Urusi Imetudhalili sana Kama Ndio hivi mamluki anasonga kama mlenda kwa ugali duh....Hivi hii nchi kumbe haikua na chochote ni mkwara mbuzi tu....Sasa Putin na jeuri yake si atakua anazimia huko...Najisikia aibu sana mashoga yanaiangusha Urusi dah
Hii ngoma inazidi kuwa nzitoState of emergency imetangazwa Moscow.
Hakuna mtu kutoka nje
Yeye hana tamaa? Kutesa kwa zamuLazima kuna watu wengi wapo nyuma ya Wagner. Anajua kabisa akiingia Moscow, mengi yatatokea. Putin amekwishahisi Urais wake unatafutwa. Kwenye hotuba yake amesema kwamba watu wanafanya maasi kwaajili ya tamaa ya madaraka.
Unaonaje kwa upande wa Wagner, je nao watakimbia?Wale si walikimbia baada ya wachechniya kwenda huko...
Shoigu ni Defence MinisterHuyo Shoigu simjui, mimi sio mfatiliaji kivile wa hii vita.
Mara nyingi utanikuta kwenye matukio makubwa yaliyoshika headlines.
Unaenda kutekwa huo, wanazidi kufanya wrong calculations.Mifumo ya ulinzi wa anga ya S-400 ya Urusi imepelekwa mji wa RostovView attachment 2667570
Sawa MkuuShoigu ni Defence Minister
Yamekuwa hayo tena , ila taarifa mbaya ya kuhusu ukraine hamtak kujua ni msemaj wa wapWewe ni msemaji wa jeshi gani Wagner PMC au Russia?
Ami ukirsto umezaliwa ndani ya uyahudi na uyahudi ni dini mama ya ukrsto,hivyo adui wa wayahudi ni adui wa wakrsto...Kwakua wakrsto hawawapendi waarabu ambao ni mahasimu wa wayahudi basi hawawezi kua na undugu na dini iliyoanzishwa miaka 700 au zaidi baada ya ukristo na yenye tamaduni za kiarabu mahasimu wa wayahudiSisi waislamu tunawaona mayahudi ni wabaya kuliko wakristo.La kushangaza wakristo wengi wanawaona ni ndugu zao kuliko waislamu.
Yeye mwenyewe hapo anajisema.Kisa cha kubadili katiba ni nini?Kama si tamaa ya madaraka ili awe Rais wa maisha.Lazima kuna watu wengi wapo nyuma ya Wagner. Anajua kabisa akiingia Moscow, mengi yatatokea. Putin amekwishahisi Urais wake unatafutwa. Kwenye hotuba yake amesema kwamba watu wanafanya maasi kwaajili ya tamaa ya madaraka.
Unahisi hayo maaamuz ni yao binafs mbona huwa mnafikir harib sana , kwamba wamekurupuka sio?Kuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
This is the takeover, ni revolution. Alafu sio lazima kila kitu kiwe sawasawa na kilichotokea miaka iliyopita, historia inajirudia lakini haikopi na kupesti.1. Mpaka hiyo coup itokee na ifanikiwe....
2. Na tofauti zao zote wanachofanana ni kitu kimoja, they all hate the West.
3. Unclear mpaka sasa nini kinaendelea, sababu hakujawahi na Coup ya hivi duniani ( nilizofanikiwa kuzisoma).
Binafsi naona ni njamaa, maana kabla ya hapo wamekuwa na mgogoro mkubwa sana.Sawa Mkuu
Yes, hii mbinu aliitumia muasisi wa kampuni yetu. Kabla ya kumkabidhi u-CEO bwana Ben ten alimtuma shushushu akamchimbe Ben ten, ndio mwamba akagundua kuwa Ben 10 aliwah kumRIP jamaa flan kwa wivu wa mapenzi.Ni kawaida ukimtumia mtu kuua watu usipomuwahi ukamuua yeye ipo siku atakugeuka.
Wagner huenda wakapangiwa majukumu mapya SA😃Wagner ni worse kuliko Putin.Kama tu alivyokuwa Mussolini.
Kuweni na akiba ya maneno msije kulikimbia jukwaa.Huyu Prigo siyo mtu wa mchezo. Siyo kichaa, anajua anachokifanya.
Kwanza analijua kikamilifu jeshi la Urusi, anazijua silaha za Urusi, anajua akiba ya silaha za Urusi, anajua msimamo wa wananchi walio wengi. Na kwa vyovyote vile atakuwa ana mawasiliano na baadhi ya makamanda wa jeshi la Urusi na wapiganaji pia.
Putin anaweza kujiona bado ana askari wengi, kumbe siyo askari wake. Ikumbukwe toka mwanzo, askari wa jeshi la Urusi, licha ya kuwa na silaha nyingi, kikubwa walichokuwa wamekikosa ni morali.
Ufahamu kuwa ndani ya hilo jeshi la Urusi, wengi ambao wamekuwa wanapelekwa mstari wa mbele, ni askari wasio na mafunzo ya kutosha. Ni wale walioandikishwa na kulazimishwa kwenda vitani. Na hilo lilifanyika baada ya Urusi kupoteza askari wake wengi elites mjini Kiev, na siku za mwanzo za mapigano kusini mashariki mwa Ukraine, vifo vilivyohusisha makamanda wa ngazi ya juu wa Jeshi la Urusi.
Askari hao wote wanaona kabisa kuwa maisha yao yapo hatarini kwa kuendelea kupigana nchini Ukraine. Kwao ni rahisi zaidi kupigana dhidi ya Serikali yao kuliko kuendelea kupigana Ukraine ambako nchi za Magharibi wameapa kuendelea kuisaidia Ukraine, hata kama vita itachukua zaidi ya miaka 10.
Tunawaza pamoja,Ile Jules anageuka anaona Brutus ndo aliyeshika kisu.Akabaki tu kuuliza hata wewe Brutus?Usaliti upo kwa kweli.Ndo maana anajiamini sana. Putin katumia stab in the back. Ni kama ile ya Julius Caesar even you Brutus?
Zimwi ulijualo!
Hapo itabidi Prigo apewe uwaziri wa ulinzi.🤣Wagner huenda wakapangiwa majukumu mapya SA😃