Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

Bora uende huko Viwandani au kwenye ma ujenzi ukawe saidia fundi tu.
kuliko kuokota chupa.
Mkuu, ukipewa kazi ya kuwapa kazi viwandani waokota chupa wote utaweza kuwapa?
 
Mara nyingine jaribu kushirikisha ubongo wako ipasavyo usitumie hisia tu muda wote kama mwanamke. Huwezi kuzisoma alama za nyakati wewe unakimbia tu mikono juu nyeti zikiwa wazi? Hakuna muokota makopo mwenye uwezo hata wa kununua suruali mpya ya sh elfu 20, narudia hakuna! Ila wanaopimisha makopo wanayapeleka kiwandani wanaweza hiko kitu.
 
utakua mgeni sana hapa mjini kuna uzi humu pia since 2015 francis cheka anaokota makopo mwenyewe pia ananunua kwa waokotaji wadogo kama wewe anajaza fuso anapeleka dar kuchukua mamilioni yake
 
utakua mgeni sana hapa mjini kuna uzi humu pia since 2015 francis cheka anaokota makopo mwenyewe pia ananunua kwa waokotaji wadogo kama wewe anajaza fuso anapeleka dar kuchukua mamilioni yake
Hebu soma tena ulichoandika halafu utafakari na usinireply tena.
 
utakua mgeni sana hapa mjini kuna uzi humu pia since 2015 francis cheka anaokota makopo mwenyewe pia ananunua kwa waokotaji wadogo kama wewe anajaza fuso anapeleka dar kuchukua mamilioni yake
Acha uongo cheka ni ndugu yangu wa damu najua utabisha Ila nikuambie tu hawezi kuokota makopo anapesa nyingi sana halafu swala la nyumba acha kudanganya watu hajajenga Kwa biashara ya makopobkweli nimeamini ukiwa maarufu utahusishwa na vitu vingi sana yaani mjomba Francis aingie barabarani aokote makopo Kwa pesa zote hizo alizonazo
 
Acha uongo cheka ni ndugu yangu wa damu najua utabisha Ila nikuambie tu hawezi kuokota makopo anapesa nyingi sana halafu swala la nyumba acha kudanganya watu hajajenga Kwa biashara ya makopo

sasa kama mwenyewe amesema mkuu wewe ni nan ubishe?
 
Kw
View attachment 2908860View attachment 2908861
sasa kama mwenyewe amesema mkuu wewe ni nan ubis

View attachment 2908860View attachment 2908861
sasa kama mwenyewe amesema mkuu wewe ni nan ubishe?
Amesema Ili kuwafanya waokota makopo wajione na wao wanapamba Ila hamna kitu kama hicho mjomba Francis anabiashara nyingi sana kumbe watanzania mnadangaywaga na watu maarufu kirahisi sana aisee yaani kirahisi tu na wewe umekubali kwamba anaokota makopo
 
Kw

Amesema Ili kuwafanya waokota makopo wajione na wao wanapamba Ila hamna kitu kama hicho mjomba Francis anabiashara nyingi sana kumbe watanzania mnadangaywaga na watu maarufu kirahisi sana aisee
ukulipata gazeti la mwananchi la tarehe hio utakuta picha mafurushi ya makopo nyumbani kwake pia mwandishi alimkuta cheka na likiroba la makopo msamvu stand uko less informed nadhani tuishie hapa
 
Hayo ni maigizo tu Mimi huyo ni mjomba wangu namjua vizuri nyumba zake zote alizojenga hazijatokana na hiyo biashara ya makopo kama unabisha basi. Endelea kudanganywa na hakuwahi kuingia barabarani serious kuokota makopo zaidi ya hayo maigizo kwenye camera
ukulipata gazeti la mwananchi la tarehe hio utakuta picha mafurushi ya makopo nyumbani kwake pia mwandishi alimkuta cheka na likiroba la makopo msamvu stand uko less informed nadhani tuishie hapa
 
Kazi ni kazi tu, kikubwa mkono uwende kinywani.

Kama unatafta kwa jasho lako hauibi cha mtu basi usimpangie mtu chakufanya, kazi yoyote ukiifanya kwa mikakati na malengo utaona faida yake, sio lazima mpaka utoboe.

POVU RUKSA.!
kudanga
 
naked comment
 
sawa sasa kama mjomba wako na alimuigiazia naibu wazir pale msamvu stand kwanini uliniita muongo mimi badala ya kuniambia tu ankole wako ndio muongo na inaonekana hata hii story ya mjomba wako kuokota makopo umeijua leo
ni kwamba upo kwenye denial kwamba role model wako anaokota makopo and he is proud of that, I think you should too?
 
Kama unabisha ingia barabarani uokote makopo ujenge nyumba tusibishane Kwa vitu vinavyoonekana watu wengine upeo wenu ni mdogo sana yaani na wewe unaamini kabisa mjomba Francis anaokota makopo mpaka kajenga nyumba zake daaah mtu wenye pesa hawezi kukupa Siri ya mafanikio yake kama wewe sio ndugu yake🤣🤣🤣🤣
 
Kwa namna Bodaboda zilivyotengeneza ajira Tanzania kuanzia mjini mpaka vijijini basi itoshe kutambua mchango wa Bodaboda katika kujenga uchumi wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…