Sio kilakitu ufate dhana kuna vitu vingine kama uvijui ni bora kukaa kimya tu sio unaongea maneno yako ya kibange bange hapa. Hivi una uthibitisho unaweza nipa Kama uislamu ni kopy ya ukristo na uyahudi?. Kwanza hakuna dini inayoitwa ukristo duniani ni dhana tu kama una uthibitisho wa maandishi nipe kua kua ukristo ni dini. Pili Uislamu haumuabudu kiumbe nikimaanisha yesu mama yake kua eti ndio wakusamehe dhambi unawezaje kusema Uislamu ni copy , quran imetelemshwa ni uteremsho kutoka kwa mwenyezi Mungu biblia imeandikwa na watu waliokua wanaulizia habari za nabii yesu kipindi kashaondoka sio kitabu alichokuja nacho ni habari zilizokusanywa kwa kuuliza uliza watu ndio maana kuna injili ya Marko kuna ya luka kuna Mathayo nk. soma dini usizue mambo ya uongo watu kama ninyi na elimu yenu ya dhana hiyo ndio mpaka leo munakubali binadamu wa kwanza alikua nyani.