Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Wakuu naomba mnieleweshe wanaposema jeshi limeteka ina maana gani ? Maana mfano wameteka mji wa kasulu na tunafahamu miji inabeba watu hata laki tatu na kuendelea na ni eneo kubwa sana ! Wanaweza kuoccupy eneo zima ? Na utasikia baadae wameenda miji mingine tena!
 
Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Urusi limeanza kuharibu barabara zote zinazoelekea mji wa Moscow. Tingatinga zinachimba mashimo makubwa kwenye barabara hizo ili kuzuia vifaru na silaha nzito za Wagner kufika Moscow. View attachment 2667542
Kaibomoa Ukraine na sasa ameanza kuibomoa nchi yake mwenyewe😃
 
Wapo wengi saaana ila toka wagner waliamshe wamekaa kimya, sio kawaida yao kabisa.
 
Tunasema vita haipimwi kwa wingi wa askar, vita, morale ama chochote kile ila ni kitu gani umegain.

Wagner mpaka sasa muelekeo wao na azma yao ya kuipindua serikali ni mkubwa zaidi.
Nimesikia kiongozi wa Wagner amehakikisha lazima aingie Moscow na lazima jeshi la Urusi lisambaratike.


Hawa ni askali wa kikosi cha Wagner wakifanya upekuzi katika mitaa ya mji wa Rostov nchini Urusi alasiri ya leo.
 
Kuna watu hawajui PMC hawawezi kusonga mbele maana hawana ndege vita hawana baadhi ya ammunition walizokuwa wanapewa na Jeshi. Hivyo cant fight RF.
Hivi unaelewa maana ya kushikilia makao makuu ya kanda ya kusini. ? We kenge kweli unadhani wagner ni wajinga kama wewe unaedhani makao makuu ya jedhi kuna mikate
 
Putin amekwisha.. Mwamba ni pandikizi LA USA, alipandikizwa kitambo sana kumsoma Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…