa. Wewe bado unaamini ni maagizo!!

Nadhani hata siku Putin akiuawa, mtasema anaigiza kufa.
 
Huyu Mzee (Putin) amekuwa na mwisho mbaya mno.....kweli mshahara wa dhambi ni mauti tu.

Tatizo hata wakimtoa bado hiyo power struggle hapo Moscow itabakia tu hasa nani awe mrithi wake.

Nadhani kutakuwa na 'powerful figures' nyuma ya Wagner kusukuma hii 'move'.....Ila njia bora ya kumaliza Vita ni kumn'goa tu Putin

T14 Armata
 
Glenn huddle, Glenn close. Himself!
 
Lazima kuna watu wengi wapo nyuma ya Wagner. Anajua kabisa akiingia Moscow, mengi yatatokea. Putin amekwishahisi Urais wake unatafutwa. Kwenye hotuba yake amesema kwamba watu wanafanya maasi kwaajili ya tamaa ya madaraka.
 
Walahi akitoka kwenye bunker watamgeuza qibla.
Tema chini

Putin akitakiwa kuchinjwa na Wagner hawezi elekezwa Kibla uso wake Allah asije msamehe madhambi yake ataekekezwa upande usio wa Kibla

Kibla huelekeza nyuso zao watukufu wakiswali nk sio mtu kama Putin

Putin akichinjwa kisogo ndio kielekee kibla sio uso.Uso wake utaelekezwa almaruhuni shwaitani anaishi sio kibla


Takbiriiiiiiiiii
 
Rostov ndiyo main ya Russia supply kwenda Ukraine

Rostov imechukuliwa na Wagner

Putin kwa maneno yake mwenyewe kasema Rostov hali ni ngumu sana

We unatokea huko ulipo unasema watakosa silaha
Wameteka makao makuu ya jeshi yanayotumika kuongoza vita dhidi ya Ukraine. Hii inahusisha magahala ya silaha. Hii kambi, yumkini itakuwa ndiyo yenye silaha nyingi sana. Wagner wanajiamini sana kwa sababu wanajua wana uwezo mkubwa wa kupambana na jeshi la Serikali.
 
Hakika hakuna aijuwaye kesho.
Ni vyema sana kucheza fair kila wakati.
Tuliwaonya hawa Warusi wa Makunduchi na kwa Mpalange kuwa wasifurahie watu kuuawa Ukraine.

Waliishia kutuita majina mabaya mara tuhusishwe na upinde ...fambaf zao leo wote wameficha sijda zao huku wakijipaka mafuta kujiandaa kupelekewa moto🤣

DeepPond simuoni
Jamaa yangu @exrovert yeye ana like kimya kimya 🤣🤣🤣
 
Lazima kuna watu wengi wapo nyuma ya Wagner. Anajua kabisa akiingia Moscow, mengi yatatokea. Putin amekwishahisi Urais wake unatafutwa. Kwenye hotuba yake amesema kwamba watu wanafanya maasi kwaajili ya tamaa ya madaraka.
Jiulize ametokaje tokaje huko bila kashkash hadi karibia na Moscow
 
Ni nini hiki umeandika mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…