Usijipe Stress Kwa Kukosa Jambo fulani Katika Maisha,Mwisho Wa Usiku Utakufa Tu

Kiukweli mimi naongozwa na mstari huu wa Mfalme Suleiman mwana wa Daudi

Toil under the sun- ni kazi uliyojaliwa kufanya chini ya jua. Matunda ya kazi yako ule wewe na mkeo na familia uliyobarikiwa kuwa nayo.

Enjoy life with the wife whom you love, all the days of your vain life that he has given you under the sun, because that is your portion in life and in your toil at which you toil under the sun. - Ecclesiastes 9:9
 
Very true and i like it, umepost sehemu yake kabisa💪
 
Hizi ni fikra potofu. Huyu ni motivational speaker. Umaskini unakera,unaboa na unanuka. Inuka pambana na ww upate gari kali hii kusema tutakufa ni maneno ya wakosaji
 
Wanaopata wanaofanikiwa ni wapambanaji kwelikweli na wamemtanguliza Mungu utajiri huo hudumu na urithisha vizazi na vizazi sio hule mwingine wa ulonza🤣
 
Maisha Mazuri yanategekea pesa.

Ila kama huna pesa furahie kile kile ulichonacho.
 
Hauna kaforo ka ukiwa unadance huko club nisafishepo macho rafiki 🤔???


Cc Smart911
 
Half american mzee wa ma ford ranger na ma nissan navara!! 😂
 
Taja tarehe mkuu. Sasa bila shahidi nani ataleta mrejesho hapa wakati nikikushushia kipigo kitakatifu
Sawa mkuu hakuna kuja na wenzko unategemea wakusaidie..
Kwann tusiwe wawil na member mwingine humu
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Dawa ni kumface tu kumaliza utata
Kuna mijitu adi ukutane nayo..
Kuna mwingine anapenda kuita wenzake kobazi..
Nikampiga marfuku akawa anabisha nikamwambia ukweli namfatili na ole wake an..

Kweli akajirekebisha..
Mkuu mimi Nikiamua kufatilia mtu ndani ya siku tuu unakutana na mimi live live hata kwa kituo cha daladala unabaki unashangaa tu ujui la kufanya...

Na hapo ndo nakupiga na butwaa
 
Umenena vyema ni kupambana na maisha vikipatikana sawa visipopatikana ni sawa, mwisho wa siku ni Ubatili mtupu na kujilisha Upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…