Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

Kama wewe ni mhalifu hakuna sehemu utakimbilia usipatikane. Mange mwenyewe kazima fegi kwa utawala huu wa Mama Samia. Hata kama huna kazi jiepushe na kazi ya kuishambulia serikali iliyopo madarakani kwa harakati uchwara. Watu wachache hamuwezi vumiliwa mvuruge amani ya watu zaidi ya milioni 60 huku nyie mkila kuku ughaibuni.
muachage blabla za kisiasa, nani atavurigiwa amani na mwanaharakati mmoja aliyeko nje ya nchi?
 
Jidanganye.
Wewe ndio unajidanganya na kujilisha mashudu...
Wanaoweza hio michezo ni idara kama FSB, mwaka 2006 walimmaliza Alexander Litvinenko kwa radiation poisoning, jamaa walitumwa na Putin moja kwa moja na head wa FSB..

Alexander alikuwa ni forer FSB akiishi UK huku anamkosoa Putin, Alexander alishirikiana na idara za usalama wa UK na Spain akitoa siri za Russian mafia waliopo Ulaya na uhusiano wake na serikali ya Russia.

Kumbuka Alexander na yeye alikuwa ni agent hatari na ndio walikuwa wanatumika na FSB kufanya mauaji ya watu bali mbali...

Ndipo hapo Mr Putin akatuma watu wakammaliza kwa sumu ya mionzi...

Nchi zenye uchumi na kujiweza na kutotembeza bakuli ndio wanaweza hayo.. kingine FSB ni moja ya idara bora kabisa na hatari sana duniani..

Lakini hata hivyo idara za usalama UK walifuatilia hadi kutambua ni nani na nani walimpa jamaa sumu, hio ni Russia..

Je US unafikiri mtathubutu? kwa sababu kwa vyovyote mtafahamika, halafu ndipo mtajua muwa ni tunda ama mti.
 
Punguza kutazama movie.
 
Hujui kitu!
 
Wanaharakati kama wanaona kazi yao ni muhimu sana wakimbilie Msumbiji kwa chama rafiki FRELIMO. Wale FRELIMO watawashauri tu kuwa sio vizuri mambo wanayofanya.
 
Back
Top Bottom