Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Wakuu naomba mnieleweshe wanaposema jeshi limeteka ina maana gani ? Maana mfano wameteka mji wa kasulu na tunafahamu miji inabeba watu hata laki tatu na kuendelea na ni eneo kubwa sana ! Wanaweza kuoccupy eneo zima ? Na utasikia baadae wameenda miji mingine tena!