Taarifa iliyotolewa na Yevgeny Prigozhin ambaye ni Mmiliki wa Jeshi hilo Binafsi, imeeleza kuwa wanachukua uamuzi huo baada ya kuzungumza na Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko.
Hatua hiyo imekuja wakati Jeshi la Wagner likiwa jirani kwa Kilomita takriban 300 kuingia Mji Mkuu wa Moscow yalipo makazi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
Kwa mujibu wa Vyombo vya Habari vya Kimataifa, Rais Putin anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kwa utawala wake wakati huu kuliko kipindi chocho.
===========
Wagner chief Yevgeny Prigozhin says he ordered his mercenaries to halt their march on Moscow to avoid “shedding Russian blood”.
The comments by Prigozhin in an audio message came after Belarus’ leader Alexander Lukashenko said he negotiated with the mercenary boss to stop Wagner’s troop movement.''
Prigozhin said while his men are just 200km (120 miles) from Moscow, he decided to turn them back to avoid to prevent killings.
He did not say whether the Kremlin responded to his demand to oust Defence Minister Sergey Shoigu. There was no immediate comment from the Kremlin.
President Vladimir Putin faced the biggest threat to his rule yet with rebel mercenaries advancing towards the Russian capital after seizing a key military base.
AL JAZEERA