Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Kwani wagner ni nato? Wagna ni bora kuliko nato ila si juu ya jeshi la urussi hivyo labda jeshi lifanye maasi kwa kushirikiana na wagner vinginevyo hso wagner hawana bahati
Wagner ni bora kuliko NATO mkuu???? Katika nyanja ipi????? Maana NATO ni muunganiko wa nchi na Wagner ni kampuni ya askari mamluki hawazidi 50,000
 
Endelea kuota. Wagner wanaendelea kuua askari wa serikali. Helikopta ya askari wa jeshi imedunguliwa na kuteketezwa. Marubani wote wawili wameuawa. Wewe bado unaamini ni maagizo!!

Nadhani hata siku Putin akiuawa, mtasema anaigiza kufa.
Watasema aliyekufa sio Putin halisi.
 
Huu mpango umesukwa na West na kwa hakika Kuiangusha Russia ni pigo kwa Dunia nzima tutaambiwa tuwr mashoga woote ....naamini West watatumia vizuri ssna huu mtego kuishambulia Urusi vikali sana na hivyo hata jaribio la kumuua Putin litafanywa na ikiwezekana watamuua hapa hapa katika huu mzozo..Sioni kama Putin atanusurika na hili. MASHETANI yanatuumiza kwa kuisambaratisha Urusi..dah hii ni jambo baya sana...
Ukiambiwa uwe shoga na ww unakuwa shoga ? hv hz alili mnatoa wap? Sijawai ona mtu anaambiwa awe shoga , ttzo kubwa hupendi kutumia akili zako unataka mwingine afikiri hlf ww uish kweny maono yake , ndio maana ukiona wazungu wanafir@na na ww unataka ufirw£ , jinga kbs
 
Wakati tunaendelea kufuatilia Wasafi TV wakitujulisha yanayojiri huko Dubai tukumbuke pia huko Duniani mambo ni Mengi

Kikosi cha Wagner huko Urusi ambacho kimeasi kimedai kitaingia hadi Moscow na kuung'oa Utawala wa Wala Rushwa na Mabazazi wa Rais Putin

Mh Prigozhin ambaye ni mkuu wa Wagner group amesema Putin atajua hajui

Sabato njema!
Mbona tutakoma warusi wa mang'ula
 
Lazima kuna watu wengi wapo nyuma ya Wagner. Anajua kabisa akiingia Moscow, mengi yatatokea. Putin amekwishahisi Urais wake unatafutwa. Kwenye hotuba yake amesema kwamba watu wanafanya maasi kwaajili ya tamaa ya madaraka.
Mbona yeye anaua kisa madaraka, karma is a bitch.
 
Issue ni kwamba Wizara ya Ulinzi ya Russia ilitoa agizo kwamba vikosi vyote ambavyo vimekuwa vikishiriki vyatakiwa viwe vimejisajili upya na kusaini mikataba mipya ifikapo tarehe 1 Julai 2023.

Hili ni tatizo kwa Prigozhin kwani hana uhakika wa mkataba mpya.
Yap ni maslahi ,sasa wataongea na Putin.Mambo yatakuwa sawa.Ila ndo faida ya kuunga mkono jeshi binafsi.Putin analipa makosa aliyofanya.
 
Nakosa Cha kuchangia.
Ila ni uwendawazimu nchi kutumia jeshi la kukodi na kulipeleka vitani.

Bila shaka hao Wagner wamefika Bei kwa NATO.

si,unajua biashara tena zilivyo?!
Wanasiasa malaya malaya hv

In Nyerere voice [emoji23]
 
Back
Top Bottom