Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

FLEE! THE SHIP IS SINKING!

Russian oligarchs & politicians are leaving Moscow en masse on private jets, some have already landed outside of [emoji635].

[emoji298]️The business jet of oligarch Arkady Rotenberg, who is very close to Putin, left Moscow at 11:30 am and landed in Baku [emoji1039] at 15:04. The flight was scheduled last night.

[emoji298]️The plane of [emoji635] Deputy Prime Minister Denis Manturov left Moscow at 07:00 and landed in Dalaman, Turkey [emoji1250] at 12:06.

[emoji298]️ The business jet of the oligarch Vladimir Potanin is waiting for a flight from Moscow to Istanbul [emoji1250].

[emoji298]️Putin's plane with the "red button" TU-214PU is returning back to Moscow having gone to St Petersburg.
 
Uelekeo Moscow hadi saa 6 usiku watu washatimba.
Ni either Russia aharibu nchi yake au akubali kupinduliwa
Nachojiiuliza mimi ni kwanini imekuwa rahisi kwa Wagner kuiteka hiyo miji mikubwa katika muda mfupi?

Wakati kule Ukraine, Wagner walipojaribu kushambulia mji kubwa walikutana na pingamizi ambalo liliwafanya wabadili mtazamo kwa kuelekea eneo lingine.

Napo huko walitumia siku nyingi kuteka maeneo ambayo ni madogo kwenye habari yalikuwa yaliyokuwa yananukuliwa kwa neno la "vijiji"?

Sasa ndio kwamba Ukraine ilikuwa compact kujilinda kuliko Urusi?

Mbona imekuwa rahisi mno kwa Urusi kuliko ilivyokuwa kwa Ukraine?

Au Urusi hawezi kutumia force kubwa kuwadhibiti hao Wagner kwasababu ya kuhofia kuharibu miundombinu ya nchi yake pamoja na kuwadhuru raia?

Yani hii confusion inazidi kuniacha na maswali mengi zaidi.
 
Inaonekana huu mpango ulipangwa na kina Shoigu
 
Usimalize maneno mkuu
 
Urusi haikulijua hilo tangu mwanzo?

Mimi binafsi naamini kilichotokea kimesababishwa tu na War intelligence

Mzungu kama anaweza kumfundisha panya kutegua mabomu, akaweza kumuongopea panya ahisi bomu ni kitu simple tu kisicho na hatari.

Wagner wao ni nani mpaka US ashindwe?
 
Analysis iko vizuri ya kitaalamu kijeshi iliyojaa facts un dissputable
 
Wale Waasi wa mwanzo walipoingia Urusi nikasema hapa, Urusi ina Udhaifu, na sio Imara kama inavyoelezwa!

Sasa Wanajeshi wengi wa Urusi wapo Ukraine, na Mwamba anasonga Moscow kiulaini!

Imenikumbusha Movie flani ya Rambo.
Wale walikuwa wanatest, hawakua na vifaa na watu
 
Nakosa Cha kuchangia.
Ila ni uwendawazimu nchi kutumia jeshi la kukodi na kulipeleka vitani.

Bila shaka hao Wagner wamefika Bei kwa NATO.

si,unajua biashara tena zilivyo?!
Inasemekana ni jeshi lake amelianzisha mwenyewe. So kama amekodi Inamaana anachukua pesa mfuko wa mbele na kuziweka mfuko wa nyuma.. But hilo lakupandiwa dau na western pia Inawezakana maana Wagner wapo after money ... Hawana wanachogombania zaidi ya kupigana kama biashara yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…