Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Rudia swali mkuu na afu unifafanulie mtu kuitwa nabii lazima awe na sifa gani????Wa jamii hizo zote unazijua wewe zilizopita je zipo au unaamini ndio tupo sisi tu wakipindi hiki tulipokua duniani ?
Hujajibu swali unauliza swali??????Hakuna manabii ni dhana tu kama zilivyo dhana za uislamu au uyahudi au ukrsto mkuu???Je kuhusu manabii unawaamin walikuwepo au nayo dhana
Nimekuuliza umati wa jamii ipi duniani???Wa jamii hizo zote unazijua wewe zilizopita je zipo au unaamini ndio tupo sisi tu wakipindi hiki tulipokua duniani ?
Da we jamaa mtihani kwa kwelNimekuuliza umati wa jamii ipi duniani???
Kama umesema hakuna manabii zote dhana bc maana yake hapo ulipo hakuna nabii hata mmoja unaemfaham licha ya kusema wewe mtu wa historia. Kwa maana hiyo wewe mtu wa historia za wazungu sio mtu wa historiaHujajibu swali unauliza swali??????Hakuna manabii ni dhana tu kama zilivyo dhana za uislamu au uyahudi au ukrsto mkuu???
Tatizo binadamu hampendi ukweli ndio maana unaniona tatizo rafiki yangu????? Mimi ukinipa ushahidi wa wazi wazi,basi leo hii na mimi najiunga na hiyo dini ya waarabu mkuu..Niletee Allah nimuone,yalete majini,walete malaika,nionyeshe wale mabikira 70 wa peponi na unionyeshe jinsi quran ilivyoshushwa kwa ushahidi sio kwa maneno au masimuliziDa we jamaa mtihani kwa kwel
Kwani mkuu ili mtu awe nabii anatakiwa awe na sifa gani??Kama umesema hakuna manabii zote dhana bc maana yake hapo ulipo hakuna nabii hata mmoja unaemfaham licha ya kusema wewe mtu wa historia. Kwa maana hiyo wewe mtu wa historia za wazungu sio mtu wa historia
🤣🤣🤣🤣 Sawa Changchun yatai tumekuelewa mzee wa taekwondo @ NenganiWe lushashi na mwenzio hayo mabishano yenu kuhusu dini myafungulie Uzi mwingine mnatuchanganya humu pambaf
Hakuna mkuu sio mabishano ila nilikua naangalia tu kumbe kuna watu duniani waajabu kiwango hiki!!We lushashi na mwenzio hayo mabishano yenu kuhusu dini myafungulie Uzi mwingine mnatuchanganya humu pambaf
Mkuu mimi sio wa ajabu,bali wewe ndio wa ajabu...Mbantu utaamini vipi adithi za kufikirika za waaarabu na wayahudiHakuna mkuu sio mabishano ila nilikua naangalia tu kumbe kuna watu duniani waajabu kiwango hiki!!
Mkuu; hivi ni Mungu gani akamteremshia vitabu vya kusoma mtu asiyejua kusoma? Au unataka kuniambia hapakuwepo na Msomi nyakati hizo? Ebu tuanza hapo kwanza.Sio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukristo ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.
Kama humjui nabii hata mmoja bc mjadala uisheKwani mkuu ili mtu awe nabii anatakiwa awe na sifa gani??
Afu anasema huyo ndio msomi kuliko akina Abdul kareem al majid au Sir Newton kwa uchache????Mkuu; hivi ni Mungu gani akamteremshia vitabu vya kusoma mtu asiyejua kusoma? Au unataka kuniambia hapakuwepo na Msomi nyakati hizo? Ebu tuanza hapo kwanza.
Uzi wowote ulioandikwa na MK254 ni wa kuupuuza
Nabii wa dini ipi mkuu maana duniani kuna dini 7500000...Basi tumzungumzie Pandwi nabii wa wahindu mkuu.Kama humjui nabii hata mmoja bc mjadala uishe
Hakuna mkuu sio mabishano ila nilikua naangalia tu kumbe kuna watu duniani waajabu kiwango hiki!-
Sikujua wakati ndo nlimpokea Airport?
Hakuna mkuu sio mabishano ila nilikua naangalia tu kumbe kuna watu duniani waajabu kiwango hiki!-
Sikujua wakati ndo nlimpokea Airport?
Nipe update basi Mrusi wa Tandale.Tuna mambo mengi ya msingi mi sio jobless kama wewe kiasi kwamba niset antena zangu zote kufuatilia watu walioshiba wakaanzisha vita.Kuwa updated na habari mzee.
Utaonekana 'kubwa jinga' bure