USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

NIMECHEKA SANA HAHAHAHAHA..
TENGENEZA UZI TUELIMISHANE..kwenye inflation kuwa na direct effect kwenye exchange rate nakubali, lakn exchange rate kuwa na direct effect hapo ndo kidogo changamoto.
 
...last month ilitoka 2800 hadi 2100 ndani ya masaa kadhaa? Last month ilikua April, hii iliyokea nchi gani? Hii hii Tanzania? Weka vizuri hiki unachosema maana utafanya wote humu tuonekane wajinga
 
...last month ilitoka 2800 hadi 2100 ndani ya masaa kadhaa? Last month ilikua April, hii iliyokea nchi gani? Hii hii Tanzania? Weka vizuri hiki unachosema maana utafanya wote humu tuonekane wajinga
NENDA NAYE POLE POLE ATAELEWA!
HAYA NDUGU NDO MATATZO YA KULISHWA MANENO
 
NIMECHEKA SANA HAHAHAHAHA..
TENGENEZA UZI TUELIMISHANE..kwenye inflation kuwa na direct effect kwenye exchange rate nakubali, lakn exchange rate kuwa na direct effect hapo ndo kidogo changamoto.
Exchange rate Ina direct effect, tena sana tu. Mfano tunaagiza mafuta ya petrol, pipa moja la mafuta linauzwa $70, ili mfanyabiashara kwa sasa anunue pipa hili moja inahitaji awe na sh. 189000 wakati thamani ya pesa ingekua ni kama ilivyokua mwaka uliopita huyu mfanyabishara ingemhitaji awe na sh.161000 tu sababu dola ilikua 2300
 
...BOT wana dola nyingi sana zimekaa hazina kazi? Kwanza kama ulifanya kazi BOT ulipaswa useme hizo dola nyingi ni kiasi gani sababu reserve yetu ya dollar kwa miaka yote tumekua tukilalamika ni ndogo sana inacheza kwenye $6billion, malengo yetu tuwe na reserve zaidi ya $10billion.
Tumewahi kukumbwa na uhaba wa dola mwaka juzi 2023, hili pia raisi Samia alisema wakati wa msiba wa Lawrence mafuru na namna ambavyo alisaidia kuokoa jahazi kwa hatua alizopendekeza zitumike

Pili hakuna dola ambazo hazina kazi.
 
inflation haina uhusiano na exchange rates! these exchange rates are moved manually sometimes BOT will raise USD or make it fall, kwa wewe exchange rates haina uhusiano wowote na maisha yako kua magumu ama marahisi! ni elimu tu huna
Exchange rate Ina uhusiano na maisha magumu
Mfano hapo siku kadhaa nyuma exhange rate ilipokuwa 2300 Deni letu lilikua dola 43billion ambayo ni trilion 97, lakini Leo hii exchange rate ni 2700 hivyo Deni letu la serikali lipo kwenye trillion 116. Hivyo kila mwezi kiwango Cha kulipa kinaongezeka kutoka kwenye makusanyo yetu ya shillingi. Sababu kila mwezi tulikua tunalipa around dola mil 350 ambayo ni sawa na shillingi bilion 800, lakini kwa sasa ili kulipa dola mil 350 itatuhitaji tuwe na shillingi billon 940

Hilo ongezeko la bil 140 kila mwezi linaenda kupunguza huduma fulani ambazo wananchi wangeweza kuzipata.
 
hapana haina uhusiano, deni la tanzania nje ya nchi linalipwa kwa $ sio TSH, tuseme una deni la $1B ukisema uconvert Tsh kwenda $ ulipe deni basi utakomba almost nusu ya reserve ya dola zilizo nchini
Huwezi kukomba nusu ya reserve sababu nchi inafanya makusanyo na Deni linalipwa kila mwezi kwa amount ambayo ni chini ya 2/3 ya makusanyo
 
Dola kupanda athari ipo kwa watu wote tena hasa hasa walaji kuliko hata hao unaowasema. Sababu mfano kwenye mafuta, lazima Bei itapanda, Bei ya mafuta ikipanda hasara itakua kwa watu wote.
 
Tena mwaka jana, nakumbuka kuna mtu Ali change kwa 2950.
Hapa inazungummziwa official exchange na si black market. Official exchange haikuwahi kufika hiyo 2900
Mfano mafuta lita ni sh.3000 bei halali ya ewura, lakini wewe huko kwenu tu akakuuzia lita sh.5000 hiyo inakua ni yenu na si bei halali ya soko
 
Mshukuru mheshimiwa, mtakatifu, mtukufu, mtume nabii rais daktari profesa fieldmashall, admiral, general, askofu, sheha, al hajat, ulama, deacon, paroko, nk nk SSH.
 
ata ingekua Tsh ni kubwa kuliko dola haimaanishi uchumi wa tz ni mkubwa, mfano ela ya libya ni kubwa kuliko dola but haimaanishi uchumi wa libya ni mkubwa kuliko marekan
Ela ya Libya kubwa kuliko dola?? Kivipi? Haijawahi kutokea hii labda uwe hujui kusoma namba vizuri

Nimeona umeweka screenshot mara mbilimbili kuwa Libya dinar 1 sawa na 0.18dollar. hii kwa akili yako ndio unasama pesa ya Libya ni kubwa kuliko dollar? Unafahamu vipi namba?
 
Haya ni matunda ya kuongozwa na wapumbavu. The fruits of stupid leaders.....upumbavu kama huu ulianzia kwa mzee Mwinyi shilingi iliporomoka vibaya sana ....
 
Hii ndiyo miujiza ya daktari profesa mtume nabii, general, fieldmashall, general, admiral, nk nk SSH.
 
labda nkuulize swali, ikitokea Tsh ina thamani kuliko Dollar unadhan nn kitatokea kwenye uchumi wa nchi na nkutajie nchi maskini zenye ela yenye thaman kuliko dollar
Mkuu mimi naomba unitajiw hizo nchi maskini ambazo ela yao Ina thamani kuliko dollar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…