Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

1. Waliopo Dar, au sehemu nyingine miji mikubwa kama Arusha, Mwanza n.k kwenye hayo maeneo ya viwanda kuna vibarua vingi tu.

Kuna mafundi wanatafuta vijana kila siku maeneo ya ujenzi.
At least upewe hata hiyo 15k per day ama 10k
Mkuu umeongea kirahis sana hata izo ajira za ujenzi/viwanda ni za connection.
 
NImetafakariii?Kisha nikajiulize sasa wafanye nini?Nafikiri Unaongeza STRESS tu.Kuna wale ambao wanasafisha miguu,kubandika kucha etc Una mtazamo gani kuhusu HAO.NAfikiri Tatizo sio aina ya kazi TATIZO ni Mipango yako.Ukiwa na Mipango Mizuri na Malengo Unaweza Fanya Kazi yoyte ya Kishenzi na Kijinga ikiwamo hata KUDANGA na UKADANGA kwa MAENDELEO KABISA.
 
Alikuwa anaingia yeye mwenyewe mtaani na kuokota makopo au alikuwa na kituo cha kupima makopo yanayoletwa na waokotaji?

yeah tena mwandishi wa habar wa mwanasport ndio alimkuta msanvu stand yuko na bonge la kiroba akapiga naye interview francis cheka alimwambia mwandishi kwamba pambani lilimpa hela nyengi ilikua ten milion tena ili kukamata hio hela ilibid asiende gym asilipe kocha wala asikae kambini kiufupi asipige maandalizi ya kutosha hilo pambani unaambiwa alipigwa kama mwizi mgeni ila kwenye biashara ya makopo
ndio kuliko mpa nyumba na heshima ya miamala
 
πŸ˜†πŸ˜†
 
Kazi ni kazi tu, kikubwa mkono uwende kinywani.

Kama unatafta kwa jasho lako hauibi cha mtu basi usimpangie mtu chakufanya, kazi yoyote ukiifanya kwa mikakati na malengo utaona faida yake, sio lazima mpaka utoboe.

POVU RUKSA.!
Ukishajiingiza kwenye negativity ni ngumu kuchomoka maana ile ni roho
 
UKWELI MCHUNGU
 
Umesahau Polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…