Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

Hujajibu swali unauliza swali??????Hakuna manabii ni dhana tu kama zilivyo dhana za uislamu au uyahudi au ukrsto mkuu???
Kama umesema hakuna manabii zote dhana bc maana yake hapo ulipo hakuna nabii hata mmoja unaemfaham licha ya kusema wewe mtu wa historia. Kwa maana hiyo wewe mtu wa historia za wazungu sio mtu wa historia
 
Da we jamaa mtihani kwa kwel
Tatizo binadamu hampendi ukweli ndio maana unaniona tatizo rafiki yangu????? Mimi ukinipa ushahidi wa wazi wazi,basi leo hii na mimi najiunga na hiyo dini ya waarabu mkuu..Niletee Allah nimuone,yalete majini,walete malaika,nionyeshe wale mabikira 70 wa peponi na unionyeshe jinsi quran ilivyoshushwa kwa ushahidi sio kwa maneno au masimulizi
 
Kama umesema hakuna manabii zote dhana bc maana yake hapo ulipo hakuna nabii hata mmoja unaemfaham licha ya kusema wewe mtu wa historia. Kwa maana hiyo wewe mtu wa historia za wazungu sio mtu wa historia
Kwani mkuu ili mtu awe nabii anatakiwa awe na sifa gani??
 
Sio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukristo ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.
Mkuu; hivi ni Mungu gani akamteremshia vitabu vya kusoma mtu asiyejua kusoma? Au unataka kuniambia hapakuwepo na Msomi nyakati hizo? Ebu tuanza hapo kwanza.
 
Kuwa updated na habari mzee.

Utaonekana 'kubwa jinga' bure
Nipe update basi Mrusi wa Tandale.Tuna mambo mengi ya msingi mi sio jobless kama wewe kiasi kwamba niset antena zangu zote kufuatilia watu walioshiba wakaanzisha vita.
 
Back
Top Bottom