HahahaaaaaMwamba huyu hapa. Atawaflchapa sana Western. Vibaya sana. Hapa ame jidisguise huwezi mtambua. Alikuja bongo akaa na Wamasai mwezi mzima bila watu kujua
Wagner ni bora kuliko NATO mkuu???? Katika nyanja ipi????? Maana NATO ni muunganiko wa nchi na Wagner ni kampuni ya askari mamluki hawazidi 50,000Kwani wagner ni nato? Wagna ni bora kuliko nato ila si juu ya jeshi la urussi hivyo labda jeshi lifanye maasi kwa kushirikiana na wagner vinginevyo hso wagner hawana bahati
Issue ni kwamba Wizara ya Ulinzi ya Russia ilitoa agizo kwamba vikosi vyote ambavyo vimekuwa vikishiriki vyatakiwa viwe vimejisajili upya na kusaini mikataba mipya ifikapo tarehe 1 Julai 2023.Hapo itabidi Prigo apewe uwaziri wa ulinzi.🤣
Waulize nato wenyewe watakuambiaWagner ni bora kuliko NATO mkuu???? Katika nyanja ipi????? Maana NATO ni muunganiko wa nchi na Wagner ni kampuni ya askari mamluki hawazidi 50,000
Kabla ya hayo kutokea jua kabisa NATO countries zitakuwa majivu
[/QU
Kwani NATO countries hazina nyukilia za kuifanya Russia majivu pia mkuu???
Watasema aliyekufa sio Putin halisi.Endelea kuota. Wagner wanaendelea kuua askari wa serikali. Helikopta ya askari wa jeshi imedunguliwa na kuteketezwa. Marubani wote wawili wameuawa. Wewe bado unaamini ni maagizo!!
Nadhani hata siku Putin akiuawa, mtasema anaigiza kufa.
Safari hii hachomoki. Wameteka kambi iliyo na shehena kubwa ya silaha huko Rostov kwa ajili ya kupeleka Ukraine.Putin akichomoka na hapa nitamuona noma
Ukiambiwa uwe shoga na ww unakuwa shoga ? hv hz alili mnatoa wap? Sijawai ona mtu anaambiwa awe shoga , ttzo kubwa hupendi kutumia akili zako unataka mwingine afikiri hlf ww uish kweny maono yake , ndio maana ukiona wazungu wanafir@na na ww unataka ufirw£ , jinga kbsHuu mpango umesukwa na West na kwa hakika Kuiangusha Russia ni pigo kwa Dunia nzima tutaambiwa tuwr mashoga woote ....naamini West watatumia vizuri ssna huu mtego kuishambulia Urusi vikali sana na hivyo hata jaribio la kumuua Putin litafanywa na ikiwezekana watamuua hapa hapa katika huu mzozo..Sioni kama Putin atanusurika na hili. MASHETANI yanatuumiza kwa kuisambaratisha Urusi..dah hii ni jambo baya sana...
Mkuu kumbe unaongea kitoto na kishabiki...Mimi nilijua wewe ni mchambuzi mkongweWaulize nato wenyewe watakuambia
udini na utumbo mpana ndio vinaongoza kucomment hapoMkuu kumbe unaongea kitoto na kishabiki...Mimi nilijua wewe ni mchambuzi mkongwe
Hizo zinaenda kuokotwa kama ndude/visodaMsafara wa wapiganaji wa chechen umekwama kuingia katika mji wa Rostov uliopo chini ya Ulinzi wa Wapiganaji wa WagnerView attachment 2667534
Mbona tutakoma warusi wa mang'ulaWakati tunaendelea kufuatilia Wasafi TV wakitujulisha yanayojiri huko Dubai tukumbuke pia huko Duniani mambo ni Mengi
Kikosi cha Wagner huko Urusi ambacho kimeasi kimedai kitaingia hadi Moscow na kuung'oa Utawala wa Wala Rushwa na Mabazazi wa Rais Putin
Mh Prigozhin ambaye ni mkuu wa Wagner group amesema Putin atajua hajui
Sabato njema!
Walisema ni mbwinu ya Urusi kuwapiga UkraineIlianza utani utani ila baada ya kutangazwa kuuawa inabidi wafanye kweli ndo maana waona wameanza choma depots na kuangusha ndege
Mbona yeye anaua kisa madaraka, karma is a bitch.Lazima kuna watu wengi wapo nyuma ya Wagner. Anajua kabisa akiingia Moscow, mengi yatatokea. Putin amekwishahisi Urais wake unatafutwa. Kwenye hotuba yake amesema kwamba watu wanafanya maasi kwaajili ya tamaa ya madaraka.
Upo sahii mkuuudini na utumbo mpana ndio vinaongoza kucomment hapo
Yap ni maslahi ,sasa wataongea na Putin.Mambo yatakuwa sawa.Ila ndo faida ya kuunga mkono jeshi binafsi.Putin analipa makosa aliyofanya.Issue ni kwamba Wizara ya Ulinzi ya Russia ilitoa agizo kwamba vikosi vyote ambavyo vimekuwa vikishiriki vyatakiwa viwe vimejisajili upya na kusaini mikataba mipya ifikapo tarehe 1 Julai 2023.
Hili ni tatizo kwa Prigozhin kwani hana uhakika wa mkataba mpya.
Wanasiasa malaya malaya hvNakosa Cha kuchangia.
Ila ni uwendawazimu nchi kutumia jeshi la kukodi na kulipeleka vitani.
Bila shaka hao Wagner wamefika Bei kwa NATO.
si,unajua biashara tena zilivyo?!