Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Ni kusubiri mpaka control kamili iwepo ndio kushangilia kuanze
The insurrection reached the brink of major bloodshed, Prigozhin said, explaining that Wagner’s advancing columns will return to their camps “according to plan.”

“They wanted to disband PMC Wagner. On June 23, we went on a March of Justice in a day. We advanced on Moscow just 200km short, and during this time we did not shed a single drop of the blood of our fighters,”
he claimed.
===
Mkuu utalazimika kurudi mafichoni Tena. Maana hii imeisha.
 
Sisi waislamu tunawaona mayahudi ni wabaya kuliko wakristo.La kushangaza wakristo wengi wanawaona ni ndugu zao kuliko waislamu.
Sio nyinyi Waislam mnawachukia Wayahudi... bali aliyewafundisha chuki bila sababu ni Apostle wenu Muhamed sababu aliwachukia wayahudi kisa walikuwa wanamchana live kuwa ni mpagani Stone Kisser Jiwe la Kaaba eti linasamehe dhambi na kuongopa kuhusu utume wake wakamuambia Mitume inatoka kwenye koo za wahahudi tu pekee na Alla ni Mungu mwezi wa kipagani na Mungu wa Wayahudi sio Allah, akabadili kila kitu kuhusu imani ya Jews na Ukiristo even Yesu alimuita Issa jina ambalo ni kwa tafsili ya Kiarabu ni Ngamia so chuki mno akaanzisha akafundisha kuwa adui wa Uislam ni Uyahudi akawaua wote pale Mecca...

even mwanzoni alishawahi hudhuria maziko ya Myahudi ile Sala waliyofundishwa na Yesu ya Baba wetu wa Mbinguni Myahudi mmoja akamuambia ndivyo tusalivyo hivi! alipoondoka akawaambia jamaa zake wabadilishe sala yote isifanane hata kidogo na ya uyahudi..

Mudy alikuwa mjinga sana... Even Ijumaa kuwa siku muhimu ya swala ni sababu ya wayahudi kwani pale Mecca ndio wao walikuwa wameshika Uchumi wote so Jumamosi Sababo walikuwa hawafungui maduka wala biashara zao zote ikiwemo vyakula so jua likizama wanakuwa washapotea kitambo so ikawa taabu sana kwa waarabu na muslim kupata mlo siku ya jumamosi hivyo ikawa ikifika ijumaa waislam hawaswali ni kujiandaa tu kununua vyakula kwa ajili ya jumamosi wayahudi wakifunga maduka yao Mudy kuona watu ijumaa hawaswali akaleta aya ifuatwe ijumaa waislam wote wawe wanaswali kama siku ya maana sana ambayo Adam aliumbwa.... so ulimbikizaji wa misosi ukaanza siku ijumaa mapema mchana wanaswali maisha ya uislam yakawa ahueni

Waislam Someni dini yenu mnadanganywa sana kisa hamjui Kiarabu na copy Koran ya kiarabu kisha itafsili kwa kiswahili kwenye Google tu mtajua koran ya kiswahili imejaa uongo mtupu haswa kwa Watu weusi hamna chenu kwenye uislam sijui waliwakamataje mkaabudu ...

wanawachora tu kuchafua nyuso zenu kwa sigda tu kumsuhudia Sheitan hivi hamjui kuwa Surah Jini ni aya za Shetani na Allah alimuambia Mudy kuwa atazitoa na Mudy aliwaambia watu wake kuwa eti Shetani alimuingilia ila alikuwa amauamuru kutenda mema tu kha!
 
Taarifa iliyotolewa na Yevgeny Prigozhin ambaye ni Mmiliki wa Jeshi hilo Binafsi, imeeleza kuwa wanachukua uamuzi huo baada ya kuzungumza na Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko.

Hatua hiyo imekuja wakati Jeshi la Wagner likiwa jirani kwa Kilomita takriban 300 kuingia Mji Mkuu wa Moscow yalipo makazi ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

Kwa mujibu wa Vyombo vya Habari vya Kimataifa, Rais Putin anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kwa utawala wake wakati huu kuliko kipindi chocho.


===========

Wagner chief Yevgeny Prigozhin says he ordered his mercenaries to halt their march on Moscow to avoid “shedding Russian blood”.

The comments by Prigozhin in an audio message came after Belarus’ leader Alexander Lukashenko said he negotiated with the mercenary boss to stop Wagner’s troop movement.''

Prigozhin said while his men are just 200km (120 miles) from Moscow, he decided to turn them back to avoid to prevent killings.

He did not say whether the Kremlin responded to his demand to oust Defence Minister Sergey Shoigu. There was no immediate comment from the Kremlin.

President Vladimir Putin faced the biggest threat to his rule yet with rebel mercenaries advancing towards the Russian capital after seizing a key military base.

AL JAZEERA
Imekuwaje tenaaaa?! Mlipaswa kumfunza Putin adabu.
 
🇧🇾🇷🇺❗Lukashenko held talks with Prigozhin in agreement with Putin — press service of the President of the Republic of Belarus.

Yevgeny Prigozhin accepted the proposal of the President of Belarus Alexander Lukashenko to stop the movement of armed persons of the Wagner company on the territory of Russia and take further steps to de-escalate tensions with security guarantees for the Wagner PMC fighters.
Leteni propaganda zote lakini wagner kesho wako Moscow
 
Back
Top Bottom