TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
The insurrection reached the brink of major bloodshed, Prigozhin said, explaining that Wagner’s advancing columns will return to their camps “according to plan.”Ni kusubiri mpaka control kamili iwepo ndio kushangilia kuanze
Propaganda kupoteza jimbo?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Umeambiwa tangia mwanzo, Urusi ndio Mabingwa wa Propaganda
Sikupingi mkuu Ila ndoo mawazo yako kutoka viunga vya meeru spring waterHuu ujasiri wa Prigo si bure, huenda ameona wazi kuwa Putin hachomoi na pia huenda anaungwa mkono na makamanda wa serikali au hata amepokea dau nono toka Nato
Sio nyinyi Waislam mnawachukia Wayahudi... bali aliyewafundisha chuki bila sababu ni Apostle wenu Muhamed sababu aliwachukia wayahudi kisa walikuwa wanamchana live kuwa ni mpagani Stone Kisser Jiwe la Kaaba eti linasamehe dhambi na kuongopa kuhusu utume wake wakamuambia Mitume inatoka kwenye koo za wahahudi tu pekee na Alla ni Mungu mwezi wa kipagani na Mungu wa Wayahudi sio Allah, akabadili kila kitu kuhusu imani ya Jews na Ukiristo even Yesu alimuita Issa jina ambalo ni kwa tafsili ya Kiarabu ni Ngamia so chuki mno akaanzisha akafundisha kuwa adui wa Uislam ni Uyahudi akawaua wote pale Mecca...Sisi waislamu tunawaona mayahudi ni wabaya kuliko wakristo.La kushangaza wakristo wengi wanawaona ni ndugu zao kuliko waislamu.
Dah![emoji26]Kazi iendelee, naomba pro Russia waendeleze ule ushabiki wao wa siku zote
Jimbo lipi wamepoteza?Propaganda kupoteza jimbo?
hatariWamefika bei
Imekuwaje tenaaaa?! Mlipaswa kumfunza Putin adabu.Taarifa iliyotolewa na Yevgeny Prigozhin ambaye ni Mmiliki wa Jeshi hilo Binafsi, imeeleza kuwa wanachukua uamuzi huo baada ya kuzungumza na Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko.
Hatua hiyo imekuja wakati Jeshi la Wagner likiwa jirani kwa Kilomita takriban 300 kuingia Mji Mkuu wa Moscow yalipo makazi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
Kwa mujibu wa Vyombo vya Habari vya Kimataifa, Rais Putin anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kwa utawala wake wakati huu kuliko kipindi chocho.
===========
Wagner chief Yevgeny Prigozhin says he ordered his mercenaries to halt their march on Moscow to avoid “shedding Russian blood”.
The comments by Prigozhin in an audio message came after Belarus’ leader Alexander Lukashenko said he negotiated with the mercenary boss to stop Wagner’s troop movement.''
Prigozhin said while his men are just 200km (120 miles) from Moscow, he decided to turn them back to avoid to prevent killings.
He did not say whether the Kremlin responded to his demand to oust Defence Minister Sergey Shoigu. There was no immediate comment from the Kremlin.
President Vladimir Putin faced the biggest threat to his rule yet with rebel mercenaries advancing towards the Russian capital after seizing a key military base.
AL JAZEERA
Warusi wenyewe wanafanyaje? Maana ni kama unamwambia mrusi asubiri asishangilie kwanza wakati ukute ni mpare. Warusi huko kwao wana huzuni ya kiwango kinachoonyeshwa hapa na wamakonde na wagosi? HahahahaNi kusubiri mpaka control kamili iwepo ndio kushangilia kuanze
Ndo wateke jimbo kiulain , hata Rwanda hawapo hivyoKaka una mikurupuko sana, kila siku unaambiwa hapa, URUSI sio kama RWANDA.
Mna bahati tais wa Belarus ameongea na Prigo amekubali kirudisha watu wake kambiniDah![emoji26]
Hali Tete mkuu,Ukiona wameanza fanya hivi jua ndo mwishoView attachment 2667504
Leteni propaganda zote lakini wagner kesho wako Moscow🇧🇾🇷🇺❗Lukashenko held talks with Prigozhin in agreement with Putin — press service of the President of the Republic of Belarus.
Yevgeny Prigozhin accepted the proposal of the President of Belarus Alexander Lukashenko to stop the movement of armed persons of the Wagner company on the territory of Russia and take further steps to de-escalate tensions with security guarantees for the Wagner PMC fighters.
Ni aibu sana kwa Putin , hana jeshi kbsBREAKING NEWS
Rais wa Beralus Lukashenko amefanikiwa kumshawishi mkuu wa Wagner kuweka chini silaha na kumaliza tofauti zake na jeshi la Urusi. Wapiganaji wa Wagner wamesitisha kuelekea Moscow.
Na wanakoelekea wataomba msaada westPia baridi na chakula ni kikwazo unless biden afanye mazungumzo nao haraka
Kazi imeishaj ? wamewapiga wagner au wameomba msaada wa kusuluhisha ? unasifia ujinga , Putin hana jeshi watu bado wanatest mitambo tu , muda unakujaHahahahha rusia ndio taifa pekee la kiume na mashabiki wake ni wanaume haya kazi imeisha umbwa nyie manyato njooni kwenye uzi pendwa kuku nyie fanfa mmefikia wapi
Huoni udhaif wq jeshi lenu mnaliita superpower ? Yaan wagner wameteka hadi jimboPro Nato bana!, kwaiyo sasa umesalimu amli.. Umeona walivyokuchezea akili [emoji119][emoji16]
Na uko rostov walikoteka ndo ilkua kambi kuu inatosambaza silaha zote zinazopelekwa Ukraine[emoji26]Kuhusu silaha hujui kuwa wameteka vituo vya jeshi kadhaa kwenye majiji tfauti tena bila upinzani?
Unafikiri wamekurupuka?
Hawa wana nguvu nyuma yake
Hapo ulipo umevaa pampas ndugu?Uyo kweny prof yako anatambua haki za mashoga , unamshobokea atakubandua tu