Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kama ni hivyo basi nimeisha watafutia wananguRoho za umimi hizi. Tafuta mali vizazi vyako vije viishi vizuri. Hapa ndipo wanapotushindia wazungu
Unakataa Mungu hayupo ila unakubali uwepo wa bahati, na huwa unakaza fuvu kabisa wewe ni Mwanasayansi unaeelezaga vitu kwa empirical evidence?Kwenye maisha kuna Bahati (Luck) ambapo binadamu yeyote anaweza kuipata pasipo kutarajia.
Na bahati hii, Haina uhusiano wowote na nguvu za kiroho kwa sababu huweza kumtokea mtu yeyote.
Wateja kuja sana kwenye biashara yako si kwamba eti una kibali na si kwamba wewe pekee ndio una wateja wengi hapo mtaani kwako au kwenye biashara yako.
Wateja kuwepo kwa wingi kwa mfanyabiashara fulani, inategemea na vitu vingi sana kama kauli nzuri kwa wateja, ubora wa bidhaa zako, namna unavyo toa huduma, muda wa biashara yako ulipo ianza na uzoefu wako wa kujuana na wateja n.k
Hapa hakuna kibali wala nguvu yeyote ile.
Kama unabisha, Jaribu kwenda kinyume na kanuni hizo uwe na kauli mbaya kwa wateja, utoe huduma mbovu, uza bidhaa zisizo na ubora tuone kama hicho Kibali chako kitafanya kazi.
Point yangu ni kwamba, HAKUNA uhusiano wa kibali na mafanikio ya mtu kwenye nyanja za kimaisha.
Kibali ni dhana ya kufikirika. Haipo.
Ni vigumu sana kumuelimisha Mtu aliyejiandaa kiakili kubisha, unaweza ukapatwa na njaa usiyotarajia...[emoji142]Mkuu ni ngumu kukupa chakula cha kiroho na ukaelewa kwa maana humuamini mtoa hcho cha kiroho hvyo itakuwia ugumu sana katika kuelewa nin maana ya hcho #KIBALI.
Pili kuhusu kuomba na kupewa baraka na mahitaji yako kwa muumba wako ni lazma umuombe kwa maana unapo muomba ndo unadumisha utukufu wake kwa kumnyenyekea, ndivyo apendavyo kwa maana yey n mkuu na ndo muhimili juu ya vilivyo hai na vilivyokufa.
Ni mfano mdogo tu, hv ulishawah kwenda dukani kwa mangi na noti ya elfu kumi ukakaa kmya tu bla kuzngumza chochote na mangi akajua na kukupa mahitaji yako??
Na kwanin mung akupe mahitaj yako bila kuonesha nia ya uhitaji?? Hapo ndpo linapokuja suala la kuomba kibali
Ila itakuwia ugum kuelewa kwa maaana uamin katika mungu na tayar umeandaa majib yako, ambyo n kinyume cha uzi na mada tajwa hapo juu.
Mungu Yupo na miujiza yake ipo wazi, muda bado unao. Usije ukajua umuhimu wake wakat upo nje ya mda.
#Amiin[emoji1621][emoji1621]
Bahati ina thibitisha vipi uwepo wa Mungu?Unakataa Mungu hayupo ila unakubali uwepo wa bahati, na huwa unakaza fuvu kabisa wewe ni Mwanasayansi unaeelezaga vitu kwa empirical evidence?
Dunia simama nishuke [emoji1732][emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ndio haswa.. Pumzi huiombi anakupa, uhai huombi anakupa nkNikiyajua mahitaji yao siwezi kusubiri waombe. Yale nisiyoyajua nitasubiri waombe.
Natumai Mungu yuko hivyo pia kama Mimi, au?
Sija jiandaa kubisha.Ni vigumu sana kumuelimisha Mtu aliyejiandaa kiakili kubisha, unaweza ukapatwa na njaa usiyotarajia...[emoji142]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Aloo😃Mungu hakujua kwamba unahitaji hicho Kibali na bahati akupatie?
Mpaka umkumbushe?
Thibitisha kuwa na mali ndiyo sababu ya kuishi vizuri.Roho za umimi hizi. Tafuta mali vizazi vyako vije viishi vizuri. Hapa ndipo wanapotushindia wazungu
Mabaya, maovu, magonjwa na mateso kuna ambaye Huomba Mungu awenayo?Ndio haswa.. Pumzi huiombi anakupa, uhai huombi anakupa nk
Ni vipi siombi wakati uhai wangu unategemea jitihada zangu? Aje kama nikibweteka nisile, je sitakufa? Aje kama nitakunywa sumu au kujinyonga? Ananipaje uhai mimi pasi mimi kuuomba?Ndio haswa.. Pumzi huiombi anakupa, uhai huombi anakupa nk
MUNGU nipe kibali cha kuja mbele zako asubuhi, mchana, jioni, usiku kuomba Toba na rehema....imeisha hiyoUkiomba unasema Mungu nipe kibali Cha Nini!
Ni MUNGU anayeruhusu magonjwa, mateso yakufike....anayaruhusu kiupendo kabisaMabaya, maovu, magonjwa na mateso kuna ambaye Huomba Mungu awenayo?
Je na haya Mungu anatoa sio?
Ukweli 100%Wewe una elimu ya rohoni, ila usije kujaribu kufanya uzinzi, hicho kibali kinaondoka
Thibitisha uwepo wa bahati physically and its visibility.Bahati ina thibitisha vipi uwepo wa Mungu?
Una elewa maana ya bahati?
Bahati ni jambo linalo tokea pasipo wewe kutarajia, Wala halioneshi uwepo wa Mungu.
Ushuke sasa duniani umefika.
'MUNGU amemfanya mwadamu mnyoofu lakini wamebuni mavumbuzi mengi'Mungu mwenye upendo, Na angekuwa Anatupenda.
Je angeruhusu uovu, dhambi, mateso, ukatili na ubaya, Viwepo Duniani?
Mungu huyo ana tupenda kweli?
Mungu mwenye upendo, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na Uovu wala ubaya wa aina yeyote ile?
Mungu mwenye upendo, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu wasioweza kutenda dhambi na mabaya?
Huyo Mungu anatupenda kweli?
Unafanya jitihadi za kuutunza lakini huna mamlaka ya kujiwekea ama kuuondoa uhai.. kabla sijaendlea ningependa kujua Kama unaamini MUNGU yupo au la?Ni vipi siombi wakati uhai wangu unategemea jitihada zangu? Aje kama nikibweteka nisile, je sitakufa? Aje kama nitakunywa sumu au kujinyonga? Ananipaje uhai mimi pasi mimi kuuomba?
Natafuta sehemu salama, chakula salama, mahusiano salama, mazingira salama, nk ili niishi, UNASEMAJE KUWA HIZO SI JITIHADA ZANGU?
Yeah Kuna scenario zipo anatoa yeye kwa makusudi yake kwako either akukomboe mwishoni , Ila mengi ya hayo hutoka kwa kwa yule 'MWOVU'Mabaya, maovu, magonjwa na mateso kuna ambaye Huomba Mungu awenayo?
Je na haya Mungu anatoa sio?
Vingine Sio muhimu kupewa kwa faida yakoKwahiyo kuna mahitaji yako Mungu hayajui?
Umasikini unakaa kichwan na Sio kwenye mazingira kama hii Sio laana ni NiniUmaskini ni laana kutoka wapi?
Bahati hutokea katika mazingira ya kuonekana.Na si katika mazingira yasiyo onekana.Thibitisha uwepo wa bahati physically and its visibility.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app