Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba


Kwa ndoa za kisasa wazazi tumechangia sana kufanya institution ya ndoa kuwa useless si mabinti wala vijana wa kisasa wanajua maana ya ndoa zaidi ya kufanya harusi kubwa.
Binti wa kisasa anafundishwa kujihami kwa mwanaume kwa kuwa mama na bibi zake walinyanyasika, kijana wa kisasa bado anaandaliwa kizamani kuwa wanawake ni watulivu na wavumilivu kumbe sio hawa wa kizazi kipya ni balaa tupu.
Kwa majirani hapo Kuna wimbi la wanaume kuuwawa naona ndio tunakoelekea huko.
 
Asaaaanteee kaka
 
Wazazi wa, binti wanamfundisha kuwa aishi kwa ujanja ndani ya ndoa. Yaani anapoingia tu aanze kujiandaa kutoka kwani tayari wanamjua binti yao kuwa tabia zake si za mke wa ndoa. Mke anawafanya wazazi wake kuwa ndio wasiri wake, anawasikiliza wao zaidi kuliko mume wake.

Wazazi wa mume wanamfundisha kuwa usithubutu kumwamini mke kwani wengi wamewaangamiza waume zao. Mume anakuwa na mahusiano zaidi na ndugu kuliko mkewe hasa kwenye mambo ya kuijenga familia yake mwenyewe.

Sass ukitazama ujinga huu unajiuliza, kuna sababu gani ya kuingia kwenye ndoa? Sababu pekee inayobaki hapo ni kutaka kumiliki sekta ya ngono, basi. Katika hayo hapo juu hakuna mpango wa malezi bora kwani hakujalenga kuwaandalia watoto mazingira bora kwa siku zijazo. Faida pekee ni ngono tu. Watoto watakuwa kero badala ya baraka, lakini tutataka tuzae kwa sababu tu watu hawawezi kutuelewa tusipokuwa na watoto. Tutasimangwa na kuchekwa, hivyo tunazaa ili kuwaridhisha watazamaji wala si kwa sababu ya kujenga familia.

Kwa mazingira haya TANGU AWALI NDOA HAIKUWAPO. Ni malaya wawili wameamua kuishi ndani ya nyumba moja bila muunganiko halisi wa mke na mume. Tena basi wazazi wao wanajua fika kwamba hapo hakuna ndoa ndio maana wamewaandaa siku wakikorofishana wagawane mapato ya hicho kikoba, kila mtu aendelee na maisha yake binafsi.
 
Thanks
 
Safi sana
 
Ahahah mimi nitamwambia mshenga, mama mkwe apewe kipaza sauti aombe radhi...sivyo shughuli inaisha hapo.
 
Hata mtoto wa mjomba unaweza kumsaidia kumbe sio mtoto wake, au pengine huyo unayemuita ma mdogo si mtoto wa babu yako bibi alichakachua. Hivi ni visingizio vya watu wachoyo tu
Suala ni kwamba mama na ndugu zake wanashare tumbo.
Hivyo hata kama mamdogo sio mtoto wa Babu husika Ana vinasaba vya Bibi ambavyo na Mimi ninavyo.
Mimi binafsi nawajali watoto wa dada/mamdogo kuliko watoto wa kaka/bamdogo.
Hakuna namna mtoto wa dada/mamdogo asiwe wa kwake.!!
No way!
Lakini mtoto wa kaka, bamdogo na wanaume wengine mnaweza kuwa mnatunza ukoo wa watu.!!
Hapa nilipo naishi ya mjukuu wa mama yangu mdogo (kwa mtoto wa kike)
Naye kaleta kitukuu.
Yaani napata amani kwa kuwa hakuna namna Hawa nimebambikiwa undugu.
Angekuwa kazaliwa na wa kiume angeenda kwa mama yake tu.
 
Hospitalini manesi wanabadilisha sana watoto...
 
Ni kweli kabisa! Ndiyo nature yetu ilivyo. Mtoto ni mali ya mama for the very fact kwamba anapokuwa tumboni mwake wana'share' mfumo wa chakula na hewa muda wote na haka atakapozaliwa hawezi kusahau generocity ya mama kwake na kuonyesha jinsi gani watu wanathamini nafasi ya mama/mwanamke - jiulize kwa nini mtu akitaka kukuudhi sana anakutukana tusi la nguoni linalomhusisha mama/mwanamke. Kwa utafiti wangu ni kwa sababu hiyo hiyo pia.
 
Mimi binafsi nawajali watoto wa dada/mamdogo kuliko watoto wa kaka/bamdogo.
Hakuna namna mtoto wa dada/mamdogo asiwe wa kwake.!!
No way!
Wewe una uhakika gani kama huyo unayemuita baba tangia ukiwa mtoto ni baba yako biologically?...
 
Kwani huko kwa wajomba zako watoto wao hawawezi kuwa sio wao?
 
Hainaga ushemeji ee.. mawifi zako unawaogopa sio??
 
My wife is a nurse hivyo ninajua ninachokizungumzia
Wanafanya kazi very local.
Kila mtoto anapozaliwa anafungwa label yenye jina la mama.
Labda huyo nesi awe kalipwa na mtu kubadilisha mtoto.
Ndio maana nimesema ni very rare.
Wanaume kubambikiwa mtoto ni a million times common kuliko mama kubadilishiwa mtoto wake.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…