Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Unamjua Anne Rwigara ?Mnadanganywa sana na huyo dikteta uchwara wa Rwanda, hana lolote lile zaidi ya propaganda za kitoto.
Hana ujasusi wowote ule, anatumia janja janja tu kuwahadaa wajinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamjua Anne Rwigara ?Mnadanganywa sana na huyo dikteta uchwara wa Rwanda, hana lolote lile zaidi ya propaganda za kitoto.
Hana ujasusi wowote ule, anatumia janja janja tu kuwahadaa wajinga.
Njia za kuua targets unazo zifahamu ni zipi na zipi ?Taarifa zinasema alikufa wa matatizo ya tumbo.
Sio kama yule wa SA ambaye ilikuwa confirmed kabisa kuwa ni majasusi wa Rwanda walifanya yao
Jamaa kigogo bado yupo maana kapoa ile nomaSalama yake hata hapo Kenya aondoke tu!
Kina Chahali na yule mpuuzi Kigogo walivyojikalia Uskochi na Uingereza huko sio wajinga. Wanajua kila kitu
Saivi ni hired gun yule.Jamaa kigogo bado yupo maana kapoa ile noma
muachage blabla za kisiasa, nani atavurigiwa amani na mwanaharakati mmoja aliyeko nje ya nchi?Kama wewe ni mhalifu hakuna sehemu utakimbilia usipatikane. Mange mwenyewe kazima fegi kwa utawala huu wa Mama Samia. Hata kama huna kazi jiepushe na kazi ya kuishambulia serikali iliyopo madarakani kwa harakati uchwara. Watu wachache hamuwezi vumiliwa mvuruge amani ya watu zaidi ya milioni 60 huku nyie mkila kuku ughaibuni.
Ujue unafurahisha.Hakuna muhuni yeyote wa Tanzania anayewaza fanya mission kwenye hizo nchi hapo.
Wale ndo wenye dunia. Gusa unase
Oh but he is known?Saivi ni hired gun yule.
Hata weww ukiwa na hela unaweza mnunua. Yupo kwenye payroll ya Mwigulu saivi!
Huna taarifa mkuu siku za nyuma kuna wahalifu wengi tu walisharudishwa TZ toka US.Hakuna muhuni yeyote wa Tanzania anayewaza fanya mission kwenye hizo nchi hapo.
Wale ndo wenye dunia. Gusa unase
Ilikuwaje mumshauri Dr.Slaa akimbilie Kenya wakat Kiiza Besige wa Uganda alidakwa huko Kenya na kurejeshwa Uganda kwa M7?Ni jana tu tulikuwa tunamshauri Dr.Slaa akimbilie Kenya baada ya kesi, kumbe huko nako mapolisi yanafika?!
Wewe ndio unajidanganya na kujilisha mashudu...Jidanganye.
Hujui kitu wewe!Inaelekea huijui USA wewe, simu zote za mama yako zinazoingia na kutoka, whatsapp na sms CIA wanazisoma zote...
Taifa masikini kama Tz na usalama vichwa panzi hawana uwezo kumfanya chochote raia wa USA, endeleeni na siasa za maji safi na vyoo...
Huyo jamaa atuambie, Kagame alimfyeka nani huko U.S.A?Hana ubavu wa kugusa watu wa Marekani yule.
Punguza kutazama movie.Wewe ndio unajidanganya na kujilisha mashudu...
Wanaoweza hio michezo ni idara kama FSB, mwaka 2006 walimmaliza Alexander Litvinenko kwa radiation poisoning, jamaa walitumwa na Putin moja kwa moja na head wa FSB..
Alexander alikuwa ni forer FSB akiishi UK huku anamkosoa Putin, Alexander alishirikiana na idara za usalama wa UK na Spain akitoa siri za Russian mafia waliopo Ulaya na uhusiano wake na serikali ya Russia.
Kumbuka Alexander na yeye alikuwa ni agent hatari na ndio walikuwa wanatumika na FSB kufanya mauaji ya watu bali mbali...
Ndipo hapo Mr Putin akatuma watu wakammaliza kwa sumu ya mionzi...
Nchi zenye uchumi na kujiweza na kutotembeza bakuli ndio wanaweza hayo.. kingine FSB ni moja ya idara bora kabisa na hatari sana duniani..
Lakini hata hivyo idara za usalama UK walifuatilia hadi kutambua ni nani na nani walimpa jamaa sumu, hio ni Russia..
Je US unafikiri mtathubutu? kwa sababu kwa vyovyote mtafahamika, halafu ndipo mtajua muwa ni tunda ama mti.
Hujui kitu!Wewe ndio unajidanganya na kujilisha mashudu...

Kagame na ujanja wake wote hagusi ulaya na marekani. Anaishia UAE tu hapo